CHADEMA ipo hatarini

CHADEMA ipo hatarini

chadema inaishi mioyoni mwetu! Si upepo upitao tu, chadema ni maisha yetu ya kila siku! Huwezi tenganisha na ukweli, ukombozi na mwanga wa maisha mapya!
 
Mh Katibu mkuu, kwa hiyo unaridhika na kasi ya ukuaji wa chama? I thought you would aim to grow at a much higher pace than that!Sikupenda sana ulivyo down play mawazo ya Logo kwamba anafikiri ki 47!. Hii inawatisha vijana wako kutoa ushauri kwa kuhisi kudhalilishwa kama msemo ulioutumia hapa.
Mjiongeze hizo coment sio za katibu mkuu ila kavamiwa.
 
Wapendwa wasomaji, tuweni majini na hii enzi ya .dot com, jiulize kwa nini hata mahakamani ushaidi wa mtandao haupokelewi moja jwa moja. licha ya Dr kuwa binadamu kama wengine kwa hili yaweza kuwa siye aliesema. Wazo lako zuri japo tunahitaji kuwaamini viongozi hsa kipindi cha mashambulizi kwani wa upande wa pili anaweza vaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu na wakadai kuchangia humu ... halafu pia miruzi mingi hupoteza mbwa.
Wewe nakushauri ili kuisaidia Cdm ambayo kweli umeonesha mapenzi mema nayo wasiliana na uongozi uliokaribu nayo hata moja kwa moja kwa Dr kwa cm yake utakijenga chama
 
Logo

Zamani zipi Cdm ilipendwa zaidi, ilhali sasa inapata wenyeviti wa serkali za mtaa Tanga! ilhali haikuwa kupata hiyo umayoiita zamani?? mwana chadema gani wewe una waza kama cha nazi!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa,
Mandamano yasiyo na mpango ni kero kwa wananchi
Pia mikutano ya hadhara kila siku tena saa za kazi ni kupoteza muda muhimu ambao ungetumika kujenga nchi
 
Wakuu Naona hapa mnapoteza tu muda Dr Slaa hayupo hapa.Hapa ni mafisadi wameingilia account ya mh. na wanajibizana na vibaraka wao.Ni mpamgo mwingine wa mafisadi ambao wanataka kudhoodisha nguvu ya ukombozi Na waendelee kuwatawala Na kuwanyonya milele!
 
Mkuu hapo kwenye red una maanisha nini?
Nahisi hayo ni matatizo ya kusoma shule za kata na kutofuata mitaala inayoeleweka.

Unaweza kufikiri mwenzako kasoma shule ya kata kumbe wewe ndio una matatizo. Kuna keyboards za aina mbalimbali. Ukizijua utaelewa kwanini hapo badala ya Y imetokea Z. Kwa vile exposure yako iko limited unabase kwenye minor typos badala ya kilichoandikwa. Hiyo ni dalili ya kukosa HOJA...
 
Mkuu hapo kwenye red una maanisha nini?
Ni vyema ukubali tu wewe ni kihiyo, usisingizie keyboard; By ze way hujawahi andika point ya maana hata siku moja; Kila mwana JF anakufahamu kwa jina maarufu "MZEE WA PUMBA".

Umeona sasa unavyojidhalilisha. Hujui maana ya typos.

Tumia vizuri internet. Tafuta maana ya maneno usiyoyajua.

Ndio maana nimekwambia kuwa u much know unawanyima fursa ya kujifunza mambo mapya.
 
Chadema iko hatarini ndani kwa ndani,wa kuiua wako hoko huko kwenu.

Kwa hiyo kwa mawazo yako Ndani ya CHADEMA wamo, TISS, UWT, Polisi, Mwigulu, wassira, Ndugai, Makinda na wengineo wenye tabia kama hizo wote wapo CHADEMA na ndo maana wanaiua ndani kwa ndani.
 
Logo na WanaJF,

Kwanza nikubali kuwa CHADEMA hujali ushauri tunaopewa, na uwe mzuri au mbaya, wenye nia njema au la, hakuna ushauri usiofanyiwa kazi.

Hata hivyo, ushauri unawake kuwa ushauri, hula haugeuki kuwa Amrit, hivyo, si lazima ushauri kukubaliwa na kutekelezwa. Hata hivyo, Sina uhakika ni kwa kiasi gani umefanya utafiti wa kina kabla ya kutushauri. Inaelekea, bado una mawazo ya zamani ya maandamano, ya mikutano ya hadhara na kadhalika.

Aidha unaposema wananchi wanakata tamaa sina hakika unazungumzia wananchi wepi. Chadema kila siku, na kila eneo inatwanga M4C, Chadema kila kukicha inashinda chaguzi ndogo mbalimbali za vijiji na vitongoji hata mahali ambapo makao makuu hatujafika! Sasa ni wananchi gani na wa wapi unazungumzia! Inaelekea bado unafikiri ki 47"

"Inaonekana kama Dr. Slaa ameandika huku akiwa na haraka ya kwenda kwenye misa ya Alhamisi Kuu."

Sentensi moja inaweza ikajenga picha nzima ya mawazo ya mwandishi. Kumbe wanaofikiri ki 47 hawatakiwi ndani ya CHADEMA.

Ni kweli CHADEMA imepiga hatua katika siasa za Tanzania lakini huwezi ukabweteka na kuamini kama nguvu iliyonayo kwa sasa inaweza kuiondoa CCM madarakani. Mawazo ya kudhani kuwa mafaniko tayari yameishapatikana kwa vile CHADEMA inashinda bila hata viongozi wa Taifa hawajafika hakuwezi kuwa ni picha mbadala ya uwezo wa CHADEMA kushinda uchaguzi mkuu.

Kumbuka 2015 siyo mbali, hatuwezi kuwa tunasikia visingizio kila mara vya kudai kuibiwa kura kila baada ya uchaguzi mkuu wakati kura mnaziiba wenyewe kwa kutokuwa makini katika mipango, malengo na utakelezaji wa majukumu ya kisiasa ndani na nje ya CHADEMA.
 
Nyinyi rukeni rukeni tu ila mwisho wasiku lazma mtapaswa kutua,watanzania wa sasa ni kweli si wa mwaka 47,vyovyote tunaweza kua.Tunaweza kuiweka madarakani CCM,CDM,CUF hata CCJ tukiamua.Ni kweli mlianza vizuri ila kwa sasa hatma yenu iko mbioni.Leo mnataka kutuaminisha eti ile video ya lwekatare ni feki,jibu ni hilohilo kama la dr slaa kwamba watanzania wa leo si wa mwaka 47
 
Sisi watanzania yatupasa tuilinde amani ambayo nchi za afrika zinatamani zingekuwa kama tanzania

Hii kauli yako wakiisikia hawa wafuatao sidhani kama watakubaliana na wewe, Familia ya Mwangosi na Ally Dona, Dr. Ulimboka, Kibanda, Kubenea, Mwakyembe kwani yaliyowakuta sitarajii kama yanaweza kutokea kwenye nchi ya amani unayoisifia
 
Sijawahi kumkubali wala kukubaliana na Babu, alisaliti kanisa takatifu najua ipo siku atakuja kusaliti wananchi wa Tz. Kama Babu alisaliti kanisa sembuse watz? Babu kajibu fasta lakini hawa MaCDM hawajuwi Kama hii danganya toto......tusubiri 2014 tuwapige kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndio watapata somo kubwa sana.
 
Umeona sasa unavyojidhalilisha. Hujui maana ya typos.

Tumia vizuri internet. Tafuta maana ya maneno usiyoyajua.

Ndio maana nimekwambia kuwa u much know unawanyima fursa ya kujifunza mambo mapya.

Mkuu kwa nini usitumie lugha inayoeleweka, au unadhani wana JF wote tumeajiliwa na Lumumba na hatuna kazi nyingine ya kufanya? kwa nini utuongezee kazi ya ziada ya kuwa na dictionary pembeni pindi tusomapo post zako ? Mkuu tuna majukumu ya ujenzi wa taifa na siyo kukaa kwenye keyboard 24hours, 7days a week. Hayo yanawafaa nyie waajiliwa wa Lumumba kwani ndo kazi inayo waweka mjini.
 
Dr.W.Slaa ni wewe kweli? Nadhani ni vijana wako wamekusaidia kujibu this is too shallow.
 
Mkuu kwa nini usitumie lugha inayoeleweka, au unadhani wana JF wote tumeajiliwa na Lumumba na hatuna kazi nyingine ya kufanya? kwa nini utuongezee kazi ya ziada ya kuwa na dictionary pembeni pindi tusomapo post zako ? Mkuu tuna majukumu ya ujenzi wa taifa na siyo kukaa kwenye keyboard 24hours, 7days a week. Hayo yanawafaa nyie waajiliwa wa Lumumba kwani ndo kazi inayo waweka mjini.

Usiingize psychological warfare kwenye mada.

Lipi hapo linalokufanya ushindwe kuelewa kile kilichoandikwa na ujumbe wa mwandishi.

Kuna zaidi anayeshinda hapa JF zaidi yako?. Nyani haoni la kwake.

Haina tatizo, kuna hoja zingine zinahitaji fikra pana na kama maji ni marefu una uhuru wa kubonyeza SKIP kwenye keyboard/keypad yako
 
Logo na WanaJF,

Kwanza nikubali kuwa CHADEMA hujali ushauri tunaopewa, na uwe mzuri au mbaya, wenye nia njema au la, hakuna ushauri usiofanyiwa kazi.

Hata hivyo, ushauri unawake kuwa ushauri, hula haugeuki kuwa Amrit, hivyo, si lazima ushauri kukubaliwa na kutekelezwa. Hata hivyo, Sina uhakika ni kwa kiasi gani umefanya utafiti wa kina kabla ya kutushauri. Inaelekea, bado una mawazo ya zamani ya maandamano, ya mikutano ya hadhara na kadhalika.

Aidha unaposema wananchi wanakata tamaa sina hakika unazungumzia wananchi wepi. Chadema kila siku, na kila eneo inatwanga M4C, Chadema kila kukicha inashinda chaguzi ndogo mbalimbali za vijiji na vitongoji hata mahali ambapo makao makuu hatujafika! Sasa ni wananchi gani na wa wapi unazungumzia! Inaelekea bado unafikiri ki 47"
...msisikitike kuwa Dr Slaa kajibu chini ya kiwango, hivi ni viashiria tu kuwa Mzee sasa anahitaji apate muda mwingi zaidi wa kupumzika, miaka 65 sio mchezo...
 
Back
Top Bottom