Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,512
Kweli hiki Chama kina wehu aisee,chadema si ndio walikuwa wanamtukana zaidi ya miaka nenda rudiNinashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima Kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya Chadema.
Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa Chadema huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya yeye kugombea kuliimarisha CCM hata kuliko Chadema.
Kwa mantiki hiyo sitegemei CCM kujimilikisha mwili wa Lowassa. Tunategemea uongozi wa juu Chadema ukiongozwa na Freeman Mbowe ukipewa nafasi za mbele sawa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kutoa salamu. Wasibaguliwe tena wapige gwanda zao za chama maana alikuwa ni mtu wao sawa na CCM. Kilichotokea kwa Bernard Membe kisijirudie Kwa Lowassa. Membe CCM ilikataa kufunika jeneza lake kwa bendera ya chama kisa tuvalikatwa mkia. ACT nao wakagoma kuleta bendera matokeo yake akafunikwa Kwa bendera ya "Wagalatia" wa Kijitonyama.
Mwili wa Lowassa usijenge chuki na chokochoko anazoanza kuleta Mwenezi.
Maandamano baada ya siku 5 za maombolezo kukamilikaSiasa za Msibani azikwe atakavyozikwa sdhani kama Big Deal.
Azikwe ili tuendelee na khamsini zetu za Maandamano ya kudai HAKI.
Siku tano za maombelezo ni nyingi, tatu zinatosha Nchi hii inamambo mengi ya kufanya.Maandamano baada ya siku 5 za maombolezo kukamilika
Mleta uzi ni mccm mwenzako.Kweli hiki Chama kina wehu aisee,chadema si ndio walikuwa wanamtukana zaidi ya miaka nenda rudi
Ninashauri wanaprotokali wa maombolezo na heshima kwa Lowassa kwamba itambuliwe kwamba Lowassa ameiletea heshima nchi yetu akiwa ndani ya CCM na ndani ya CHADEMA.
Dunia ilishuhudia ukomavu wa demokrasia Lowassa akiwa CHADEMA huku CCM ikipumulia mashine katika Uchaguzi Mkuu wa 2015. Faida ya yeye kugombea kuliimarisha CCM hata kuliko CHADEMA.
Kwa mantiki hiyo sitegemei CCM kujimilikisha mwili wa Lowassa. Tunategemea uongozi wa juu CHADEMA ukiongozwa na Freeman Mbowe ukipewa nafasi za mbele sawa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kutoa salamu.
Wasibaguliwe tena wapige gwanda zao za chama maana alikuwa ni mtu wao sawa na CCM. Kilichotokea kwa Bernard Membe kisijirudie Kwa Lowassa. Membe CCM ilikataa kufunika jeneza lake kwa bendera ya chama kisa tuvalikatwa mkia. ACT nao wakagoma kuleta bendera matokeo yake akafunikwa kwa bendera ya "Wagalatia" wa Kijitonyama.
Mwili wa Lowassa usijenge chuki na chokochoko anazoanza kuleta Mwenezi.