CHADEMA Inaweza kuvunja historia ya kutia aibu

daza steven

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
361
Reaction score
361
Yaani 2015 Chadema ilikuwa chupuchupu kuchukua nchi na walisema kuwa waliibiwa kura zote, lakini leo dalili zote zinaonyesha kuwa Chadema inaweza kuporomoka hata kuwa kama chama cha NCCR MAGEUZI kuwa na mbunge 1 kama James Mbatia au hata kukosa kabisa mbunge.

Watafiti wa mambo ya siasa za Tanzania wamesema huenda hal ikazidi kuwa mbaya zaidi katika chama hicho hasa kutokana na uwanja wa siasa kubadiliswa.

Tafiti zinasema kuwa kitendo cha chama hicho kuachana na sera yao ya kupambana na ufisadi (Kamata Mwizi Man) na kuwa kinyume chake imeanza kupoteza mvuto katika medani za siasa.

Watafiti wanasema kutoka sera ya kupambana na wezi hadi sera ya kupinga kilakitu hili liliwatoa kabisa katika mstari.
Watafiti hao wamewatupia lawama nyingi wasomi waliokuwemo katika chama hicho kama Prof. Baregu, Dr. Mshingi na wengine kushindwa kutoa ushauri wao wa kisomi kwa taasisi hiyo.

Mathalani, watafiti walijaribu kusema kuwa viongozi na wasomi hao walishindwa pia kusoma alama za nyakati kwa kumstadi adui badala yake waliendelea na siasa za maandamano, kauli nzito na tete, matumizi ya maneno yasiyo poozwa (mitusi) na kila namna walizofanya wakati wa awamu ya 4.

Watafiti wameongeza kuwa wakati wa awamu ya 4 chama kilikuwa kinabuni mbinu nyingi sana za kupenya katika siasa za kushindana na CCM kama sera ya kupambana na mafisadi, kufanya maandamano, slogani ya Peoples' Power, Chadema msingi, kurusha helikopta na nyingine nyingi. Lakini cha kushangaza walipoingia awamu ya 5 wakaingia na zilezile wakati mazingira yanakataa. Watafiti wanasema wameshindwa kujua ule ubunifu ulifia wapi.

Watafiti hao waliendelea kudadavua kuwa kushindwa au kuchelewa kwa kufanyika uchaguzi ndani ya chama hicho cha kidemocrasia pia imetia dosari kubwa, kwani hata jina la chama ni chama cha demokrasia tupu na si vinginevyo.

Mwisho walimalizia kwa kusema kuwa mengine ni madogo sana lakini yanaleta maswali mengi katika jamii kwa chama kikuu cha upinzani kukosa ofisi yenye hadhi na kuendelea kukodisha nyumba mtaa wa Ufipa, hili walilisema.
 
Wangemchagua mwenyekiti mwingine kwanza wamtoe mbowe heshima inaweza kupanda kidogo, ila jamaa kakomaa hataki kumuachia mtu mwingine, Na chadema wote wanamuhara ile mbaya mwezi uliopita walianza kampeni kwenye mitandao ili aondoke, naona ghafla kumepoa.
 
Unaonesha ni msomi mpumbavu.Hakuna mwaka ambao utasema eti chadema iliyumba kwa sababu ni jumba lililojengwa mwambani haliwezi kutingishwa na upepo.Kama kweli chadema itakufa/inakufa/ilikufa kwa nini polisi hawapati usingizi,mahakama,watendaji rafu kila siku hadi magufuli amepata presha kwa sababu ya chadema?

Sasa nikwambie tu kuwa chadema ni mji ulio kilimani hata ukiwa mbali utaona.Ni kama barua ya kuisoma.Chadema sio taasisi,sio watu wala sio chama chadema ni roho zilizo ndani ya watu.Nani anayeweza kubadili roho kama si Mungu mwenyewe?Ndio maana kuna watu walihama chadema au walihamia wote wanajua kuwa si rahisi lelemama kam wewe kuwa CDM inahitani watu strong kiroho na sio mwili.
Kwa hiyo hata ukiua watu,chama au taasisi lakin roho zao zitakutafuna tu ndo maana hata ndani ya ccm kuna upinzani wa ndani ya chama
 
Yaani 2015 Chadema ilikuwa chupuchupu kuchukua nchi na walisema kuwa waliibiwa kura zote, lakini leo dalili zote zinaonyesha kuwa Chadema inaweza kuporomoka hata kuwa kama chama cha NCCR MAGEUZI kuwa na mbunge 1 kama James Mbatia au hata kukosa kabisa mbunge.

Watafiti wa mambo ya siasa za Tanzania wamesema huenda hal ikazidi kuwa mbaya zaidi katika chama hicho hasa kutokana na uwanja wa siasa kubadiliswa.

Tafiti zinasema kuwa kitendo cha chama hicho kuachana na sera yao ya kupambana na ufisadi (Kamata Mwizi Man) na kuwa kinyume chake imeanza kupoteza mvuto katika medani za siasa.

Watafiti wanasema kutoka sera ya kupambana na wezi hadi sera ya kupinga kilakitu hili liliwatoa kabisa katika mstari.
Watafiti hao wamewatupia lawama nyingi wasomi waliokuwemo katika chama hicho kama Prof. Baregu, Dr. Mshingi na wengine kushindwa kutoa ushauri wao wa kisomi kwa taasisi hiyo.

Mathalani, watafiti walijaribu kusema kuwa viongozi na wasomi hao walishindwa pia kusoma alama za nyakati kwa kumstadi adui badala yake waliendelea na siasa za maandamano, kauli nzito na tete, matumizi ya maneno yasiyo poozwa (mitusi) na kila namna walizofanya wakati wa awamu ya 4.

Watafiti wameongeza kuwa wakati wa awamu ya 4 chama kilikuwa kinabuni mbinu nyingi sana za kupenya katika siasa za kushindana na CCM kama sera ya kupambana na mafisadi, kufanya maandamano, slogani ya Peoples' Power, Chadema msingi, kurusha helikopta na nyingine nyingi. Lakini cha kushangaza walipoingia awamu ya 5 wakaingia na zilezile wakati mazingira yanakataa. Watafiti wanasema wameshindwa kujua ule ubunifu ulifia wapi.

Watafiti hao waliendelea kudadavua kuwa kushindwa au kuchelewa kwa kufanyika uchaguzi ndani ya chama hicho cha kidemocrasia pia imetia dosari kubwa, kwani hata jina la chama ni chama cha demokrasia tupu na si vinginevyo.

Mwisho walimalizia kwa kusema kuwa mengine ni madogo sana lakini yanaleta maswali mengi katika jamii kwa chama kikuu cha upinzani kukosa ofisi yenye hadhi na kuendelea kukodisha nyumba mtaa wa Ufipa, hili walilisema.
Upuuzi wa lumbumba
 
Haya!
IMG_20191105_215001.jpeg
 
Boss daza steven Yaani Bandiko lako linakuonyesha na linaonyesha Sura halisi, Lengo ni kuiua Chadema, na wala si kuua Upinzani. Na wala si CCM kushinda kwa kishindo. Kweli wahenga walisema .. Ukimya ni Jibu tosha. Mkifanikiwa kuia Chadema mjue itazaliwa Chadema Mpya yenye jina tofauti na Chadema. Nikukumbushe tu Upinzani hata CCM upo, angalia sasa hivi wanavyoparuana kuwania teuzi ndani ya Chama.

Msisahau/ Usisahau ... Bila Upinzani Madhubutu ... Hakuna Maendeleo, na Nchi bila Upinzani dhabiti ... hakuna Maendeleo.

Yaani 2015 Chadema ilikuwa chupuchupu kuchukua nchi na walisema kuwa waliibiwa kura zote, lakini leo dalili zote zinaonyesha kuwa Chadema inaweza kuporomoka hata kuwa kama chama cha NCCR MAGEUZI kuwa na mbunge 1 kama James Mbatia au hata kukosa kabisa mbunge.

Watafiti wa mambo ya siasa za Tanzania wamesema huenda hal ikazidi kuwa mbaya zaidi katika chama hicho hasa kutokana na uwanja wa siasa kubadiliswa.

Tafiti zinasema kuwa kitendo cha chama hicho kuachana na sera yao ya kupambana na ufisadi (Kamata Mwizi Man) na kuwa kinyume chake imeanza kupoteza mvuto katika medani za siasa.

Watafiti wanasema kutoka sera ya kupambana na wezi hadi sera ya kupinga kilakitu hili liliwatoa kabisa katika mstari.
Watafiti hao wamewatupia lawama nyingi wasomi waliokuwemo katika chama hicho kama Prof. Baregu, Dr. Mshingi na wengine kushindwa kutoa ushauri wao wa kisomi kwa taasisi hiyo.

Mathalani, watafiti walijaribu kusema kuwa viongozi na wasomi hao walishindwa pia kusoma alama za nyakati kwa kumstadi adui badala yake waliendelea na siasa za maandamano, kauli nzito na tete, matumizi ya maneno yasiyo poozwa (mitusi) na kila namna walizofanya wakati wa awamu ya 4.

Watafiti wameongeza kuwa wakati wa awamu ya 4 chama kilikuwa kinabuni mbinu nyingi sana za kupenya katika siasa za kushindana na CCM kama sera ya kupambana na mafisadi, kufanya maandamano, slogani ya Peoples' Power, Chadema msingi, kurusha helikopta na nyingine nyingi. Lakini cha kushangaza walipoingia awamu ya 5 wakaingia na zilezile wakati mazingira yanakataa. Watafiti wanasema wameshindwa kujua ule ubunifu ulifia wapi.

Watafiti hao waliendelea kudadavua kuwa kushindwa au kuchelewa kwa kufanyika uchaguzi ndani ya chama hicho cha kidemocrasia pia imetia dosari kubwa, kwani hata jina la chama ni chama cha demokrasia tupu na si vinginevyo.

Mwisho walimalizia kwa kusema kuwa mengine ni madogo sana lakini yanaleta maswali mengi katika jamii kwa chama kikuu cha upinzani kukosa ofisi yenye hadhi na kuendelea kukodisha nyumba mtaa wa Ufipa, hili walilisema.
 
Sawa hongera nyie munajari ushindi nasio kuwasaidia wananchi wapate huduma nzuri na safi kwa maisha rafiki!!!!
 
Dalili zipi zaidi ya Yohana Dengelua (Pombe) kufanya uhuni wa kulazumisha mafisi wapite bila kupingwa?

Afadhali enzi ya Nyumba na Jembe
 
Upinzani ni roho ya mabadiliko...
Roho hii inaishi ndani ya kila mmoja wetu...
Kadri mnavozidi kupambana na hawa mnaowaona sasa ndivyo wengine wajasiri wanavozidi kuibukia!!
 
Mleta mada ungetupa rejea labda ungeeleweka. Mbona NCCR mageuzi mrema aliachia uenyekiti na haikupata afya? Lakini ikiwa maoni ya mleta mada yana ukweli wagombea wa upinzani wasingekatwa bila sababu za msingi. Wangeachwa wakapambane kwa hoja na si kuwazuia kwa makusudi kama ilivyotokea
 
Kuna kipindi nilisemaga Mzee mamvi alijiunga chadema ili akakiue chama watu mkataa lakini amini mzee lowassa ndiye alisababisha chama Cha demokrasia na maendeleo kiwe kama kilivyo sasa
 
Back
Top Bottom