CHADEMA Inavyoporomoka kwa Kasi!

CHADEMA Inavyoporomoka kwa Kasi!

Huyu mzee wetu hajitambui.
weye unae jitambua umefanya nini lamaana kuuonesha umma kujitambua kwako???kauli kama yako ni sawa na aliyo itoa nape kwa wazee wa ntwara hii inaonesha ni kwa jinsi gani mlivo vihio wwa kufikiri.
 
ni mzee wa kishimundu mbege imemkolea Ikulu anaiona iko kilimanjaro.
Hata wazee mnatukana.. HII laana mbaya sana.. Baba Zenu waliwalisha Damu Za watanzania..ni LAANA flani hivi
 
Aha ha ha ha!...Kama Kusoma Hujui, hata Picha huoni?!

picha naona ....lakini si mlisema wanaoshabikia cdm ni vijana sasa heading inasema kuporomoka maanake nini kama juzi tu mme pigwa 4-0 takwimu zinaonesha wabunge na madiwani toka toka 0-numbers
 
naona watu wanajaza threads ambazo hazieleweki.
Anyway, ijumaa njema bhana
 
Back
Top Bottom