Huyu mzee wetu hajitambui........toka kwa watoto, vijana na sasa kwa Wazee! Mamvi umetisha....Haileman!
![]()
Huyu mzee wetu hajitambui.
hajitambui kwa lipi? Au kwasababu wewe unajitambua kwa kuwaibia watanzania? Shauri yakoHuyu mzee wetu hajitambui.
ukiona maelezo yanakuchanganya endelea kuangalia picha.mbona sikuelewi picha na maelezo ni tofauti
Kura yake kuhesabiwa aina uhusiano na kutojitambua.Kura yake inahesabiwa?
Aha ha ha ha!...Kama Kusoma Hujui, hata Picha huoni?!
Mbona husemi hajitambui kwa lipi?Kura yake kuhesabiwa aina uhusiano na kutojitambua.
.......toka kwa watoto, vijana na sasa kwa Wazee! Mamvi umetisha....Haileman!
![]()
Unawaza mbege tuni mzee wa kishimundu mbege imemkolea Ikulu anaiona iko kilimanjaro.