CHADEMA inavyoliangamiza Taifa!


Hivi suala la kujiunga na chama linahitaji watu wenye taaluma au kazi fulani? Kwamba mpaka uwe maarufu ndo upate haki ya kuingia au kutoka chama fulani? Hoja dhaifu sana hii ....!
 
ni vyema kuliko kwena lishwa unga na kubebeshwa unga na CCM
 
John Komba,Hadija Kopa, Asha Baraka ni wao tuwaite majalala au makopo we we vipi msanii sio binadamu huna adabu Raisi wako mwenyewe ni msanii,mswahili tu
 
Njia yako ya h.a.j.a. k.u.b.w.a. inawasha. JITAMBUE.
 
Umemsahau na huyu.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372064203818.jpg
    44.1 KB · Views: 60
Mbona india, amitha batchani, govinda, dharumendra n.k huwasemi,
 
kwanini unadhani Soggy ana njaa, huyo kijana ni Muajiriwa wa Radio moja kule mkoani Iringa, kwahiyo unataka kutuamisha watangazaji wa vituo vya Radio wana njaa ?
 
Umemsahau na huyu.

hahaha... nae anataka ubunge?

Kama CHADEMA ikiendelea na utaratibu wa kupokea tu watu wa aina hiyo na kuwafanya makamanda wao, basi nadiriki kusema bado CHADEMA haipo serious.

Kwani huku CCM kuna utaratibu maalumu wa kupata wanachama, ni ndio maana tuna 'wafia' chama wengi kwa taratibu tulizo jiwekea.

CHADEMA jifunzeni kutoka kwa baba.
 
Kila mtu ana haki ya kujiunga na chama akipendacho..... Kwa mfano Nakaaya alihamia CCM kwa utashi wake...
 

Kweli nimeamini CCM mkiwa waongo basi ni wepesi wakusahau!
 
shame upon ww mwanatunduru, umaskini wako sawa na akili yako,hiyo ni akili ya kushikiwa.
peleka aibu yako huko. mwisho wenu ni aibu hakuna la maana ccm ni uhuni n adili za uaji.
HATA KAMA MKIWAKAMATA WAKINA LISSU NA MNYIKA BADO WATZ SIO WAJINGA LAZIMA AIBU YENU IWEKUTA, NAJUA MKO BIZE NA MITANADAO KUITETEA MAITI YENU CCM ILA MUNGU NI MWAMINIFU MTAANGAMIA TU.
 

Kuwa mjinga si dhambi, lakini kujivunia ujinga ni dhambi. Mambo nyeti ya Kitaifa anayajua huyu?

Kuna mtu alitengeneza ARV feki hapa, watu wakala na wengine wakadhurika. Serikali yenu ilichofanya ni kufunga kiwanda chake kwa muda na sasa anaendelea kutengeneza sumu zingine. Hilo ni jambo nyeti, anzisha mada tujadili.

Haya mambo yenu ya kujifanya mna akili saaana kuliko watu wote hapa duniani ndio yanawaponza mnakuwa vituko na kuanza kulazimisha shikamoo kwa kufuga ndevu. Hivi mnataka tuwaheshimu kweli hata baada ya watu wazima na akili zao kuomba 1bn kwa ajili ya makaburi ya baadhi ya viongozi wa kitaifa katika nchi ambayo bado kuna kina mama wanajifungulia chini ya miti?

Ngojeni siku mtakayokuwa nje ya madaraka, tutawaonesha ni yapi mambo muhimu ya kitaifa. Kigwangala apeleke mijadala yake huko huko mlikojadilia ununuzi wa kiwanja cha makaburi kwa milioni elfu moja, hapa JF watu tuna akili zetu.
 
Naunga mkono hoja,Chadema wamelewa tamaa ya kuhitaji madaraka,Wanajiona wao ndo wao kwa akili,Hongera kaka yangu Kingwangala kwa mawazo yakizalendo
 
Kwa sasa chadema hakina jipya zaidi ya uzushi na ujanjaujanja wa kitoto.Kila siku wanakuja na vituko mara wana video inayoonesha tukio la bomu kwenye mkutano wao Arusha,mara waraka mishahara mipya kwa walimu nk.Vyote hivi ni ujanjaujanja wenye lengo la kuwapandikiza hasira na chuki dhidi ya serikali wananchi.Chadema mtaumbuka muda siyo mrefu ujao,inavyoonekana kuna mtu aliyekuwa anarekodi hilo tukio na hiyo anatupa picha kwamba Chadema ndio wanahusika kulipua bomu katika mkutano wao ili kuwahadaa watu.Matukio yote haya yanatudhihirishia wananchi kuwa chadema hakifai kabisa na inabidi kife tu maana ni hatari kwelikweli.Huwezi kufanya mauaji ya watu wasio na hatia kwa malengo ya kisiasa wakati huohuo unataka kura kwao,ukiua wote nani utamuongoza? Siasa majitaka kweli.Vijana wa chadema mmekuja na vioja,eti waraka kwa walimu,mmh inatisha sana ndio maana pinda amesema mpigwe tu maana siasa zenu zina walakini,ni siasa mfu zitakazowagharimu sana
 

Watu wasiojulikana wamechoma moto jengo la ofisi ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma tukio lililotokea Juni 21 mwaka huu majira ya usiku pamoja mlinzi wa ofisi hizo kuwepo katika eneo hilo la ofisi mpaka majira ya saa 12 asubhi na hakuweza kutambua kutokea kwa kitendo hicho kilichofanywa na watu wasiojulikana usiku huo.
 

acha kupotosha
 
usiogope tumekusoma kwamba nyie ndio sawa na dada poa, mnahongwa pesa, chips,pombe kama malaya huku usaliti wenu kwa umma ukiwa sehemu ya maisha yenu milele,sema lolote kuhusu CDM ila huu ndio ukweli kwamba CCM NI GENGE LA UHUNI ----- LA MAHARAMIA WA KIUAJI CHINI KIONGOZI DHAIFU KULIKO WOTE KUWAHI KUTOKEA TZ KIKWETE.
CCM NA VIONGOZI WAO NA WAFUASI WAO SIKU SIO NYINGI MTAONA GADHAMU YA UMMA



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…