MNYIKA unanishangaza sana,mzee mtei ni kiongozi mwenye nguvu sana CHADEMA.mimi naamini hakuteleza hii ni ajenda yake na CDM wanaifanya makusudi.halafu ajabu mpaka ZITTO kamponda ww unajifanya kumtetea.kiufupi chadema ni wadini hata kampeni zao wanaegemea upande mmoja tu.
Nani asiyejua kuwa Zitto ni pandikizi [MOLE] wa ccm katika Chadema!!