CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

Mzee mtei ni muasisi na ni muasisisi wa chadema maoni yake yana nguvu katika chama mnyika! hilo halipingiki hata kidogo.

Taarifa imeandikwa kwa Kiswahili bado una unapata shida kuielewa,je ili uielewa tuitafsiri katika lugha gani??????????
Hakuna sehemu yoyote ilipoandikwa kuwa maoni ya Mzee Mtei hayana nguvu au la imeandikwa ni MAONI YAKE BINAFSI NA SI MATOKEO YA VIKAO VYA CHAMA. Imeeleweka sasa au tubadili lugha????


 
Tafsiri yangu hapa ni kwamba Mnyika anasema: Msimsikilize yule babu hajui analo nena.

Kauli ya muasisi wa chama has got a lot to do with the philosophy of the party. Inamaanisha wao wakati wanatengeneza Chadema walijikita kwenye misingi hiyo ya udini na ukanda...

Akasema: Kwa hakika umenena...................
 
Labda atuambie kwa nini wabunge wa Chadema viti maalum wengi Wakiristu? Wapo wabunge 25 Wakirstu 19 na Waislam 6 walitumia vigezo gani kuwapata?

Swali la kitoto hilo.Kama hawataki kujiunga na cdm wawafuate huko misikitini kama manavyofanya nyie?Wajiunge kwanza ndipo useme hayo.Wao wanafikra mgando ukiwemo wewe kuwa cdm ni ukristo sasa ccm na cuf ni uislamu na mimi sitojiunga kamwe na cuf wala ccm.
 
Kama wakristo wangeamua kuipigia debe cdm hakika ingeingia ikulu siku nyingi.Kwanza uzuri wakristo hawababaishwi,wamesoma na wameelimika.Uislamu wa ccm upo huko zanzibar kitu ambazo kura zake haziwezi kuamua kumuweka muislamu madarakani.Unapaswa kuelewa hilo.Kama mpo wengi waislamu mbona sensa ijayo mnadai mnataka muhesabiwe peke yenu na wakristo peke yao?Mnataka kujua nini?Hata mngezaana mchana na usiku kila siku hamuwezi kufikia idadi ya wakristo.Achana na mawazo mgando ya kuipigia debe ccm kwa maslahi yako binafsi.

Nasikitika sana wengi wenu hamjui hata maana ya sensa.
pia hamfuatilii hata machapisho ya kidemographia
Nimetoa link na tatiti mbali mbali zinazosuggest idadi sawa baina ya waumini wa dini hizi mbili. au nyingine zikisema waislam ni wengi.
kama unahitaji sema.
 
Kama wakristo wangeamua kuipigia debe cdm hakika ingeingia ikulu siku nyingi.Kwanza uzuri wakristo hawababaishwi,wamesoma na wameelimika.Uislamu wa ccm upo huko zanzibar kitu ambazo kura zake haziwezi kuamua kumuweka muislamu madarakani.Unapaswa kuelewa hilo.Kama mpo wengi waislamu mbona sensa ijayo mnadai mnataka muhesabiwe peke yenu na wakristo peke yao?Mnataka kujua nini?Hata mngezaana mchana na usiku kila siku hamuwezi kufikia idadi ya wakristo.Achana na mawazo mgando ya kuipigia debe ccm kwa maslahi yako binafsi.

Wakristo waliandika waraka na maaskofu walianzisha mkakati katika kila jumuiya kumchagua padre slaa unajua nini kilitokea mlianguka kwa pua nyaamafu zenu....

Wakristo wamesom nani kakwambia waislamu hawajasoma phew! kama mngesoma mngetaka kwenda kuhubiri injili bila passport uwanja wa ndege pathetic ...
 
Swali la kitoto hilo.Kama hawataki kujiunga na cdm wawafuate huko misikitini kama manavyofanya nyie?Wajiunge kwanza ndipo useme hayo.Wao wanafikra mgando ukiwemo wewe kuwa cdm ni ukristo sasa ccm na cuf ni uislamu na mimi sitojiunga kamwe na cuf wala ccm.

Sitojiunga na chadema na waumini wengi wa dini yangu pia hawatajiunga na hicho chama ambacho ni department ya kanisa ...
 
Labda atuambie kwa nini wabunge wa Chadema viti maalum wengi Wakiristu? Wapo wabunge 25 Wakirstu 19 na Waislam 6 walitumia vigezo gani kuwapata?

Waliangalia kwamba chama chao misingi yake ni nini? ukristo so wakristo wengi na uchagga so wachagga wengi

Kingine je hiyo misingi imebadilishwa lini? (mnyika mlamba viatu vyeo 7 mtu moja) anaweza?
 
chadema nichama cha kikiristo hata mtoto analijua hilo, mungu hamfichi mnafiki hatimae leo muasisi wachama cha kikiristo chadema mtei kabwabwaja maneno bila kificho akili kichwani kwako ewe mtz
 
Maneno yako hayawezi kupita bila kupingwa hapa.Mimi ninatoka kusini.Lakini ukiwaambia watu wajiunge na chadema wanaogopa kwa ujinga na kukosa kwao elimu.Sasa nafas za viti maalumu zinapotoka unataka wampe nani ikiwa hawakujiunga na chadema?Waache kuwachagua hao wa kaskazini eti kwa kuogopa kuitwa wa ukanda?Hilo nalipinga.Watu wa mtwara, Sumbwanga,Songea,Lindi na kwingineko wanakogomea mabadiliko wakitaka kupata nafas za kamati tendaji,viti maalum,ruzuku kutumiwa ukanda mwingine basi wajiunge na chadema na pia wagombee nafasi hizo.Ukanda wa kaskazin wanapenda mabadiliko,wamesoma na hawaogopi na zaidi ya yote wameelimika na hawadanganyiki na CCM.Sisi wa kusini tumeendelea kuwatukuza kina Membe,John komba,Mtutura na makando kando yao.Jiungeni CDM mpate hizo nafasi.Acha mawazo mfu.Hata wewe ukianzisha kampuni yako hutagawa share kwa mtu asiye wako.Achana na umbea.
Kwa nini waislamu wasijiunge na cdm?wamekatazwa?

Zitto ni mkristo aliipataje cheo?Ni kwa vile alijiunga nacho.Shida ya wafuasi wa ccm ni kufuata maslahi na si kuwa mnakipenda chama.

Maneno yako pia hayawezi kupita bila kupingwa hapa!!!
Ni kutowatendea haki kuwaita hao watu kwamba ni wajinga au hawana elimu na ndio maana hawajiungi na CHADEMA!! Ukweli ni kwamba, CHADEMA hajafanya lolote la maana la kuushawishi umma wa kusini kujiunga na chama hicho! Hili nimeliongelea sana na nitaendelea kuliongea! Ni makosa makubwa kuwa-underestimate hawa watu! Watu wa Kigoma wana elimu gani ya kutisha hata wakawa leading region kwenye suala zima la upinzani?! Dr. Kabour baada ya kutoka USA na kujiunga na CHADEMA alifanya kazi kubwa kuwaunganisha wananchi wa huko hadi wakaukubali upinzani! Huko kanda ya ziwa, iilikuwa ni ngome ya kujidai ya CCM hadi pale CHADEMA walipoanzisha Operesheni Sangara na hapo ukawa ndio mwisho wa majivuno ya CCM upande huo!

CHADEMA ya kabla Operesheni Sangara ilikuwa ni ya ajabu kidogo!! Maeneo yote ambako iliota mizizi ilikuwa ni kule tu ambako kuna uongozi wa juu! CDM ilikuwa na nguvu Kigoma anakotoka Zitto....ilikuwa na nguvu K'njaro ambako jibu unalo! Ikawa na nguvu Arusha ambako nako ni ngumu kutofautisha kati ya K'njaro na Arusha kutokana na mwingiliano wa kijamii uliopo kwenye mikoa hiyo miwili! Aidha, ilikuwa na nguvu Shinyanga, nyumabni kwa Bob Makani.....baada ya hapo, CDM haikuwapo hadi pale walipoanzisha mkakati wa makusudi kule kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini! Je, ni mikoa gani au pande zipi za nchi yetu ambako tena CDM walipeleka hiyo mipango yao ya makusudi ya kujenga chama?! Usitarajie kwamba wananchi wanaweza tu kujiunga chama kwa kukisikia redioni...NEVER! Kwavile CDM walikuwa na ngivu sehemu zile tu ambazo umetoka uongozi wa juu; nikawapa changamoto kwamba basi ile sera yao ya majimbo ianzie kwenye vyama! Kwamba, pawe na ofisi ya CHADEMA kanda ya kusini, ya mashariki...etc! Hii ingesaidia kuwa na vigogo wa chama sehemu mbalimbali za nchi! Lakini kama ilivyo desturi ya mashabiki wa CDM wa JF, waliishia kuporomosha matusi tu na kukana ukweli kwamba chama kilikuwa kimejengeka kule tu ambako kuna viongozi wa juu!! Mie nilikutana na mtu mmoja toka bush kwe2 ambako ni moja ya hiyo mikoa uliyoitaja!! Swali langu la kwanza kumuuliza ni nguvu ya CDM pale kijijini! Jibu lake lilikuwa kwamba hakuna hata ofisi wakati kile kijiji ni kikubwa chenye wakazi karibu elfu 15 (sensa ya mwaka 2002 walikuwa wakazi 10000 plus!) Nikauliza endapo wameshawahi kuja viongozi wa CDM angalau wa mkoa, akasema hajawahi kuwaona! Then do you expect mtu ajiunge tu bila hamasa?! Sahau, hilo halipo na litachukua muda sana kutokea na badala yake wataishia tu kuwadharau kwamba watu wa pwani/kusini hawajasoma na ndio maana hawaiungi mkono CDM!!! Lindi ilikuwa ni ngome ya CCM, lakini leo hii CUF wana majimbo mawili kule!! Na hakuna asiyefahamu kwamba Lipumba alipiga ngome....manake wapuuzi wasio na hoja wanahusisha kukubalika kwa CUF Lindi ni kv Lindi ni Waislamu na CUF ni chama cha kiislamu!


 
CHADEMA hakiamini katika udini bali unahusu uwezo na uadilifu wa wajumbe husikaseheme ya taarifa ya ndugu Mnyika.Chama kina jengwa na watu,wanao undwa katiba,sheria ,kanuni na taratibu za chama...wana chama wana paswa kuzifahamu na kuzifuata taratibu za chama. kwa mtu kama Edwin mtei ambaye si tu mwanachama bali ni mwasisi wa chama,ni mtu ambaye anazifaham taratibu zote na kanuni za chama huenda kuliko Mnyika (through not the case).kwa nini ana hubiri udini wazi wazi kiasi kile? nashauri chama kimchukulie hatua kwa sababu ya kuhubiri udini kinyume na kanuni na taratibu za cdm kama mnyika anavyosema.sikujua kama contest ya macho ya mzee huyu huwa ni dini....shame on him.why cdm mnawafuasi/wasisi wasiofuata taratibu kiasi hiki?
 
Swali la kitoto hilo.Kama hawataki kujiunga na cdm wawafuate huko misikitini kama manavyofanya nyie?Wajiunge kwanza ndipo useme hayo.Wao wanafikra mgando ukiwemo wewe kuwa cdm ni ukristo sasa ccm na cuf ni uislamu na mimi sitojiunga kamwe na cuf wala ccm.

Nashukuru Mkuu kwa majibu yako murua.
 
hakuna lolote hiki chama ni full ugalatia,Mtei anakijua chama kuliko huyo mnyika.Mtei anajua zaidi kwanini alianzisha cdm.Mnyika anakurupa kuziba kombe mwanaharamu apite
 
Waliangalia kwamba chama chao misingi yake ni nini? ukristo so wakristo wengi na uchagga so wachagga wengi

Kingine je hiyo misingi imebadilishwa lini? (mnyika mlamba viatu vyeo 7 mtu moja) anaweza?
Kikwete ana vyeo vingapi?Anaweza?Mbona anaishia kutafuta bembea Jamaika.
 
Back
Top Bottom