The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,247
chadema nichama cha kikiristo hata mtoto analijua hilo, mungu hamfichi mnafiki hatimae leo muasisi wachama cha kikiristo chadema mtei kabwabwaja maneno bila kificho akili kichwani kwako ewe mtz
kamwe! Usiombe hii propaganda iwaingie akilini waTZ,make tukipiga kura kidini ie chadema wakristo na ccm waislamu,basing on popln,daima ccm wasingetawala nchi hii!