lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,374
Chadema ni chama makini sana.Kina wana mziki mahiri sana wanaojitambua na wenye uelewa mpana wa mambo yanayohusu jamii ukilinganisha na wasanii wa ccm.Tuanze kuangalia baadhi ya waimbaji wa mziki wa cdm na ccm kati yao wapi wanashughulika na mambo ya kijamii zaidi upande wa chadema (1sugu cdm, profesa jay, cdm lad jaydee, cdm afande sele cdm roma mkatoliki cdm, tuje upande wa ccm diamond,wema sepetu irene uwoya j.b dr chen,steven nyerere inspecter haruni, kuna tofauti kubwa sana ya uelewa kati ya waimbaji hawa
