CHADEMA ina wanamuziki makini sana kuliko CCM

CHADEMA ina wanamuziki makini sana kuliko CCM

afande_sele4.jpg

Anautaka ubunge, vp ameshanyoa rasta?
 
huu ndio umakini unaongelea

Hazungumzii wakati wa kazi. Hata Swaztnigger wakati akiigiza sinema alikuwa akijipaka matope ogopa alipoupata Ugavana alikuwa ni mtu wa kutetea jamii.
Kazi ya usanii ni moja na kuwa karibu na jamii ni jingine. Hapa nitofauti juu ya u karibu wa wasaniii hao na jamii. Wa CDM wanakuwa makini kwa kuwa karibu na jamii kuliko wa CCM.
 
Jb, dr. Cheni, Irene Uwoya,,,,,,,,,,,ni wanamuziki??
 
Mimi napendekeza ROMA MKATORIKI atumike sana ktk campaign za CHADEMA. Mimi siyo shabiki sana wa hii miziki ya kizazi kipya, lakini ukimsikiliza huyu bwana mdogo, dah, nyimbo zake zimebeba bonge la msg.
 
Na hawa cjui bendi gani
 

Attachments

  • 1423387625321.jpg
    1423387625321.jpg
    51.8 KB · Views: 128
Back
Top Bottom