A Afcon kinanuka JF-Expert Member Joined Apr 5, 2026 Posts 1,500 Reaction score 3,874 Apr 18, 2026 #161 narogo said: Cha ajabu hivi unajua kabisa kwamba una kundi kubwa tu linaloamini porojo kama hizi Click to expand... Kwa hiyo wewe huamini kuwa polepole kauliwa na hili genge la CCM?
narogo said: Cha ajabu hivi unajua kabisa kwamba una kundi kubwa tu linaloamini porojo kama hizi Click to expand... Kwa hiyo wewe huamini kuwa polepole kauliwa na hili genge la CCM?
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,926 Reaction score 129,063 Apr 18, 2026 #162 Ozon said: Iwapo jambo hili ni kweli, basi ni wazi kwamba CHADEMA imewasaliti Watanzania. View attachment 3574549ma Click to expand... Una uhakika haya ni maneno ya Lisu? Lakini hata Iran kaingia kwenye mazungumzo na viongozi wake wamuawawa, je amekubali kila anachoambiwa na US?
Ozon said: Iwapo jambo hili ni kweli, basi ni wazi kwamba CHADEMA imewasaliti Watanzania. View attachment 3574549ma Click to expand... Una uhakika haya ni maneno ya Lisu? Lakini hata Iran kaingia kwenye mazungumzo na viongozi wake wamuawawa, je amekubali kila anachoambiwa na US?
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,926 Reaction score 129,063 Apr 18, 2026 #163 rodrick alexander said: Lissu anataka aachiwe ili aingie kwenye mazungumzo na serikali iliyoiba kura, imeua watu, wameteka kina Soka, Mdude, Polepole na wengineo . Kama atafanya hivyo utakuwa usaliti mkubwa. Click to expand... Iran viongozi wake wa juu wameuwawa na US, lakini kaingia kwenye mazungumzo. Je anapelekwa hovyo?
rodrick alexander said: Lissu anataka aachiwe ili aingie kwenye mazungumzo na serikali iliyoiba kura, imeua watu, wameteka kina Soka, Mdude, Polepole na wengineo . Kama atafanya hivyo utakuwa usaliti mkubwa. Click to expand... Iran viongozi wake wa juu wameuwawa na US, lakini kaingia kwenye mazungumzo. Je anapelekwa hovyo?
O Ozon JF-Expert Member Joined Dec 19, 2024 Posts 2,909 Reaction score 4,706 Apr 19, 2026 Thread starter #164 Tindo said: Una uhakika haya ni maneno ya Lisu? Lakini hata Iran kaingia kwenye mazungumzo na viongozi wake wamuawawa, je amekubali kila anachoambiwa na US? Click to expand... CHADEMA walitoa taarifa rasmi kudhibitisha hilo.
Tindo said: Una uhakika haya ni maneno ya Lisu? Lakini hata Iran kaingia kwenye mazungumzo na viongozi wake wamuawawa, je amekubali kila anachoambiwa na US? Click to expand... CHADEMA walitoa taarifa rasmi kudhibitisha hilo.
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,926 Reaction score 129,063 Apr 19, 2026 #165 Ozon said: CHADEMA walitoa taarifa rasmi kudhibitisha hilo. Click to expand... Cdm walimsikia Lisu wao wenyewe au wameambiwa hayo?
Ozon said: CHADEMA walitoa taarifa rasmi kudhibitisha hilo. Click to expand... Cdm walimsikia Lisu wao wenyewe au wameambiwa hayo?
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,306 Reaction score 28,730 Apr 20, 2026 #166 Ozon said: Iwapo jambo hili ni kweli, basi ni wazi kwamba CHADEMA imewasaliti Watanzania. View attachment 3574549ma Click to expand... Iwapo kwa mta,amo wako chadema ni wasaliti je vipi utaiona ccm?Bila shaka itakuwa katika mwonekano wa shetani!
Ozon said: Iwapo jambo hili ni kweli, basi ni wazi kwamba CHADEMA imewasaliti Watanzania. View attachment 3574549ma Click to expand... Iwapo kwa mta,amo wako chadema ni wasaliti je vipi utaiona ccm?Bila shaka itakuwa katika mwonekano wa shetani!
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 13,061 Reaction score 11,668 Apr 20, 2026 #167 Ilikuwa suala la muda tu. Chadema wepesi mno kumuita mtu msaliti. Amandla...
O Ozon JF-Expert Member Joined Dec 19, 2024 Posts 2,909 Reaction score 4,706 Apr 20, 2026 Thread starter #168 Wildchild said: Iwapo kwa mta,amo wako chadema ni wasaliti je vipi utaiona ccm?Bila shaka itakuwa katika mwonekano wa shetani! Click to expand... Hao CCM ni maiti inayotembea.
Wildchild said: Iwapo kwa mta,amo wako chadema ni wasaliti je vipi utaiona ccm?Bila shaka itakuwa katika mwonekano wa shetani! Click to expand... Hao CCM ni maiti inayotembea.