Job Ndugayi amefariki dunia!Wanaukumbi.
CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..
Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.
Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..
UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;
1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa
2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025
3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya jana bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika
4. Baada ya bunge kufika kikomo jana na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale
Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa jana kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?
Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Chiba na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.
Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?
Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbona mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?
Kuwaonyesha kuwa uchaguzi upo palepale ni hivi leo CCM wanachagua watu wa kuwawakilisha kwenye nafasi ya ubunge nchi nzima na nyie mmekaa mnatoa macho tu kwa sababu ya ujinga wenu wa kusikiliza ushauri wa hovyo wa wanaharakati kuwa watawasaidia kuzuia uchaguzi.
Tuliwaambia mtu kashindwa kumjengea mama yake na baba yake choo kwao anawezaje kuwasaidia kujenga chama? Au hamjaona picha ya choo cha nyumbani kwa wazazi wake Maria ? Uke ulikuwa mfano tosha sana kwenu lakini hamna akili za kufikiria mambo kwa mtazamo mpana haya leo mmekuwa watazamaji kwenye uchaguzi !..
Hamnaga akili kabisa nyie watu!..
Kila mtu atakufaJob Ndugayi amefariki dunia!
LISSU ALIHARIBU MARIDHIANO YA CHADEMA NA CCMJob Ndugayi amefariki dunia!
Kifo ni kifo tuuJob Ndugayi amefariki dunia!
Kuna chama gani duniani hakina makundi na uungwaji mkono na group fulani, hata huko USA uchaguzi wa vyama kuna makundi kabisa huyu ni Pro huyu huyu Ant huyu tena kule na mtu anatoa pesa kabisa wazi kushawishi achaguliwe mtu. Musk katoka mamilioni kumsaidia Trump wala sio siri ili ije serikali itakayompa maslahi mapana. Mimi sioni cha ajabu ila uchaguzi ukiisha wa ndani wakija kupambana na adui wanakuwa wamoja.Polepole kasema nchi hii inaratibiwa kila kitu na wanamtandao na muasisi na mwezeshaji ni rost sisi ni nani tupinge mkuu wa nchi toka iranii na wasaidizi wake toka msoga na kizimkuze?
Chadema hawajakosea lolote wapo ndani ya nchi mkubwa hata mgawo abduel ndio fungu linapotoka la kununulia chauma na act wazalendoz
Kwa sasa wewe hagaika na Chaumwa,huku bada kunani?Wanaukumbi.
CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..
Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.
Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la kufanya hatakati zao kwa kuwa watawaharibia chama hamkutaka kusikiliza kabisa yaani..
UFIPA na wanaharakati uchwara walisema haya;
1. Walisema uchaguzi mwaka huu hautafanyika mpaka mabadiliko yafanywe (wakati yalishafanywa wakasusa kushiriki) lakini tume huru ya uchaguzi ikatanganza kuwa uchaguzi upo na tarehe ikatangazaa
2. Walihamasisha watu wasijiandikishe kushiriki uchaguzi kwa kuwa haupo lakini watanzania wamejitokeza sana kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2025
3. Walipayuka sana kuwa bunge halijavunjwa eti CCM wamebanwa na wafadhili sijui wanaogopa vikwazo haya jana bunge limefika kikomo rasmi na halipo tena na kuruhusu mchakato wa kuchagua wabunge upya kufanyika
4. Baada ya bunge kufika kikomo jana na leo watu wanapigiwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kuwa wabunge kwa ajil iya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ni ishara kuwa uchaguzi uko palepale
Nataka niwaulize bado mnawachukulia hawa wanaharakati ni watu wenye akili timamu? Bado mnadhani hawa ni watu wa maana kuwafuata na kuwasikiliza? Walisema uchaguzi hakuna huu unaoandaliwa sasa ni kitu gani ? Walisema bunge halivunjwi ili kukaa na kupitisha mabadiliko haya kilichovunjwa jana kwa tamko la Rais kwenye gazeti la serikali ni nini?
Wanaharakati ni watu wajinga sana na wamekuwa wanatumia vyama kama CHADEMA kufanya ajenda zao.! Walipigana sana kupata nafasi hii wakati wa Mbowe wakashindwa kuipata vizuri sasa wameipata wakati wa Chiba na wamefanikiwa kukivunjilia mbali chama hiki ambacho sasa kimebakia na kazi ya kwenda mhakamani kila wiki na kufanya mambo yao kwenye clubhouse na spaces huko kwa kuwa kimepigwa pini kufanya shughuli za kisiasa!.
Haya ndiyo mambo walikuwa wanataka wanaharakati ili wawe na ajenda ya kufanya kwa miaka mitano ijayo. Tuliwaambia CHADEMA haina ukubwa wanaojidanganya wako nao lakini walikuwa hawataki kusikia. Tuliwaambia wao siyo maarufu kama wanavyofhani hawakuwa wanasikia haya mbona uchaguzi unafanyika na hamna cha kufanya?
Mbona mmepigwa marufuku kufanya siasa na mmefyata mkia? Fanyeni mikutano basi mbona mmekwama sasa hivi? Si mlisema hakuna wa kuwazuia kufanya mikutano au? Mbona mmezuiliwa?
Kuwaonyesha kuwa uchaguzi upo palepale ni hivi leo CCM wanachagua watu wa kuwawakilisha kwenye nafasi ya ubunge nchi nzima na nyie mmekaa mnatoa macho tu kwa sababu ya ujinga wenu wa kusikiliza ushauri wa hovyo wa wanaharakati kuwa watawasaidia kuzuia uchaguzi.
Tuliwaambia mtu kashindwa kumjengea mama yake na baba yake choo kwao anawezaje kuwasaidia kujenga chama? Au hamjaona picha ya choo cha nyumbani kwa wazazi wake Maria ? Uke ulikuwa mfano tosha sana kwenu lakini hamna akili za kufikiria mambo kwa mtazamo mpana haya leo mmekuwa watazamaji kwenye uchaguzi !..
Hamnaga akili kabisa nyie watu!..
Sawa kapige kura wewe umchague unayemtaka alafu atangwazwe.Wanaukumbi.

We piga kura tu inatoshaWanaukumbi.

Maandishi mengi utumbo mtupu!no Reforms No ElectionWanaukumbi.

Upewe maua yako umetumbua jipu. Mbwa malaya moja tu ameshindwa ht kumzika babake bd umsikilize. Hawana akili ndio maana wanaitwa nyumbu.Wanaukumbi.