Katiba ya nchi inavunjwa mbona huko mpo kimya ila hili la chadema mnashupalia kama mnapimwa tezi dume fanyeni yenu nyieMnatumia nguvu kubwa mno kutaka kuhalalisha upuuzi.
Nini maana ya kuwa na katiba sasa?
Tupeni jalalani katiba chama kiendeshwe kwa busara ya Mwenyekiti.
Hivi siyo nyie kila siku humu na kwenye vyombo vya habari mlikuwa mnapiga kelele kuwa Rais anakanyaga katiba ya nchi?!! Inakuwaje Mbowe anakanyaga katiba ya chama mnachekelea? Hivi mna akili timamu kweli?!Katiba ya nchi inavunjwa mbona huko mpo kimya ila hili la chadema mnashupalia kama mnapimwa tezi dume fanyeni yenu nyie
Katiba ya nchi inavunjwa mbona huko mpo kimya ila hili la chadema mnashupalia kama mnapimwa tezi dume fanyeni yenu nyie
Mtonyo ndiyo nini? Lugha hizi peleka insta & FacebookNauliza hivi: Makamu mwenyekiti BAVICHA na Mwenyekiti Msigwa ambaye pia ni mbunge nani anapata mtonyo zaidi?
Acha uongo na unafiki, tupo naye kila siku Iringa, labda kama kuna dar ya Iringa.Mnamfariji sosopi baada ya kumfanyia fitina....Msigwa anaishi Dar Iringa anakujaga kipindi cha uchaguzi tu
Unajua maana ya hiki ulichokiandika? Hii ni character assassination! Ujue maana halisi ni kuwa Sosopi hajitambui. Kwamba Sosopi hajui kuwa MM bavicha uko juu ya M/kanda. Kama uliyoandika ni kweli, kuwa makamu mwenyekiti taifa hajitambui kiasi hiki, ni nani atamwamini tena.Nchi nzima ni zaidi ya majimbo 235 ambayo Sosopi anatakiwa kuyasimamia.
Msigwa kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33
kwa msingi huu Sosopi kwa cheo chake cha makamu mwenyekiti BAVICHA Taifa.
Ni mkubwa zaidi kiutendaji na kimamlaka kiliko msigwa. Msigwa ambae ni Mwenyekiti mpya kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33 katika eneo lake la kimamlaka.
Hivyo Msigwa ni mdogo sana kimamlaka.
Sosopi akiwa na ziara kanda ya Nyasa, Msigwa lazima awepo na kuandaa ziara ya makamu Mwenyekiti BAVICHA taifa.
Sosopi ni kiongozi wa kitaifa na Msigwa ni kiongozi wa kanda. Sasa kuenguliwa kwa Sosopi katika kugombea nafasi ya kanda ni katika kumpa heshma kubwa sana.
Pia chama kimetambua majukumu makubwa na heshma aliyo nayo Sosopi. Sosopi kimajukumu anatakiwa aishi DSM kuwa karibu na ofisi kuu za chama je kanda itakuwa ofisi yaendeshwaje?
Msigwa yuko Iringa na anaishi Iringa hivyo atakuwa mtu sahihi kuwa Mwenyekiti wa kanda kwakua anaishi kanda ya Nyasa muda wake mwingi.
Chama kimefanya busara za kiutendaji kumuengua Sosopi abakie na majukumu yake ya sasa ya BAVICHA.
Nchi nzima ni zaidi ya majimbo 235 ambayo Sosopi anatakiwa kuyasimamia.

Sasa kwanini mnampinga Rais akifanya ivo kwa maendeleo ya taifa...YES.
..kama hali halisi inalazimisha hivyo ili kukiwezesha chama kuongeza ushawishi ktk kanda ya Nyasa.