CHADEMA imelinda heshima ya Sosopi

Bongo chama kimoja tu CCM , Hizi nyengine NI Saccos tu ZA watu binafsi zinazotumia ulaghai na manung'uniko ya wananchi kwa maslahi Yao na familia zao.
AMKENI ENYI WADANGANYIKA
 
..huyo ndugu yangu tayari ana majibu ya maswali yake.

..ni mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa ku compromise.

..kutokana na msimamo wake anaamini kuwa katiba za vyama vya siasa ni sawa na katiba ya nchi.
Mkuu, mie sina majibu ya maswali niloyauliza lakini maswali yale yangepewa majawabu yange-set stage nzuri sana ya majadiliano na kukitendea haki post yako.

Aidha you cannot compromise with people's rights neither negotiate! Tuta-compromise kwa Mambo mengine lakini sio kwenye neno "haki"!

Kulinganisha ama kutolinganisha Katiba ya vyama na Katiba ya nchi, bado haikupi uhalali wa kubaka demokrasia

Kwa ufupi mmemkatili sana sosopi na ni kosa kubwa mno kwa chama kikuu cha siasa kunajis demokrasia.

Kwa haya na mengine meengi, CCM na serikali yao wanatumia hizi loopholes kuwamalizeni, NAAM na hamtobaki salama !
 
sosopi na mwenyekiti wako wa BAVICHA mmepoa sana tofauti na kipnd cha ndg HECHE,vjana hamzunguki kuwaelimisha vjana kwa kuwapa elimu ya uraia sijui kwa nn? na niny mmesha anza kuiga matamko ya wazee wa chadema na kuwa kimya kama mhako vile'
Siku zote alie chini anaongozwa na alie juu kipindi hicho uongozi wa juu ulikuwa imara saizi uongozi umepwaya kidogo
 
Mkuu emb yape majawabu Haya maswali maana unaonekana ni team maamuzi on Sosopi's matter;

1. Nini maana ya demokrasia kwa muktadha wa CDM?

2. Kwanini hamkumuondoa sosopi mapema wkati wa mchakato wa awali kabisa/wakati wa kampeni au kabla badala yake mumemuacha mpk dakika Za mwisho mkamuondoa bila kumpa nafasi na Haki yake ya kuchaguliwa?

3. Kwanini mnahofia Mambo ya ukabila na ukanda ikiwa mna Uhakika hayo hayamo ndani ya Chadema?

4. Utakubaliana na Mimi kuwa hayo maamuzi ya Mbowe yamekua ni desturi kufanya maamuzi binafsi hata wakati wa kumpata Dr. Mashinji Katibu Mkuu badala ya kupiga Kura kwa wote walioomba?

5. Mnapata wapi mandate ya kudai Haki na demokrasia hapa nchini wakati ndani mnabaka demokrasia na Haki ya wengine kuchaguliwa?

6. Mchakato wa kupata viongozi ni kwa mujibu wa Katiba au ni kwa matakwa na mahaba ya Mwenyekiti?

7. CDM ni Mali ya nani, ya Mbowe au ya wanachama?
Mkuu ongezea hapo

9. Uteuzi wa Lowasaa kupeperusha bendera ya cdm ulishindanishwa na wagombea gani? Au ni ubabe wa Mbowe?
 
Bongo chama kimoja tu CCM , Hizi nyengine NI Saccos tu ZA watu binafsi zinazotumia ulaghai na manung'uniko ya wananchi kwa maslahi Yao na familia zao.
AMKENI ENYI WADANGANYIKA
Hata ccm kwenyewe kumeoza lakini nachelea kusema ni bora mara mia kuliko hiki cha Mbowe.

CHADEMA + CHADEMA = MBOWE. Period!
 
Mkuu ongezea hapo

9. Uteuzi wa Lowasaa kupeperusha bendera ya cdm ulishindanishwa na wagombea gani? Au ni ubabe wa Mbowe?
Mkuu yapo mengi ya hovyo hovyo kunakofanywa na hawa watu. Sisi ni Chadema kweli kweli lakini tunakatishwa tamaa na ubabe wa Mbowe.

Huyu Mwenyekiti nampuuza huwa nikisikia akidai demokrasia inabakwa nchini, mara JPM ni dikteta etc.....nimeamini "Nyani haoni kundule"

Kwa mwenendo huu, hiki ni chama cha dana dana under Mbowe's regime....
 
Nali,

..labda nikuulize maswali haya.

..wewe ni mwanachama au mshabiki wa cdm?

..unamkubali Mh.Msigwa kama kiongozi wa kanda ya Nyasa na upo tayari kumpa ushirikiano?

..kutokuchaguliwa haimaanishi kwamba huna nafasi ya kutoa mchango ktk chama.

..pia wana cdm muwe waangalifu ni hii tabia ya kukamia mno nafasi za uchaguzi.

..muwe wepesi kuvunja makundi ya uchaguzi na ku support maamuzi ya chama.

..wenzenu wa Democrats waliokuwa wakim support Bernie Sanders walisusa kumpigia kura
Hillary Clinton leo wanajutia uamuzi wao baada ya Donald Trump kuchaguliwa.

..CCM pamoja na mapungufu yao siku zote hu support maamuzi ya chama. Na hiyo ni moja ya siri za ushindi wao dhidi ya vyama vya upinzani.

.hii ni tofauti na CDM ambao chama kikichukua uamuzi usiowapendeza wanachama fulani basi wanachama hao hukihujumu chama.

..wapi umeona wana ccm wakimuumbua Mwenyekiti wao kama inavyotokea kwa wenyeviti wa vyama vya upinzani?
 
JokaKuuu,

Mimi sie tu mwanachama bali ni kiongozi ndani ya chama.

Unataka Kusema nini hapa.....Eti tusimuumbue Mwenyekiti wetu maana hata Mwenyekiti wa ccm akifanya madudu kiasi gani hawamuumbui...hivyo nasisi tuige uhuni huo huo? Kwa muktadha huo kutakuwa na tofaut gani kati ya ccm na Chadema?

Hufaham kuwa kilichotutoa huko ccm ni kukosekana kwa demokrasia makini ndani ya chama hicho?

Ukijibu maswali yangu ya awali, hayo unayoyaita "kumuumbua Mwenyekiti yatoisha".
 
Nchi nzima ni zaidi ya majimbo 235 ambayo Sosopi anatakiwa kuyasimamia.

Msigwa kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33
kwa msingi huu Sosopi kwa cheo chake cha makamu mwenyekiti BAVICHA Taifa.

Ni mkubwa zaidi kiutendaji na kimamlaka kiliko msigwa. Msigwa ambae ni Mwenyekiti mpya kanda ya Nyasa ana simamia majimbo 33 katika eneo lake la kimamlaka.

Hivyo Msigwa ni mdogo sana kimamlaka.
Sosopi akiwa na ziara kanda ya Nyasa, Msigwa lazima awepo na kuandaa ziara ya makamu Mwenyekiti BAVICHA taifa.

Sosopi ni kiongozi wa kitaifa na Msigwa ni kiongozi wa kanda. Sasa kuenguliwa kwa Sosopi katika kugombea nafasi ya kanda ni katika kumpa heshma kubwa sana.

Pia chama kimetambua majukumu makubwa na heshma aliyo nayo Sosopi. Sosopi kimajukumu anatakiwa aishi DSM kuwa karibu na ofisi kuu za chama je kanda itakuwa ofisi yaendeshwaje?

Msigwa yuko Iringa na anaishi Iringa hivyo atakuwa mtu sahihi kuwa Mwenyekiti wa kanda kwakua anaishi kanda ya Nyasa muda wake mwingi.

Chama kimefanya busara za kiutendaji kumuengua Sosopi abakie na majukumu yake ya sasa ya BAVICHA.
Chadema imemshushia heshima sosopi
 
JokaKuuu,

Mimi sie tu mwanachama bali ni kiongozi ndani ya chama.

Unataka Kusema nini hapa.....Eti tusimuumbue Mwenyekiti wetu maana hata Mwenyekiti wa ccm akifanya madudu kiasi gani hawamuumbui...hivyo nasisi tuige uhuni huo huo? Kwa muktadha huo kutakuwa na tofaut gani kati ya ccm na Chadema?

Hufaham kuwa kilichotutoa huko ccm ni kukosekana kwa demokrasia makini ndani ya chama hicho?

Ukijibu maswali yangu ya awali, hayo unayoyaita "kumuumbua Mwenyekiti yatoisha".

..muumbuane ndani ya vikao.

..mkifanya hivyo nje ya vikao wapiga kura hawatawaamini.

..Ole Sosopi ni makamu mwenyekiti bavicha. Bado ana nafasi ya kutoa mchango wake ktk chama.

..uamuzi umeshafanyika. Kitu cha msingi ni wanachama wote kanda ya ziwa nyasa kumuunga mkono mwenyekiti mpya wa kanda.
 
Eti uchaguzi umeisha wamuunge mkono msigwa kumbe mheshiwa alivyo sema uchazi umeisha hamna kufanya siasa tuungane kujenga nchi alikuwa sahihi?
 
..muumbuane ndani ya vikao.

..mkifanya hivyo nje ya vikao wapiga kura hawatawaamini.

..Ole Sosopi ni makamu mwenyekiti bavicha. Bado ana nafasi ya kutoa mchango wake ktk chama.

..uamuzi umeshafanyika. Kitu cha msingi ni wanachama wote kanda ya ziwa nyasa kumuunga mkono mwenyekiti mpya wa kanda.
Naam, uwamuzi umekwishafanyika lakini ni uamuzi wa KIHUNI mno

Tutawaunganishaje watu wakati waliokigawa chama wanajulikana na sababu unajulikana?

Isishughulike na matokeo, tibu tatizo na tatizo ni LACK of DEMOCRACY.

Nasema na narudia kwa mwenendo huu msitegemee kushika madaraka in 2020. Ni ndoto!
 
Back
Top Bottom