CHADEMA imekosa Dira?

Hivi kwani ni CHADEMA peke yake iliyoshindwa katika uchaguzi wa Biharamulo??

Mada hapa ni Chadema ukitaka kujua habari za vyama vingine fungua thread husika tutajadili
 
Kitendo cha CHADEMA kutangaza kimeshinda uchaguzi wa B'mulo kupitia kwa wapambe wake ni kipimo tosha kuwa chama hicho kimekosa Dira.

Sema wewe kiazi nikisema mimi mhogo naambiwa wa uchungu....
 

Kwanza hakuna aliesema Chadema wameshindwa Kiteto hayo yako wewe! ingawa ni kweli wapo on record wameshindwa Kiteto.

Hoja za "dunia nzima" ilipelekwa Busanda na CCM haina mashiko! whats dunia nzima by the way? kama ni uongozi Mwenyekiti wa CCM hakuwepo Busanda na lakini Mwenyekiti wa Chadema na uongozi mzima walikuwa kule sasa nani kapeleka "dunia nzima" baina CCM na Chadema?

Hilo la mabalozi na UN go ahead lakini kabla ya kufanya hivyo mngeomba ushauri kutoka CUF wao walishapita mwaweza pata "udhoefu" wao
 


Wa poti dont let me down big time! lets extends lione of reasoning here, hivi chama kuwa cha kikabila na familia kweli kitakuwa na Dira? oops sorry maybe huo ukabila na ufamilia ndio dira yenyewe!
 
Last edited:


Mwenye akili timamu naitwa Masatu na sio Masato
 
Hii ni ajabu ya dunia

Hii thread ambayo imekuwa critical to CHADEMA iko humu zaidi ya 24 hrs

unloess ma critics waliomo si aggressive enough lakini mindhali bado ipo then sioni kwa nini wengine tusiingie

kwa kuanza nataka kujua msimamo wao kwenye issue ya KADHI na ile MoU ya kanisa na serikali
 

Kweli Heinikeni zilichanganya mpaka mnampambanisha Ronaldo na Ronaldinho! mbona watu washamsahu huyo Ronaldinho, the nearest you could get is the like of Messi, Kaka etc
 
To be more precisely its not even 48 years its 47 years na miezi 7 rekebisha tena!
nilitegeme una hoja kumbe ni wale wale. Usijali mzee watu kama ninyi lazima muwepo ili wengine wawepo kwani ecosystem lazima iwepo.Siku za fisadi zinahesabika.
Respect mkuu.
kauli ya haki kinepi.
 

Si useme tu kama mwaka 1995 mlimuunga mkono mzee wa Kiraracha! halafu sikujua kuwa Aishi na keys hotel ni za Chadema
 
Masatu ingekuwa vyema ujibu hoja.
Ulitaka miaka 48 ya uhuru nimekupa ila hujajibu hoja zangu. jibu hoja za msingi wacha kuficha kichwa na kuaacha kiwili wili juani.
Nini unachoshabikia CCM?

Thread hii inahusu Chadema kukosa dira masuala ya CCM na ICON hospital ipo thread ya CCM hapo chini kaulize huko
 

Ewaaa,

Hapa GT umenena kabisa. Hata mie nataka nijue msimamo wa CHADEMA juu ya kuhalalisha UMALAYA Tanzania na malaya wawe wanalipa Kodi, maana biashara ya ukahaba si ndiyo biashara nzee kuliko zote duniani?

Pia kama wataruhusu KUFUNGUA Sex Shop Tanzania. Michuzi hatimaye ataweza kuja kununua hapahapa Tanzania hizo Dildo zake. Pia videos, toys za wakubwa, wasichana wa Peep Show watakuwepo. Uzuri ni kuwa NTALIPA kodi na kodi hiyo ntaruhusu iende kulipa MAHAKIMU wa mahakama ya KADHI, kusaidia watoto yatima, kutoa misaada kwa wanafunzi wasio na uwezo nk nk. Itategemea kipato changu kitachanganya kiasi gani.

Nilishatangaza zamani, Sex shop ya kwanza itakuwa Sikonge......

(Masatu (Muhogo Mchungu) ukipata donge kuandikwa tena Sikonge, hang your self...)
 
Last edited:

Please yourself....
 
Masatu,

Come down. Nilikuona ONLINE nikataka kukusalimu ki-vyangu. Nilifikiri utanipata kumbe hukunielewa. Sikuwa na maana ya kukutukana wala kusema ukajinyonge.... na wewe hutaniwi? Kama imekuuma basi pole, na chukulia kama salamu/utani nilipoona jina lako.

Ilitosha kuona habari yenyewe ilivyokaa kaa ki-aina......
 

Sikonge wa Sikonge,

Mie nilikuwa najibu salam yako ki-aina nilidhani utanielewa, looks like hakunipata.

Anyway nilikuwa najibu salaam tu...
 
Sikonge wa Sikonge,

Mie nilikuwa najibu salam yako ki-aina nilidhani utanielewa, looks like hakunipata.

Anyway nilikuwa najibu salaam tu...

Masatu aka Muhongo mchungu,

Mie sijambo na asante kwa salamu.
 

la haula wa laa kuwata illa billahi laadhwim

duh!

maalim naona umekata zote! safi sana

Ohh wamzungumzia huyu Muislam anaitwa ISSA MICHUZI ambaye blog yake iko sponsored na POMBE?



lakini swali langu liko pale pale tunataka kujua msimamo wa CHADEMA juu ya mahakama ya Kadhi na ile MoU ya kanisa na serikali




zaidi ya hayo wakti huu namsikiliza JUMA BHALO nyimbo yaitwa ASIYEJUA KURAI SIMLEZI SI MLEZI WA MAHABA.......mambo kama haya shurti uwe wanthokea kule waja leo waondoka leo


huku I am looking for a fight jf lakini naona hakuna anyetaka kuunuanua ugomvi

ahhhh
 


Hivi unajua kusoma kweli? Mapenzi yako kwa CCM yamekupofusha. Nani amezungumzia siasa za kujaza watu kama siyo wewe mwenyewe? Mimi nimeongelea matokeo yaliyotangazwa na TUME ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa Upinzani una-gain ground i.e from 3-5% to 45+%.

Kwa upande wa Muziki , CCM ndiyo mahodari wa kujaza watu kupitia fani hiyo ili kionekane kinapendwa. Ndiyo maana wapo radhi kutumia mamilioni ya shilingi kum-maitain Komba.

Umma uliokuwa ukihudhuria mikutano ya Mzee wa Kiraracha ni tofauti na Umma wa sasa kimtazamo na kifikra.
 

Unachoshindwa kuelewa chaguzi ndogo ni different battle ground. Unahitaji soma la masuala haya ngoja nikusaidie.

Jimbo la Temeke Tambwe akiwa CUF alishindwa uchaguzi mdogo kwa tofauti ya kura 2000 tu na kukawa na hoja kama hizo kutoka CUF kuwa wana gain ground. Unachosahau turn out ni only 44% na utakapokuja uchaguzi mkuu ni 2010 ni different battle ground.

Its political naivity kuita umma ulihuhudhuria mikutano ya Mrema ni tofauti na Umma wa sasa unataka kusema wale wamekufa wamezaliwa wengine? waulize Chadema wenzio watakwambia "upepo" wa kisiasa umebadilika sasa kutoka kupendwa kwa CUF kuja Chadema meaning watu ni wale wale sasa wanahama ku support chama kimoja kuja kingine.

You are up for the biggest dissapointment comes 2010 son!
 

Kwanini wana-update daftari la wapiga Kura? Maana yake vijana wapya ambao hawakuwepo 1995, 2000 wanaingia sasa hivi. Kwa mfumo wa sasa unataka uniambie kuwa watanzania wameganda "siyo dynamic?" Kwanini niwaulize Chadema wakati mimi siyo wa huko? Mimi mwenyewe nina macho ya kuona na uwezo wa ku-analyse mambo.

Halafu usilinganishe Temeke na Busanda, Kiteto au Biharamulo, kwa sababu Busanda, B'mulo na Kiteto vinawakilisha Rural setting wakati Temeke inawakilisha miji. Na CCM ilikuwa strong zaidi in rural areas na upepo huu mabadiliko unavuma kuelekea kule ambako hawakutegemea yaani vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…