Sasa nimejua kuwa una-mislead watu either kwa makusudi au kwa kutokujua facts. Hiyo miaka unayozungumzia nilikuwa pale Mlimani na Mbatia hakuwepo tena, Nsanzugwanko wala hakuwahi kukanyaga UDSM kupiga book. Mpaka Ngereja anamliza Degree yake 1994, Mrema alikuwa bado ni kada wa CCM.
Nsanzugwanko:
New England Univeristy MBA 1992-994 Masters Degree
Tabora TTC 1973-1974 Certifcate in Teaching
College of Business Education Diploma
New England University 1991-1991 Post-graduate Diploma
Ngereja:
University of Dar es Salaam LLB- 1991-1994 Graduate
University of Dar es Salaam-LLM 1996-1999 Masters Degree
Mrema:
Alikihama CCM mwaka 1995 na kujiunga na NCCR Mageuzi na hata wakati wa kampeni za 1995 Viongozi wote uliowataja hapo juu hawakuwepo UDSM kama wanafunzi
Ni vizuri wewe na Wenzio (CCM) mnaji-amini kuwa mnaangalia mambo at the bigger picture. Na hiyo ni Advantage kubwa kwa Wadanganyika na hasa pale mtakapogundua kuwa freefall is just around the corner and there is no way back.
Kwa taarifa yako nimetembelea vijiji vingi sana(ukiondoa vya mikoa ya Kusini) na mambo yanabadilika na siwezi kukuomba/kukulazimisha uniamini kwa sababu hakuna ulazima huo.