Hivi kuna kipimo cha mada siku hizi na hasa zinazogusa Chadema!Does this article make any sense ama tunataka sasa kushusha hadhi ya forum kwa kuleta inssues ambazo ni below standard of this forum ? Hivi Masatu hoja ama post hii si ungaliweza kuandika kule kule ziliko za CUF ama CCM tukabana matumizi ?Ni mawazo yangu na swali tu si lazima ufuate ninavyosema mimi .
wewe usichague habari JF tunajadili habari zote...kama inakuumiza roho (touch) angalia uondoke...Does this article make any sense ama tunataka sasa kushusha hadhi ya forum kwa kuleta inssues ambazo ni below standard of this forum ? Hivi Masatu hoja ama post hii si ungaliweza kuandika kule kule ziliko za CUF ama CCM tukabana matumizi ?Ni mawazo yangu na swali tu si lazima ufuate ninavyosema mimi .
Does this article make any sense ama tunataka sasa kushusha hadhi ya forum kwa kuleta inssues ambazo ni below standard of this forum ? Hivi Masatu hoja ama post hii si ungaliweza kuandika kule kule ziliko za CUF ama CCM tukabana matumizi ?Ni mawazo yangu na swali tu si lazima ufuate ninavyosema mimi .
CHADEMA ni chama ambacho hakijawahi kuongoza nchi. CHADEMA kina sera zake ambazo unaweza kuzihoji na kuzijadilia. Lakini kusema CHADEMA kimekosa dira ni upotoshaji mkubwa unaofanywa na wale wanaoonekana kuwa CCM zealots ambao wanajua kabisa kuwa chama chao, ingawa bado kinaaminiwa na Watanzania kuongoza nchi, kimekosa dira na sasa hakijui kinaipeleka nchi wapi.
Uzuri umesema kuwa hayo ni mawazo yako, kwa bahati mbaya mawazo yako ni upupu mtupu! nani kakulazimisha usome "article" ambayo unadhani hai make sense? unaonaje hayo mawazo yako ukayapeleka huku kwenye thread za cuf na CCM ili "kubana" matumizi.
Mh , haya mie naangalia tu tuendelee
Sasa ugomvi huo wana JF ...taratibuYa nini kupoteza muda kuangalia kitu kisicho make sense? kwa nini "usibane" matumizi kwa kusoma thread za CUF na CCM huko?
Kufuatia kushindwa mfululuizo katika chaguzi ndogo za Busanda na Bihalamuro, chama cha "demokrasia" na maendeleo chadema kimepoteza dira sasa badala ya kukaa chini na kufanya tathmini ya kisanyansi mpaka kupelekea kushindwa katika chaguzi hizo, viongozi wa chama hicho hivi sasa wanamtafuta mchawi kwa kusingizia kuibiwa kura.
Madai kama haya yamekuwa yakitolewa na chama cha wananchi cuf katika chaguzi mbalimbali lakini chadema wamekuwa wakidai kuwa cuf ni walalamishi na sasa wimbo huo unaanza kuimbwa na chadema.
Ukweli ni Chadema kimekosa mikakati thabiti kuweza kuongoza na kubaki na kulala kila uchao, kilichobaki sasa kwa Chadema ni kurudi kwenye drawing board na kuanza upya huku wakijua siasa za Mwembe ya yanga za kulipua mabomu na kuvurumisha helikopta hazilipi na watanzania washawatukia kuwa ni chama cha kikabila na familia
CCM is a ruling party. But right now they do not seem to know where they are trying to steer the country. Sera zipi za CCM? Hebu zimwage hapa tuzihoji/tuzijadili.Same applies kusema CCM imekosa dira ni "upotoshaji mkubwa" ambao waweza fanywa na Chadema zealots, ingawa chadema kinaweza kuwa kinaaminika na baadhi wa wananchi kimekosa dira. CCM ina sera zake na waweza kuzi hoji na kujadili.
CCM is a ruling party. But right now they do not seem to know where they are trying to steer the country. Sera zipi za CCM? Hebu zimwage hapa tuzihoji/tuzijadili.
Political bankruptcyMahakama ya Kadhi!
Really? thubutu all muslims votes? I think politics means people.....people is equvalent to "MTAJI"Political bankruptcy
Political bankruptcy2Really? thubutu all muslims votes? I think politics means people.....people is equvalent to "MTAJI"
Frustated MindPolitical bankruptcy2