CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

GEITA FARM

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2015
Posts
336
Reaction score
173
Waungwana poleni na majukumu,

09/08/2016 nilibahatika kufanya mazungumzo na mke na baadhi ya ndugu wa Alphonce Mawazo inasemekana baada ya mazishi viongozi wa CHADEMA walitoa ahadi kwa familia ya Alphonce Mawazo ikiwemo kuijengea nyumba familia hiyo, kuwasomesha watoto, kuinunulia gari familia hiyo na kuwapatia mtaji wa biashara lakini cha ajabu hadi leo viongozi wa CHADEMA hakuna ahadi yoyote waliyoitekeleza. Mimi kama mtanzania mzalendo kupitia hii thread napenda kuwakumbusha viongozi wa CHADEMA wajitokeze na kwenda kutekeleza ahadi walizoahidi kwa familia ya Alphonce Mawazo.
 
Mawazo alikufa kifo kibaya sana tena akitoka kwenye harakati za kujenga chama. Labda polisi kupitia uchunguzi wamehundua yaliyonyuma ya pazia kuhusu kifo kile.

Lkn tukumbuke kuwa ukifa hautakumbukwa utatelekezwa tu.

Tusubiri taarifa za ukuta tuone
 
Waungwana Poleni Na Majukumu ... 09/08/2016 Nilibahatika Kufanya Mazungumzo Na Mke Na Baadhi Ya Ndugu Wa Alphonce Mawazo ... Inasemekana Baada Ya Mazishi Viongozi Wa Chadema Walitoa Ahadi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo Ikiwemo Kuijengea Nyumba Familia Hiyo ... Kuwasomesha Watoto ... Kuinunulia Gari Familia Hiyo ... Na Kuwapatia Mtaji Wa Biashara Lakini Cha Ajabu Hadi Leo Viongozi Wa Chadema Hakuna Ahadi Yoyote Waliyoitekeleza ... Mimi Kama Mtanzania Mzalendo Kupitia Hii Thread Napenda Kuwakumbusha Viongozi Wa Chadema Wajitokeze Na Kwenda Kutekeleza Ahadi Walizoahidi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo ... !

Habari yako mkuu sipingani na ww katika unachokieleza je umeshafanya mawasiliano na wale walioahidi? ili kujiridhisha na kutuletea taarifa bila kuegemea upande wowote maana maisha ya mtu hayaitaji unafiki au umbea kabisa, hivyo ningelishauri ungelifuatilia kwa pande zote mbili maana kwa upande wangu naona umeleta mada ya kinafiki kutaka kuonyesha upande fulani ni bora mwingine si bora, ili hali hapa unazungumzia maisha ya watu,tuwe makini katika uletaji wa habari, ni wazo tu.
 
Mzimu wa Kamanda Mawzo umeanza kuwatafuna sasa mnarukaruka kama mekalia kitu chenye ncha kali, na bado siku si nyingi mtakuja kujitaja hadharani muuaji ni nani na alitekeleza agizo la nani damu ya binadamu si ya kuchezea, fisi kweli wewe. Imetelekezwa?! Hujui hata maana ya hilo neno umeota tu ukakurupukia JF bila hata kujisafisha.,fisi ni fisi tu.
nawakumbusha tu wala siyo ugomvi
 
We kama in mzalendo umeisaidiaje hiyo familia ahadi hizo nan aliahidi chadema ndo walimua? Acha kujipendekeza we fox utaolewa.
hata huu ujumbe ni msaada tosha nendeni mkatekeleze ahadi mlizotoa
 
Waungwana Poleni Na Majukumu ... 09/08/2016 Nilibahatika Kufanya Mazungumzo Na Mke Na Baadhi Ya Ndugu Wa Alphonce Mawazo ... Inasemekana Baada Ya Mazishi Viongozi Wa Chadema Walitoa Ahadi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo Ikiwemo Kuijengea Nyumba Familia Hiyo ... Kuwasomesha Watoto ... Kuinunulia Gari Familia Hiyo ... Na Kuwapatia Mtaji Wa Biashara Lakini Cha Ajabu Hadi Leo Viongozi Wa Chadema Hakuna Ahadi Yoyote Waliyoitekeleza ... Mimi Kama Mtanzania Mzalendo Kupitia Hii Thread Napenda Kuwakumbusha Viongozi Wa Chadema Wajitokeze Na Kwenda Kutekeleza Ahadi Walizoahidi Kwa Familia Ya Alphonce Mawazo ... !
mkuu unajua kwenye mambo ya muhimu kama privacy za familia hakuhitaji siasa.
 
Habari yako mkuu sipingani na ww katika unachokieleza je umeshafanya mawasiliano na wale walioahidi? ili kujiridhisha na kutuletea taarifa bila kuegemea upande wowote maana maisha ya mtu hayaitaji unafiki au umbea kabisa, hivyo ningelishauri ungelifuatilia kwa pande zote mbili maana kwa upande wangu naona umeleta mada ya kinafiki kutaka kuonyesha upande fulani ni bora mwingine si bora, ili hali hapa unazungumzia maisha ya watu,tuwe makini katika uletaji wa habari, ni wazo tu.
Mimi siyo mwanasiasa nawakumbusha tu
 
Inatakiwa tufike mahali tujue kwamba kila jambo unalolifanya ni kwaajili yako na jamii yako lakn matokeo yoyote mabaya ya jambo unalolifanya utambue ni yako na familia yako..

Tofauti na hapo ni kutafutiana lawama bure hao waliokuwa wanaahidi na wao wanashida zao wajali za marehem kwann
 
Back
Top Bottom