Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,008
- 142,664
Hiki chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi wa 2015, badala ya kuendelea kukua, sasa ni dhahiri kabisa kuwa hakifanyi hivyo bali kimedumaa, kinazidi kudumaa, na kimedhoofu sana.
Wengi wetu tiliona jinsi chama hicho kilivyoendelea kustawi baada ya uchaguzi wa 2010. Kati ya 2010 hadi 2015 chama kilikua, kilistawi, hadi kikawa tishio la kweli dhidi ya CCM na kukifanya chama hicho tawala kulazimika kufanya mabadiliko na kimsingi kukiri kwamba ufisadi ni tatizo kubwa.
Sasa toka 2015 mpaka hivi sasa hiki chama ni kama kimechanganyikiwa kabisa. Hakijui hata kifanye nini. Kutwa kucha kinapoteza wanachama wake wanaohamia CCM. Kinapoteza wabunge, madiwani, na kadhalika.
Wenye chama, kwa mujibu wa kauli na matendo yao, wanaona eti hakuna tatizo. Mbunge akikihama na kwenda CCM, wenye chama wanakuja na majibu yaliyo 'formulaic'. Oh...kanunuliwa huyo...oh wamenunuliwa hao.
Kwa mtindo huu, hadi kufikia 2020, kama hicho chama hakitajitafakari na kufanya mabadiliko, basi kitaingia katika huo uchaguzi mkuu kikiwa dhoofu kushinda wakati mwingine wowote ule.
Kuhusu CUF, ACT, TLP, UDP, na wengineo, who really gives a damn about them? Vimefubaa.
Naisubiri kwa hamu Oktoba nione nani mwingine atayeitosa CHADEMA na kuhamia CCM.
Yours very truly,
Big Bad Wolf.
Nyani ngabu wakati mwingine unapotea sana kulikon mkuu.
Ulicho andika ni ukwel sana atakaibisha labda awe si mtanzania
Pole sana mkuuBoksi huwa linanielemea ndugu yangu!
Mkuu umefuatilia habari za hizi SERA na ITIKADI zilizoelezwa katika mkutano wao?
[emoji1] [emoji1] kanyaboya upo? We jamaa ni muongo sijapata kuonaHiki chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi wa 2015, badala ya kuendelea kukua, sasa ni dhahiri kabisa kuwa hakifanyi hivyo bali kimedumaa, kinazidi kudumaa, na kimedhoofu sana.
Wengi wetu tiliona jinsi chama hicho kilivyoendelea kustawi baada ya uchaguzi wa 2010. Kati ya 2010 hadi 2015 chama kilikua, kilistawi, hadi kikawa tishio la kweli dhidi ya CCM na kukifanya chama hicho tawala kulazimika kufanya mabadiliko na kimsingi kukiri kwamba ufisadi ni tatizo kubwa.
Sasa toka 2015 mpaka hivi sasa hiki chama ni kama kimechanganyikiwa kabisa. Hakijui hata kifanye nini. Kutwa kucha kinapoteza wanachama wake wanaohamia CCM. Kinapoteza wabunge, madiwani, na kadhalika.
Wenye chama, kwa mujibu wa kauli na matendo yao, wanaona eti hakuna tatizo. Mbunge akikihama na kwenda CCM, wenye chama wanakuja na majibu yaliyo 'formulaic'. Oh...kanunuliwa huyo...oh wamenunuliwa hao.
Kwa mtindo huu, hadi kufikia 2020, kama hicho chama hakitajitafakari na kufanya mabadiliko, basi kitaingia katika huo uchaguzi mkuu kikiwa dhoofu kushinda wakati mwingine wowote ule.
Kuhusu CUF, ACT, TLP, UDP, na wengineo, who really gives a damn about them? Vimefubaa.
Naisubiri kwa hamu Oktoba nione nani mwingine atayeitosa CHADEMA na kuhamia CCM.
Yours very truly,
Big Bad Wolf.
Bado unadai unaishi marekani??? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hiki chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi wa 2015, badala ya kuendelea kukua, sasa ni dhahiri kabisa kuwa hakifanyi hivyo bali kimedumaa, kinazidi kudumaa, na kimedhoofu sana.
Wengi wetu tiliona jinsi chama hicho kilivyoendelea kustawi baada ya uchaguzi wa 2010. Kati ya 2010 hadi 2015 chama kilikua, kilistawi, hadi kikawa tishio la kweli dhidi ya CCM na kukifanya chama hicho tawala kulazimika kufanya mabadiliko na kimsingi kukiri kwamba ufisadi ni tatizo kubwa.
Sasa toka 2015 mpaka hivi sasa hiki chama ni kama kimechanganyikiwa kabisa. Hakijui hata kifanye nini. Kutwa kucha kinapoteza wanachama wake wanaohamia CCM. Kinapoteza wabunge, madiwani, na kadhalika.
Wenye chama, kwa mujibu wa kauli na matendo yao, wanaona eti hakuna tatizo. Mbunge akikihama na kwenda CCM, wenye chama wanakuja na majibu yaliyo 'formulaic'. Oh...kanunuliwa huyo...oh wamenunuliwa hao.
Kwa mtindo huu, hadi kufikia 2020, kama hicho chama hakitajitafakari na kufanya mabadiliko, basi kitaingia katika huo uchaguzi mkuu kikiwa dhoofu kushinda wakati mwingine wowote ule.
Kuhusu CUF, ACT, TLP, UDP, na wengineo, who really gives a damn about them? Vimefubaa.
Naisubiri kwa hamu Oktoba nione nani mwingine atayeitosa CHADEMA na kuhamia CCM.
Yours very truly,
Big Bad Wolf.
Certified Zéro BrainBoksi huwa linanielemea ndugu yangu!
Angekuwepo angenunulika,MTU masikini hawezi kuwa mwanasiasa mzuri.chadema kosa kubwa lilikuwa kwa dr slaa kuondoka.lowasa ndye aliyekuja kukiua hiki chama.enzi ya dr slaa intelejisia ya chama ilikuwa juu sna.shv ni km wamekata tamaa liwale na liwe.
I really regret being born among the stupidest people in the worldCertified Zéro Brain
This is to certify that on this date of 2018 Nyani Ngabu is allowed to use the title "Certified Idiot "
Unawezaje kutoa povu bila kuelezea kuwa serikali imezuia ushindani, Unajitekenya na kucheka yenyewe
Zéro brain kamanda Kama wewe hupaswi kuongea leo, Mashavu yanakuwasha baada ya wenzako kukuovertake kuingia CCM
Wewe ni zéro brain kamanda hujui ushike wapi ccm au chadema
Hiki chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi wa 2015, badala ya kuendelea kukua, sasa ni dhahiri kabisa kuwa hakifanyi hivyo bali kimedumaa, kinazidi kudumaa, na kimedhoofu sana.
Wengi wetu tiliona jinsi chama hicho kilivyoendelea kustawi baada ya uchaguzi wa 2010. Kati ya 2010 hadi 2015 chama kilikua, kilistawi, hadi kikawa tishio la kweli dhidi ya CCM na kukifanya chama hicho tawala kulazimika kufanya mabadiliko na kimsingi kukiri kwamba ufisadi ni tatizo kubwa.
Sasa toka 2015 mpaka hivi sasa hiki chama ni kama kimechanganyikiwa kabisa. Hakijui hata kifanye nini. Kutwa kucha kinapoteza wanachama wake wanaohamia CCM. Kinapoteza wabunge, madiwani, na kadhalika.
Wenye chama, kwa mujibu wa kauli na matendo yao, wanaona eti hakuna tatizo. Mbunge akikihama na kwenda CCM, wenye chama wanakuja na majibu yaliyo 'formulaic'. Oh...kanunuliwa huyo...oh wamenunuliwa hao.
Kwa mtindo huu, hadi kufikia 2020, kama hicho chama hakitajitafakari na kufanya mabadiliko, basi kitaingia katika huo uchaguzi mkuu kikiwa dhoofu kushinda wakati mwingine wowote ule.
Kuhusu CUF, ACT, TLP, UDP, na wengineo, who really gives a damn about them? Vimefubaa.
Naisubiri kwa hamu Oktoba nione nani mwingine atayeitosa CHADEMA na kuhamia CCM.
Yours very truly,
Big Bad Wolf.
Mkuu whatever the case, tuache kuwasaidia viongozi wa Chadema na unnecessary excuses. Kinachoendelea kinaichafua Chadema na aina ya watu hasa viongozi walionao. Huwezi kupoteza wabunge kwa kasi namna hii tena kwa stupid reasons alafu tuache kujiuliza viongozi wamechukua hatua gani kuzuia ujinga kama huu.Baada ya yeye mwenyewe kushushuliwa juu ya mtu ambaye yeye binafsi alimtuhumu mbele ya rais kwamba ni kikwazo cha maendeleo jimboni kwake na zaidi akimtuhunu mtu huyo kuwa ni mla rushwa ma mbadhirifu. Lakini mbele ya hadhara na dunia akaishia kupewa kashfa na kudharirishwa, baada ya kashfa hizo eti mwezi mmoja baadaye anaibuka kuunga mkono juhudi za mheshimiwa. Kwa akili ndogo tu unaweza ukapata picha ya matukio haya kuwa kama hayana blackmailing basi yanaendana na hongo.
Mwengine aliwahi kujisifu kuwa ana pesa ya kutosha kuendelea kununua wapinzani, ushahidi ulipotoka hadharani na TAKUKURU kuanza kufanya uchunguzi bwana yule akapandishwa cheo. Hiyo kauli ya kuwanunua ilitolewa na wao wala siyo wale wanaolalamika.
Zaidi ya hayo matukio unataka ushahidi gani juu ya hili? Kwanini uwasingizie walalamikaji kwa kauli zilizotolewa na washindami wao?
Ujinga ni kushindwa kuona na kutambua mazingira ya kisiasa ambayo wenye dola wmeyaweka/wamejiwekea ili kudhoofisha upinzani. Mikutano ya kisiasa wanafanya wao wakifanya wengine wanakamatwa,Live coverage ni kwa mtu mmoja tu hasa TBC wengine hata vyombo vya habari vinawaogopa sababu vyombo vyenyewe vimebanwa. Kuna mengi ya kihuni yanayoendelea ambayo kama huna akili utaona ni sawa.