CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

Status
Not open for further replies.
Pasco kamanda mbowe alisema hata yeye akiondoka maiti yake iwekwe pembeni na mabadiliko yaendelee hamna jinsi ni kukubali ya muumba na kuendelea na yetu. R I P kamanda
 
Last edited by a moderator:
Pasco fafanua plz...maana nimesoma trend nzima ya huu uzi,sioni sehemu ushauri unaoendana na ajali ya jana kutolewa
Nisome kwa makini....

 
Joseph Ludovick - Kibanda - Mtoi ???? Ifikie wakati kama serikali yetu chini ya vyombo vya usalama iwe inafuatilia kwa makini baadhi ya maandishi ya hawa watu kwani hapa ludovick hajaweka wazi nini anamaanisha kwa hiyo kwa kuwa tukio kubwa limetokea kwa kamanda Mtoi (R.I.P) basi ni vema akakamatwa na kuulizwa hapa alikuwa anamaanisha nini? tunajua Kipenzi chetu Mtoi inaonyesha ni ajali imesababisha kifo chake lakini ajali zipo za aina nyingi zingine za kutengenezwa pale tukio linapokuwa limefanyika Ref. Chacha Wangwe.

R.I.P kamanda Mtoi wewe mbele yetu na sisi tunafuata nyuma yako mungu akupe pumziko la milele na ni tumaini langu Ndugu na jamaa atawaondolea machungu kwa kuondoka kwako na familia yako Mungu atailinda na kuipa faraja na neema ....Aaamen.
 
Haka kajamaa ni shida sana.

Inabidi katekenywe kidogo tupate jua amekuwa Israel nini?
 
Pasco bingwa wa kuona maovu ya wengine....bingwa wa kuunganisha mambo....unaweza dhani yuko smart sana kumbe la!!!....big up sana kwa mkuu kapata progandalist la karne
 
Last edited by a moderator:
[SIZE=3
Even the devil, sometimes does good deeds, msipuuze tena ushauri wowote!.

Asante [/SIZE]

Pasco

mkuu acha kukufuru shetani hawezi fanya jema hata siku sekunde...labda kwa akili yako ukadhani anakufanyia jema kumbe unaingizwa kwenye mtego.....

mifano kama hii ya ikijumuishwa na ile ya eti tutaingia makataba hata na shetani kuitoa ccm unaleta inaleta laana tuu!!
 
Kuna kaharufu kama ka Late Wangwe...napata ukakasi kidogo
 
Mbona sijaelewa mkuu? kwani kifo cha kamanda Mtoi kina utata mahali.? Ushauri gani ulitolewa ambao ungeweza zuia ile ajali ya jana? sijaelewa
Just I'm saying...dont quote it...Ni kwamba Marehemu Mtoi alimkhusisha huyu Ludovick kwamba ana njama amfanyie ubaya na Mtoi akaweka wazi hapa kwamba nia yako mbovu itashindwa!! Kwakuwa Ludovick anatuhumiwa kupanga njama za Kigaidi kuwashambulia wanaChadema, Huyu Tumaini Makene alipewa tahadhali kwamba kutokana na huu uzi wa Mtoa Mada basi huyu Mtoi inabidi apewe Ulinzi wa Kutosha..(ushauri ambao haukufuatwa)!! Mazingira ya Ajali ya Mtoi yana taswira ya Umafia!! Aliwarudisha wenzake akabaki pekeyake kwenye gari akirudi nyumbani, Ukiangalia lile gari alilopata ajali kwa mtu makini ataona ni miujiza mtu kufa pale!!(Gari imevunjwa vioo tu) Uchunguzi huru Ufanywe!! Pasco

RIP KAMANDA MTOI
 

Yaan watu wanajadili msiba wewe unaleta utumbo wako?jipime
 

Kwa nin mtoi kwa maslahi gani?
 

huu msiba utakuwa umetawaliwa na kila aina ya utata kutokana na mtiririko wa thread hii...any way nisiseme sana ila R.I.P
 

Sababu ya kifo chake?
 
Kama haiana maana vile, Rip kamanda Mtoi sijajua itakuweje sasa kamanda katutoka hakuna mwingine wa kusimamia mchakato?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…