Mbona sijaelewa mkuu? kwani kifo cha kamanda Mtoi kina utata mahali.? Ushauri gani ulitolewa ambao ungeweza zuia ile ajali ya jana? sijaelewa
Mbona sijaelewa mkuu? kwani kifo cha kamanda Mtoi kina utata mahali.? Ushauri gani ulitolewa ambao ungeweza zuia ile ajali ya jana? sijaelewa
Dah Heshima kwako Pasco kifo cha Mtoi kwa mtitiriko wa hii mada wa kulaumiwa ni Tumaini Makene kwa kuonyesha wazi wazi kwamba Hawapendi kuchukua Ushauri kwa namna hii mnavyowaambia.... It really pain the toe, RIP Mtoi
Machadema mtamalizana wenyewe kwa wenyewe.
Mkuu Tumaini Makeni, hii ni jana
Baada ya hii nilisema hivi
Kama haitoshi nikaongezea hivi
Ni jana tuu, umepuuza, lakini leo Mkuu Tumaini umekuja ki hivi
Asante kwa hili, kupuuza kwa tahadhari, ni kuzingatia, ina maana ushauri umepokelewa!.
Even the devil, sometimes does good deeds, msipuuze tena ushauri wowote!.
Asante
Pasco
Dah Heshima kwako Pasco kifo cha Mtoi kwa mtitiriko wa hii mada wa kulaumiwa ni Tumaini Makene kwa kuonyesha wazi wazi kwamba Hawapendi kuchukua Ushauri kwa namna hii mnavyowaambia.... It really pain the toe, RIP Mtoi
Tumaini makene sio mtu mzuri hata kidogo
Big No Please!, msilete dhihaka kwenye majonzi! mnaongeza machungu badala ya faraja, msitake kupanda mbegu za chuki kwa watu!, mwenye uwezo wa kutoa roho ya mtu ni Mungu pekee!.Maskini Mtoi kafa kwa ajali kama Mzee Wangwe.
RIP BRO.
Hata Mimi wameniacha,waliyesema achunguzwe ni Mtoi (R.I.P),inamaana amejiua ili Makene ajifunze kupokea ushauri!?
Kwani hii ajali imepangwa?
Big No Please!, msilete dhihaka kwenye majonzi! mnaongeza machungu badala ya faraja, msitake kupanda mbegu za chuki kwa watu!, mwenye uwezo wa kutoa roho ya mtu ni Mungu pekee!.
"The dead man tells no tells!, we should always talk good about the dead!.
Mtu akiishatangulia mbele ya haki, please tumzungumze kwa wema!.
Sisi wana jf we are different, lakini pia we are one katika makubwa ya msingi!, please lets be one katika hili!.
Rip Kamanda Mtoi!.
Pasco