Kamanda Mohamedi Mtoi naona unatoa kauli kama mwanamapinduzi angalia sana una familia inakutegemea kwa ufupi tu tembelea familia ya Mwangosi (R.I.P) ili upate picha kamili usijifananishe na Slaa au Mbowe hao ni matajiri wakubwa wanatumia watu wenye akili fupi kama zako.
Sina muda kujibizana na MTU bahau mwenye akili za kushikiwa, mmetiwa akili za ujinga kujigeuza wapigania Uhuru angalieni familia ya Mwangosi kabla hamjajitoa mhanga, mtaacha watoto wenu wanateseka, Slaa na Mbowe hawana muda wa kutunza familia zenu wakipiga picha za promo kwenye magazeti mchezo umekwisha.

Kwa Hiyo Mlimuua MWANGOSI ILI KUTISHA WAPIGANIA HAKI NA UHURU WA KWELI? Hiki kizazi hakiwezi kutishwa kwa propaganda za kitoto na nyepesi kama hizo huku kikundi kidogo cha mafisadi yakifaidi raslimali za umma na kuwafanya watz wengi kuwa maskini wa kutupwa.
Niko safi siishi kwa kulamba kinyesi mtu,alichonijalia Mola kinanitosha sana.Unataka Naye Awe Mchumia Tumbo Kama Wewe? Nyie ni wa kuhurumiwa tu!
Tatizo lenu ni unafiki umewajaa hadi kwenye kope za macho, mimi nawaeleza ukweli marehemu Mwangosi ni mfano halisi familia yake inataabika hakuna kiongozi yeyote anayeijali kina Slaa waliishia kupiga picha za promohuyo chama , nimemdharau sana ! Kutumia kifo cha mwangosi kutisha watu ni ujinga wa kiwango cha mwisho mno !
Kumbuka kuwa kama NYERERE,BI TITI na wenzake wangekuwa na mawazo ya kipuuzi kama yako,wakatanguliza ubinafsi kama mfanyavyo magamba na makuwadi wenu Taifa Hili Lisingepata Uhuru.Jitambue Acha Kutumia Tumbo Kufikiri.
Usifikiri Laki Si Pesa hajui anachokifanya. Anajua sana. Lengo ni kuchonganisha CDM na waislamu kwa maslahi si ya waislamu au watanzania ila kwa maslahi yao hao mashetani wachonganishi.
Lengo ni kuonyesha kuwa CDM haiwataki waislamu. Hizi ndizo mbinu za aibu kabisa zinazoashiria kuwa chama cha mapinduzi CCM kimeishiwa hadhi zote za kuwa chama tawala na sasa kimekuwa chama cha kishetani tu.
mmebanwa kama mjusi mlangoni ! Nakuambia hivi , hatutaacha mapambano hadi tone la mwisho! WANAFIKI WAKUBWA NYIE ! MNATEKETEZA MALI ZA NCHI KAMA MNAKUFA KESHO VILE , HATUTAKUBALI NI LAZIMA NCHI IKOMBOLEWE .
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.
Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.
Nimeshauri
Kwa Hiyo Mlimuua MWANGOSI ILI KUTISHA WAPIGANIA HAKI NA UHURU WA KWELI? Hiki kizazi hakiwezi kutishwa kwa propaganda za kitoto na nyepesi kama hizo huku kikundi kidogo cha mafisadi yakifaidi raslimali za umma na kuwafanya watz wengi kuwa maskini wa kutupwa.
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.
Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.
Nimeshauri
Kenge nyie mnapigania uhuru wa wapi?? Wewe ni mchumia tumbo hicho mnachokipigania hakipo wenzenu wanapigania kula ruzuku nyie mnaishia kutoa povu Slaa kajenga hekalu kwa pesa za ruzuku wewe unafadhiliwa na shemeji kuishi mjini akili hiyo??

Mbowe na Slaa wanakula pesa hizohizo au hulijui mnafiki wewe?? Kama una uchungu wa pesa za nchi ungeanza Chadema, chama hakina mwelekeo kwasababu ya pesa za ruzuku
Muuaji wa Mwangosi ni Slaa kama umesahau jiulize kwa nini alishinikiza kufungua tawi ambalo lilishafunguliwa rasmi?? Na nini kilimfanya yeye abaki hotelini na kuwatoa kikoa watoto wa wenzie??
Kumbuka kuwa kama NYERERE,BI TITI na wenzake wangekuwa na mawazo ya kipuuzi kama yako,wakatanguliza ubinafsi kama mfanyavyo magamba na makuwadi wenu Taifa Hili Lisingepata Uhuru.Jitambue Acha Kutumia Tumbo Kufikiri.
Kutaga mtaanza nyie wapigania Uhuru, sisi tunalijenga taifa letuMwaka lazima utage,ku.ngu#ru wewe!