Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,176
- 143,958
Miafrika ndio tulivyo....mtu akijiamini..ana jeuri...anajisikia...anajifanya mjuaji....etc etc
Wala sio hivyo. Hata mizungu na yenyewe inayo watu kama hao ndio maana unasikiaga watu kuitana ma elites...out of touch...insensitive..arrogant...nk.
Kuwa kiongozi unahitaji haiba flani..you have to have the spirit of humbleness in you...mwaka 1992 kwenye mdahalo wa uraisi wa Marekani...kuna mhudhuriaji mmoja aliuliza swali ambalo raisi wa kipindi kile G.H.W. Bush hakulijibu vizuri kutokana na kutokulielewa au kutoku-relate nalo. Ilipokufika zamu ya gavana wa Arkansas....aka slam dunk na "I feel your pain".....from there on out it was a wrap for G.H.W. Bush....watu wakaona Clinton ndiye mtu aliyekuwa anaelewa matatizo yao
Nitashukuru ukinipa mfano wa hapa nyumbani. Wengine yanayotokea huko kwenu majuu sio authority ya mitazamo yetu....hivyo nashindwa kuelewa hoja yako
Lakini unakubali kuwa kuifurumusha CCM kutoka madarakani ndio mwanzo wa suluhisho la matatizo yetu?
Ikiwa juu yangu mimi basi nitaanza na kuondoa wasteful spending e.g. kama kuwaleta Brasil kwa ada ya dola milioni 6 na ushee...huu ni mfano tu wa wasteful spending kama vile hatuna matatizo mengine yaliyo pressing zaidi....
Huu uzi ni kuhusu CHADEMA sasa inaonekana imepigwa mbiu hapa kichwa cha uzi kinakuwa CCJ na Mwanakijiji..WTF ?
Yaani sijaelewa kabisa na jinsi watanzania tunavyojishusha.
Watu wanadhani sisi M iliundwa kutawala milele hata wakiweka jiwe kama mgombea litashinda?
Mimi sioni mjadala huu una maana gani. Mwanakijiji, nina hakika Chadema wana mipango yao kama Chama na si lazima waiweke hapa. Subiri muda ukifika wataiweka hadharani. Na nina amini wakipewa ridhaa wanaweza. Kwa nini wasiweze? kwa sababu ipi we unadhani hawawezi?
Hata hivyo ni aibu watanzania kusema hakuna chama cha upinzani kinachoweza kutawala ingawa sisi hatulidhiki na utawala. Maana yake ni kwamba hata wanaopiga kelele wanataka kutuambia na wao hawawezi.
Kumbukeni pia na mfumo wa uchaguzi wetu ulivyo. Si kwamba upinzani haushindi, ila foul ni nyingi kwa kweli.
Mwanakijiji niliwahi kusema kitu kuhusu Sisi j siku za nyuma na nadhani mashaka yangu ni yale yale.
Not at prima facie; yawezekana ukawa mwanzo wa matatizo mengi na makubwa zaidi. Kwa kadiri ya kwamba hatujui wanaotaka kuja wanataka nini. Kama wanachotaka ni kuiondoa tu CCM madarakani halafu ndio watuambie wanachokitaka tutakuwa ni miongoni mwa watu wasio na hekima kabisa duniani.
Kina watu wa kuunda Serikali:
Slaa - Rais
Zitto-Waziri Mkuu
Lissu-Waziri wa Sheria
Mbowe-Waziri wa Fedha
Mwanakijiji - Waziri wa Habari
Nakubaliana nawe kabisa kuwa lazima tunaotaka au wanaotaka kuiondoa CCM lazima tuwe/wawe na mipango ya nini watafanya ambacho CCM wameshindwa kufanya endapo wakishika madaraka
Hizi siasa za bongo bana..si CCM si wapinzani...wote hovyo tu.
wenzetu hawataki hilo.. wao wanataka waiondoe kwanza CCM halafu mengine yatafuata..
Umemruka Makamu..
Oh hell no..Zitto hana temparament ya kuwa kiongozi wa juu hivyo. Hafai kabisa. Ni mjeuri, mwenye kujisikia, na wa kujifanya mjuaji sana. Hafai kabisa huyu kadogoo.
Kitila mbona hujamweka hapo? Hata dogo Mnyika ana afadhali mara 100 kuliko Zitto....
CCJ mtafanya nini ambacho Wapinzani wameshindwa kukifanya tokea 1992, maana ili wananchi wajenge imani na nyinyi ni lazima mseme Sisi tutafanya ABC ambacho wapinzani wameshindwa kukifanya toka 1992
Ukinijibu hilo na nikaridhika nitajiunga CCJ kwa njia ya Mtandao
Thubutu!!
well.. stand and be amazed!
What do you mean?
you are not standing and you have not been amazed yet..
sasa mipasho tufunge topic!