CHADEMA ikifa Watanzania WATAINGIA MSITUNI...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,765
Reaction score
32,389
KATIKA HARAKATI HIZI ZA kisiasa watu wamekubali kujiunga na vyama vya siasa ili kufuata utaratibu wa kidemokrasia wa kubadilisha utawala. Wasiwasi wangu ni kuwa kama hzi harakati za kutaka kukiuwa chama hiki zitafanikiwa basi ni wazi kuwa watanzania wengi hawatataka tena kupoteza muda kwenye siasa ili kubadilisha utawala. Watanzania watajiunga au wataunda jeshi ili kuiondoa serikali iliyopo madarakani. hii ni kwa kuwa watakuwa wameona kuwa hamna haja tena ya kujishughulisha na siasa wakati wanaona bado kuna uhuni unafanyika katika nchi yao.
hili linaweza kuingiza nchi katika machafuko...na kama viongozi waliopo madarakani hawatakuwa na nia thabiti, nia njema kwa nchi hii basi waendelee na hii mikakati ya kutaka kuzima vyama vya upinzan ambavyo vinaonekana kukubalika kwa wananchi. kwa hatua ambayo watu wamefika kwa sasa ni wazi kuna watanzania ambao wapo tayari kabisa kujiunga na jeshi la uasi kama itatokea. tumeona matokeo katika mambo mbalimbali ambayo wananchi wamejitolea kupigwa mabomu , kupigwa,kuteswa na hata kuuawa. waswas wangu je wakiambiwa tukiingie msituni kudai haki hawatakubali?
 
Msitu unaujua au unauona ukiwa unasafiri tu????!!!!!
Tear gas tu watu wanakanyagana!!!
Blanks tu zikiwaka thread zote hujaa habari hiyo!!!!

Kuwa na mawazo chanya weeewe Mtanzania kufutwa chama ni process na kikifa chama watu na falsafa watabaki na kuanza mchakato mpya,mpiganaji wa kweli hawezi kuhofia kitu simple kama hiko unless unasema strategists are verry limited in options!!!!!!
 
Mkuu umerogwa kabisa haya mawazo ya watu wafu.
 
kwa sasa ni wazi kuna watanzania ambao wapo tayari kabisa kujiunga na jeshi la uasi kama itatokea. tumeona matokeo katika mambo mbalimbali ambayo wananchi wamejitolea kupigwa mabomu , kupigwa,kuteswa na hata kuuawa. waswas wangu je wakiambiwa tukiingie msituni kudai haki hawatakubali?

Naomba nchi yangu Tanganyika isifikie hii hatua.
 
Ukiwanyima watu kudai haki yao kupitia mfumo ulio rasmi basi wataidai haki hiyo kupigia mifumo siyo rasmi.
 
Kuna wakati naulaumu mfumo wa vyama vingi maana katika mazingira ya siasa hizi za ghiliba,njia ingekua moja tu...!
 
Msitu unaujua au unauona ukiwa unasafiri tu????!!!!!
Tear gas tu watu wanakanyagana!!!
Blanks tu zikiwaka thread zote hujaa habari hiyo!!!!

Kuwa na mawazo chanya weeewe Mtanzania kufutwa chama ni process na kikifa chama watu na falsafa watabaki na kuanza mchakato mpya,mpiganaji wa kweli hawezi kuhofia kitu simple kama hiko unless unasema strategists are verry limited in options!!!!!!
Mkuu mjini kumewashinda hao vilaza.
Hata misituni tunawasubiri, kutakuwa hapatoshi!!
 
Misitu yote tumemaliza kwa kutengenezea mkaa. Sasa sijui mtakimbilia msitu gani.
 
Na jinsi wabunge wa cdm wanavyo penda kula bata sijui kama watamaliza wiki mbili kichakani. Nassari alipigwa kofi moja tu mpaka akalazwa. Tumeona sugu alivyo bebwa kama gunia la mahindi. Hao ndio makamanda.
 
Una amanisha msitu wa kwapani?

Kuna binti mmoja wa mfalme Ufaransa aliyezoea maisha ya kukuta keki na mapochopocho mengi katika jumba la mfalme.Siku moja aliona akiwa juu ghorofani wafaransa wakiandamana,akamuuliza mama yake",kwa nini hao wanafanya hivyo?"Mama yake akamjibu,"wanataka mkate kwani wameukosa"Yule binti kwa mshangao akamwambia mama yake,"si wangekula keki tu!"Kweli binadamu hufanana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
KATIKA HARAKATI HIZI ZA kisiasa watu wamekubali kujiunga na vyama vya siasa ili kufuata utaratibu wa kidemokrasia wa kubadilisha utawala. Wasiwasi wangu ni kuwa kama hzi harakati za kutaka kukiuwa chama hiki zitafanikiwa basi ni wazi kuwa watanzania wengi hawatataka tena kupoteza muda kwenye siasa ili kubadilisha utawala. Watanzania watajiunga au wataunda jeshi ili kuiondoa serikali iliyopo madarakani. hii ni kwa kuwa watakuwa wameona kuwa hamna haja tena ya kujishughulisha na siasa wakati wanaona bado kuna uhuni unafanyika katika nchi yao.
hili linaweza kuingiza nchi katika machafuko...na kama viongozi waliopo madarakani hawatakuwa na nia thabiti, nia njema kwa nchi hii basi waendelee na hii mikakati ya kutaka kuzima vyama vya upinzan ambavyo vinaonekana kukubalika kwa wananchi. kwa hatua ambayo watu wamefika kwa sasa ni wazi kuna watanzania ambao wapo tayari kabisa kujiunga na jeshi la uasi kama itatokea. tumeona matokeo katika mambo mbalimbali ambayo wananchi wamejitolea kupigwa mabomu , kupigwa,kuteswa na hata kuuawa. waswas wangu je wakiambiwa tukiingie msituni kudai haki hawatakubali?

stori za kwenye kahawa unatuletea hapa,jikusanye na mliokuwa mdanganyana muingie msituni tuone
 
Na jinsi wabunge wa cdm wanavyo penda kula bata sijui kama watamaliza wiki mbili kichakani. Nassari alipigwa kofi moja tu mpaka akalazwa. Tumeona sugu alivyo bebwa kama gunia la mahindi. Hao ndio makamanda.

mimi huwa najiuliza sana khs watu wanaoishabikia chadema,nadhani hawaijui na akili zao haziko sawasawa
 
Muanzisha uzi naona unawaza kutumia makalio.
Matatizo yote hayo yanayotokea Libya,Misri na kwingineko bado hamjapata somo tuu?
Ama kweli ukistaajabu ya Mussa...................
 
Back
Top Bottom