CHADEMA ijibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali

CHADEMA ijibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
17,051
Reaction score
23,758
Tokea Lijuakali atoe hoja yake juu ya chama chake Cha Chadema baadhi ya wafuasi wa Chadema wametokea kupotosha hoja ya msingi ya Bwana Lijualikali sijajua ni kwasababu ya uchama wao au kukwepa kwa makusudi hoja ya Lijuakali.

Lijuakali ajalalamika kuhusu kuchangishwa pesa Kama wanavyodai wapenzi wa Chadema Bali anahoji matumizi ya michango ya pesa wanayochangishwa nanukuu " Tuliambiwa fedha zetu zitawekwa kwenye fixed account kwa ajili ya uchaguzi huu lakini tukahoji mbona mpaka sasa mjaweka wakasema zimeisha tukawauliza hamjengi ofisi za chama, hakuna shughuli yoyote ya siasa inayoendelea hizo hela zimeishaje wakatujibu hatutakiwi kuhoji chama"

Kwa sisi ambao hatuna itikadi ya hivi vyama au kuwa wapenzi wa vyama hivi Tanzania tungependa Chadema wajibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali kuliko kukwepa

#Tanzaniabilaushabikiwavyamainawezekana
 
Mwenyekiti wetu naye, kwanini ametumbua bilioni nane zote!! Yeye angechukua bilioni moja zingebaki bilioni saba kuwadanganyia wabunge wanao hoji hoji kama Lijuakali.
 
Hapo hoja kubwa ni Lijualikali kumlilia mkwewe Ndugaye

FB_IMG_1589878621052.jpeg


In God we Trust
 
Sasa ahamie ccm ambako mpaka leo
Deep green
Kagoda
Epa
Escrow
1.5t
Gas
Makinikia
Nk vimetumika vizuri zaidi

Nchambi na meno ya tembo yupo nje

Mdogo wake rostam na meno ya tembo yupo nje
 
Hoja ya msingi ipi?
Apunguze kulialia
Njaa mbaya
Ni mbinafsi period
Ndungu Yai atampa kazi shida iko wapi?!
 
Ila hata kama huko Chadema kumeibuliwa hiyo kashfa ya upigaji na matumizi mabaya ya fedha za chama, hatuwezi kuisahau Ccm na Serilkali yake kirahisi kwa upigaji wa miaka mingi na matumizi mabaya zaidi ya fedha za wavuja jasho wa nchi hii.
 
Hv mwenyekiti akiwa anafanya conference kwa nn waandishi wa habari huwa hawamuulizi hilo swali kuhusu matumizi ya ruzuku?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unanafasi kuhoji
1. Kwanini mbunge ccm nchambi yuko nje kwa dhamana? Akiwa na kesi ya uhujumu uchumi

2. Unaweza pia kuhoji mmiliki wa majengo meupe magogoni na chamwino kajificha wapi?

3. Bajeti ya madege ilipangwa na kujadiliwa bunge langapi?
 
Wewe unanafasi kuhoji
1. Kwanini mbunge ccm nchambi yuko nje kwa dhamana? Akiwa na kesi ya uhujumu uchumi

2. Unaweza pia kuhoji mmiliki wa majengo meupe magogoni na chamwino kajificha wapi?

3. Bajeti ya madege ilipangwa na kujadiliwa bunge langapi?
Kwa hoja hizi, unataka kutuambia vyama vyote havina nia njema na Tanzania?
 
Sasa ahamie ccm ambako mpaka leo
Deep green
Kagoda
Epa
Escrow
1.5t
Gas
Makinikia
Nk vimetumika vizuri zaidi

Nchambi na meno ya tembo yupo nje

Mdogo wake rostam na meno ya tembo yupo nje
Ndio kusema matatizo ya CCM ni kuhalalisha matatizo kwa Chadema, basi tuna safari ndefu kwa vyama vyetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom