Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,462
Sio wewe uliekiri hapa kuwa Mbowe ni bosi wako na huwezi kumuandika kwa kuwa kutakuwa na "conflict of interest" ukiwa muongo usiwe msahaurifu!
Mkuu Masatu nashindwa kuelewa uliwezaje Kusoma na Kuandika ( Kuumba herufi) Maana ni Mgumu sana Kuelewa.
Hivi Mfanyakazi wa Ndani wa Kikwete ni Lazima awe CCM au waandishi wote wa TD ni CHADEMA eti kisa TD lina Uhusiano na MBOWE. Mkuu Ugoigoi na Ulegevu wa Hoja Zako unaweza kuoneshwa hata na Mpiga debe pale Karume