Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 74
Tatizo la JK amemuweka Waziri weak sana pale...hawezi kitu...nafikiri angeondolewa wizarani akawekwa mtu strong tungepata umeme?JK aliwahi kusema mgao wa umeme utakuwa historia.......sijui kama anaweza kusema haya maneno leo hadharani. Shame on him