CHADEMA iitishe maandamano ya shinikizo?

Huo msamaha ni wachache wa kuuamini wasiomjua Masatu. Hiyo ilikuwa calculated preemptive strike dhidi ya Mh. Zitto in favour of Dowans!!

Waoooo,

Kumbe kila kitu kilikuwa kimepangwa? Asante sana kwa revelation hii.
 
Huo msamaha ni wachache wa kuuamini wasiomjua Masatu. Hiyo ilikuwa calculated preemptive strike dhidi ya Mh. Zitto in favour of Dowans!!

Mnajimu wa JF... Home Of Great Thinkers!
 
mbona mipovu kibao mkuu masatu?

Si utoe tu ushahidi ulioombwa au kuomba msamaha kama vile ulivyomuomba Zitto juzi?

hahaha si mpaka awe na ushahidi; ni rahisi zaidi kusema vitu kutoka hewani kuliko kuviweka kihalisia. Hawezi kuonesha hata akikesha usiku kucha mahali popote ambapo nimewahi kujitangaza, kukiri, kuonesha, kuashiria au hata kudokezea kuwa mimi ni Chadema! Ni imani ambayo watu wachache (akiwemo yeye) wameijenga kutokana na kuongoza na hisia na vionjo na siyo matumizi ya ule msuli uitwao akili.

Na kundi la watu walioangukia katika mtego huo mbovu humu JF na kwingine ambao wamejiaminisha kuwa mimi ni Chadema na wao ukiwauliza wamejuaje hivyo watabakia kujiuma uma meno wakiishia kusema "mimi nilidhania, mimi nilisikia".

Sasa, hili lisichukuliwe kuwa siwezi kujiunga Chadema, kama vile isichukuliwe kuwa siwezi kujiunga CUF, TLP, NCCR au hata CCM. Kama Mtanzania ninayo haki ya kujiunga na chama chochote chenye kukidhi mtazamo wangu wa kisiasa.
 
Mnajimu wa JF... Home Of Great Thinkers!

...natabiri vagi kubwa la wana CUF Zenji dhidi ya CCM mwezi wa 5 mwakani. CCM itaachia ngazi visiwani. Karume atakimbia, sultani CCM atafyata mkia!!
 
hahaha si mpaka awe na ushahidi; ni rahisi zaidi kusema vitu kutoka hewani kuliko kuviweka kihalisia. Hawezi kuonesha hata akikesha usiku kucha mahali popote ambapo nimewahi kujitangaza, kukiri, kuonesha, kuashiria au hata kudokezea kuwa mimi ni Chadema! Ni imani ambayo watu wachache (akiwemo yeye) wameijenga kutokana na kuongoza na hisia na vionjo na siyo matumizi ya ule msuli uitwao akili.

Na kundi la watu walioangukia katika mtego huo mbovu humu JF na kwingine ambao wamejiaminisha kuwa mimi ni Chadema na wao ukiwauliza wamejuaje hivyo watabakia kujiuma uma meno wakiishia kusema "mimi nilidhania, mimi nilisikia".

Sasa, hili lisichukuliwe kuwa siwezi kujiunga Chadema, kama vile isichukuliwe kuwa siwezi kujiunga CUF, TLP, NCCR au hata CCM. Kama Mtanzania ninayo haki ya kujiunga na chama chochote chenye kukidhi mtazamo wangu wa kisiasa.

Sio wewe uliekiri hapa kuwa Mbowe ni bosi wako na huwezi kumuandika kwa kuwa kutakuwa na "conflict of interest" ukiwa muongo usiwe msahaurifu!
 
Unajuaje hakuwa bouncer pale Billicanas?!
 
What abt this one.....

KJ... sina tatizo kabisa na kumpata Mbowe, nazungumza naye any time akiwa available na kuna issue ya kujadiliana naye. So, siyo ugumu au urahisi wa kumpata Mbowe unaonifanya nisifanye naye mahojiano. It is more complex na nimesubiri watu kuona lakini wameshindwa, I'll volunteer kwanini sijafanya interview na Mbowe.

Nikuulize nikifanya interview na Mbowe kuna mtu ataridhika nimefanya vizuri au tayari watakuwa wameshaamua how it should have been done? Kuna njia yoyote ya mimi kufanya interview ambayo itakuwa haijahukumiwa prematurely that is has been soft because I write for Tanzania Daima?

Lakini zaidi, nikiwa naandikia gazeti ambalo yeye ana uhusiano nalo (Tanzania Daima) wa karibu ambalo linalipia makala zangu kuna uwezekano wa mimi kufanya hivyo bila kuwa na inherent and obvious conflict of interest?

Would you (knowing that I write for Tanzania Daima and that Mbowe is associated with it in his family's ownership of the paper) trust me to conduct an interview or would you rather have somebody else do it? Somebody like Kuhani, you, Masatu or any of the other guys/ladies ambaye atakuwa tayarri kufanya hivyo.

Niko tayari kumgharimia huyo mtu na kumuunganisha na Mbowe through my studio (at no cost to him) ili afanye interview ambayo haitakuwa inagonganisha maslahi na mimi nitairusha "live" and un edited, uncut.

Would you, Kuhani or Masatu volunteer for this and let me know. But as long as I write for Tanzania Daima and Mbowe's familiy owns the paper I would not interview him on air. I have recused myself.
 
Sio wewe uliekiri hapa kuwa Mbowe ni bosi wako na huwezi kumuandika kwa kuwa kutakuwa na "conflict of interest" ukiwa muongo usiwe msahaurifu!

wewe shindwa! sijawahi kumuita Mbowe bosi wangu na zaidi ya yote na sijawahi kusema "nikimuandika" itakuwa ni conflict of interests... ukitaka kutunga uongo hakikisha una facts zako twisted!
 
What abt this one.....

Umefukuafukua na kupekechapekecha pande zote za makabrasha, evidence yenyewe haisimami dede achiliambali kusimama wima na kuwa binding. Hata kwa magongo bado ukiitisha kidogo tu inaporomoka chini.

Uko wapi uhusiano wa Mkjj Ki-Chadema na Mbowe akiwa kama bosi?!!!
 
wewe shindwa! sijawahi kumuita Mbowe bosi wangu na zaidi ya yote na sijawahi kusema "nikimuandika" itakuwa ni conflict of interests... ukitaka kutunga uongo hakikisha una facts zako twisted!

Tehe tehe tehe.... ni hicho kipande hapo juu kaandika nani?
 
Umefukuafukua na kupekechapekecha pande zote za makabrasha, evidence yenyewe haisimami dede achiliambali kusimama wima na kuwa binding. Hata kwa magongo bado ukiitisha kidogo tu inaporomoka chini.

Uko wapi uhusiano wa Mkjj Ki-Chadema na Mbowe akiwa kama bosi?!!!

Kweli ukipenda pengo huita mwanya....
 
Lakini zaidi, nikiwa naandikia gazeti ambalo yeye ana uhusiano nalo (Tanzania Daima) wa karibu ambalo linalipia makala zangu kuna uwezekano wa mimi kufanya hivyo bila kuwa na inherent and obvious conflict of interest?

- NI wapi nimemuita Mbowe Bosi wangu?
- Ni wapi nimesema mimi ni Chadema
- Na umeweza kuona kitu kinachoitwa "swali"? Kuna tofauti kati ya swali na kauli..

hivi hii lugha yetu ya taifa nayo ni ngumu kiasi hicho?
 
Post yako kabla hii umekataa hujasema kama kutakuwa na conflict of interest, mbona hilo hulikanushi sasa?

kwenye hiyo niliyoandika ni wapi nimesema nikimuandika itakuwa ni conflict of interest? Au alama ya kuuliza kwako wewe haionekani kwenye kompyuta yako?
 
Acha spinning zako, hilo ni swali la kuthibitisha kauli! ndio maana ukatumia neno obvious, wadanganye hao hao...
 
wapi nimesema Chadema ni chama changu = 0
wapi nimesema Mbowe ni bosi wangu = 0
Wapi nimesema kuwa nikimuandika itakuwa (definitive statement) ni conflict of interests = 0

Na kitu ambacho inaonekana hukumbuki ni kuwa tayari nimeshawahi kumuandika na tatizo likawa ndilo kama hilo. Kwa sababu wakati naandika TD nisingeweza kuandika mambo mazuri bila ya kuonekana kuwa nimefanya hivyo kwa sababu ya gazeti ambalo Mbowe anahusishwa nalo. Tofauti makala ya "Kama Mbowe ni Fisadi"
 
Sio wewe uliekiri hapa kuwa Mbowe ni bosi wako na huwezi kumuandika kwa kuwa kutakuwa na "conflict of interest" ukiwa muongo usiwe msahaurifu!

Wewe bwana mdogo masatu: Kiswahili bado hujakimudu? Mwambie Tyson akurudishe shule ukakiboreshe.
 
Back
Top Bottom