Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Haya kama ilishakufa basi endeleeni kuwa "mashabiki" wa ccm
Chama tawala,chama dume
Haya kama ilishakufa basi endeleeni kuwa "mashabiki" wa ccm
Kuiba ruzuku na kwenda kununulia majumba dubai na kwenda kuvinjari na mahawara na nyumba ndogosaccos huwa na itikadi ipi kisiasa?
Mwenyekiti kumkatisha safari mbunge wa viti maalum (hawara yake) hakuna ndani ya chadema anaeweza kuelezea aliwekwa kwa vigezo vya kisiasa zaidi ya kuwa hawara wa Bosi, ndiyo unaiita itikadi?
Hivi Mwenyekiti kama huyo utamueleza nini kuhusu itikadi? itikadi hapo ni uzinzi kwa kwenda mbele.
saccos huwa na itikadi ipi kisiasa?
Mwenyekiti kumkatisha safari mbunge wa viti maalum (hawara yake) hakuna ndani ya chadema anaeweza kuelezea aliwekwa bungeni kwa vigezo vipi vya kisiasa zaidi ya kuwa hawara wa Bosi, ndiyo unaiita itikadi?
Hivi Mwenyekiti kama huyo utamueleza nini kuhusu itikadi? itikadi hapo ni uzinzi kwa kwenda mbele.
Issue ni ipi hapa?
Itikadi au slogan?
Kwa uwelewa wangu mdogo naona Slogan ya nguvu ya umma bado inabamba....na kwa mazingira uliyosema kuhusu itikadi na mienendo ya vyama vyetu ni bora kubaki na slogan ya jumla ambayo inaweza kuaccomodate matukio mengi.mfano tutatumia nguvu ya umma kudai Tanganyika,nguvu ya umma dhidi ya ufisadi,nguvu ya umma kudai haki etc.Hapa ni slogan ndio mjadala
Hapa ni slogan ndio mjadala
Dume shoga...Chama tawala,chama dume
Gongo ni halali.
Itakuwa na mvuto sana kama sera yena iliyotangazwa na Slaa.
Hapana, umesoma mada lakini bado hujaielewa mantiki yangu,
Nataka chama changu kisifanye makosa yaliyofanywa na vyama vingine huko nyuma.
Daaah nilidhani naongea na mjenzi wa hoja kumbe mjenzi wa viroja
mada ndeeefu kama hadithi za alfulelaulela...jipange kaka
Hapo kunahitajika mkutano wa kitaifa, watu wapige kura kuamua aina ya itikadi wanayopenda kuifuata.
Lakini kama Chadema itaingia madarakani ikiwa pekee yake bila (UKAWA), taifa litaongozwa kwa itikadi ya Chadema ya MRENGO WA KATI.
hivi kuna siku inapita bila kumtaja Dr Slaa?alikuachia mtoto nini?Wewe unasikia tu? muulize Dr.W.Slaa aliyeifanya gongo kuwa sera ya chadema.
Taifa liingie gharama watu wapige kura kuchagua itikadi halafu hiyo itikadi itasaidia nini?Hapo kunahitajika mkutano wa kitaifa, watu wapige kura kuamua aina ya itikadi wanayopenda kuifuata.
Lakini kama Chadema itaingia madarakani ikiwa pekee yake bila (UKAWA), taifa litaongozwa kwa itikadi ya Chadema ya MRENGO WA KATI.