gomezirichard
Member
- Nov 2, 2010
- 71
- 1
Kwa Mawazo yangu na utashi wangu ni kwamba nina ishauri CHADEMA IANZISHE mfuko maalumu wa kukichangia chama hicho ili kuweka mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuukwaa uraisi na kuwa chama tawala.
Wananchi tupo tayari, tumechoka kutawaliwa na mafisadi , tupo tayari kuichangia CHADEMA
Na tuna nia kabisa tunaomba chadema mulifikiri hili pia inabidi muwe na database yenu ili tujue tupo wanachama wangapi.
Tupo tayari kuwachangia , mimi naamini kuwa mtu kama zito anahitaji tu psychologist wa kukaa naye kama na kumjengea uwezo zaidi hasa issue za confidentiality, ila ni kuwa muangalifu naye mana siamini kama ni zito huyu aliyempokonya kipaza sauti Ole sendeka , ila pointi kubwa hapa ninayooongelea ni suala la uanzishaji wa account ambayo tutakua tukichangia.
WADAU MNALIONAJE, NA PIA DATABASE KAMA ILIVYO KWISHA WASILISHA NA ONE OF THE MEMBER
MZEE GOMEZI