Chadema ianzishe mfuko maalumu wa kuichangia

gomezirichard

Member
Nov 2, 2010
71
1
Kwa Mawazo yangu na utashi wangu ni kwamba nina ishauri CHADEMA IANZISHE mfuko maalumu wa kukichangia chama hicho ili kuweka mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuukwaa uraisi na kuwa chama tawala.

Wananchi tupo tayari, tumechoka kutawaliwa na mafisadi , tupo tayari kuichangia CHADEMA
Na tuna nia kabisa tunaomba chadema mulifikiri hili pia inabidi muwe na database yenu ili tujue tupo wanachama wangapi.

Tupo tayari kuwachangia , mimi naamini kuwa mtu kama zito anahitaji tu psychologist wa kukaa naye kama na kumjengea uwezo zaidi hasa issue za confidentiality, ila ni kuwa muangalifu naye mana siamini kama ni zito huyu aliyempokonya kipaza sauti Ole sendeka , ila pointi kubwa hapa ninayooongelea ni suala la uanzishaji wa account ambayo tutakua tukichangia.

WADAU MNALIONAJE, NA PIA DATABASE KAMA ILIVYO KWISHA WASILISHA NA ONE OF THE MEMBER

MZEE GOMEZI
 
Ngoja nikupigie SENKYU kama ya mama spika. Uko wasa kabisa, ila watu wanatakiwa waelimishwe kwa kuwa wanashabikia Chama kwa mdomo tu, hawajui kuwa hakuna maendeleo yoyote yatakayo weza patika pasipokuwa na fedha za kutosha kuweza kuwafikia watu wengi zaidi nakufungua matawi ya chama. CDM waanzishe huo mfuko mapema iwezekanavyo.
 
Kwa Mawazo yangu na utashi wangu ni kwamba nina ishauri CHADEMA IANZISHE mfuko maalumu wa kukichangia chama hicho ili kuweka mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuukwaa uraisi na kuwa chama tawala.

Wananchi tupo tayari, tumechoka kutawaliwa na mafisadi , tupo tayari kuichangia CHADEMA
Na tuna nia kabisa tunaomba chadema mulifikiri hili pia inabidi muwe na database yenu ili tujue tupo wanachama wangapi.

Tupo tayari kuwachangia , mimi naamini kuwa mtu kama zito anahitaji tu psychologist wa kukaa naye kama na kumjengea uwezo zaidi hasa issue za confidentiality, ila ni kuwa muangalifu naye mana siamini kama ni zito huyu aliyempokonya kipaza sauti Ole sendeka , ila pointi kubwa hapa ninayooongelea ni suala la uanzishaji wa account ambayo tutakua tukichangia.

WADAU MNALIONAJE, NA PIA DATABASE KAMA ILIVYO KWISHA WASILISHA NA ONE OF THE MEMBER

MZEE GOMEZI
Hilo ni wazo zuri sana Mzee Gomezi, maanake CHADEMA INAHITAJI KUJIPANGA. Tanzania ni kubwa ili iweze kuwafikia watu wote ili waelewe ni kwa nini nchi yetu ni masikini. Watu waelimishwe wajue kuwa chama tawala ndicho kimefilisi nchi na sera za kifisadi. Vijana siku hizi ni waelewa ili mradi tuu wapelekewe taarifa.Information is power. Hivyo inahitajika fedha (MTAJI) WA KUFANYA MAMBO YOTE HAYO. Kufungua ofisi kwenye miji, wilaya na vijiji. Kupeleka vipeperushi, bendera,T'shirts, Katiba za chama. Vyote hivyo vinahitaji fedha, hivyo CHADEMA tujipange tuachane na malumbano ya kutupotezea wakati tuingie kazini. VIVA CHADEMA Mapambano ndio yameanza.Tupo pamoja Mkuu!
 
Naunga mkono hoja, huu ni wakati wa kukijenga chama zaidi kwa kuanzisha matawi kila mahali. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini sasa niko tayari. Mh. Mdee tafadhali fanya mkakati wa kufungua matawi jimbo la Kawe. Tupo tayari kuchangia na kushiriki kikamilifu
 
thatz gu idea, hatua za haraka zichukuliwe kwa ukombozi wa wadanganyika.
 
Kwa hii ni ya nini? CRDB: Acc. name-CHADEMA M4C 01J1080100600, ambapo M4C tafsiri yake ni Movement for Change.
Mbona tulikuwa tunatangaziwa kuchangia wakati ule wa kampeni na miongoni mwetu tulichangia?
 
Kuwepo zaidi ya njia moja ya kuichangia CHADEMA si lazima bank tu hata M-PESA mabenk foleni zimezidi.
 
Kwa Mawazo yangu na utashi wangu ni kwamba nina ishauri CHADEMA IANZISHE mfuko maalumu wa kukichangia chama hicho ili kuweka mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuukwaa uraisi na kuwa chama tawala.

Wananchi tupo tayari, tumechoka kutawaliwa na mafisadi , tupo tayari kuichangia CHADEMA
Na tuna nia kabisa tunaomba chadema mulifikiri hili pia inabidi muwe na database yenu ili tujue tupo wanachama wangapi.

Tupo tayari kuwachangia , mimi naamini kuwa mtu kama zito anahitaji tu psychologist wa kukaa naye kama na kumjengea uwezo zaidi hasa issue za confidentiality, ila ni kuwa muangalifu naye mana siamini kama ni zito huyu aliyempokonya kipaza sauti Ole sendeka , ila pointi kubwa hapa ninayooongelea ni suala la uanzishaji wa account ambayo tutakua tukichangia.

WADAU MNALIONAJE, NA PIA DATABASE KAMA ILIVYO KWISHA WASILISHA NA ONE OF THE MEMBER

MZEE GOMEZI

Yaani unataka watu wawachangie wachaga!!!!!!! Au mmewasahau?!! Watakimbia na michango yote.
 
kaka naunga hoja mkono ila m-pesa, tigo pesa nk ndio njia bora zaidi kuepusha kupoteza muda & hence mwitikio mdogo
 
Naunga mkono hoja, ila nataka njia rahisi zitumike kama ile ya SMS kwenda kwa WASPs na mobile banking ambayo ni rahisi kutransfer pesa kwenda kwenye account ya CDM. Njia za manual hazitafanyakazi kwa vijana(chadema ni ya vijana zaidi). Hizi za manual(kwenda kudeposit kwenye account) tuwaachie chama cha mafisadi wenye hela nyingi sisi vijana hela yetu ni ndogondo lakini inatosha. Watu wenye pesa safi na wenye nia njema na nchi yetu wanaweza kuchangia Publically kama akina SABODO, wanahitaji media coverage ili watu wawaone bila kuwaogopa mafisadi.
 
Back
Top Bottom