gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,616
Pasco ukweli upi unaompongeza nao huyu mnafiq? Kipi hapa kitu tangible chenye ushahidi alichokileta mtoa mada? Hivi mimi nikianzisha thread nikasema Lowassa ni mchawi, mlevi, ana maradhi mabaya, ameshafukia watu kwa makafara bila ushahidi utakuja kunipongeza kwa kusema ukweli? "
Na hapa pia umepiga propaganda. Unataka kuonyesha kuwa Chadema inawanyamazisha wanaosema ukweli. Sio kweli. Huna ushahidi hata mmoja wa mtu aliyekuwa silenced kwa kusema maovu ya chama. Huyo Ludo kama ni kuwa silenced angekuwa hivyo siku nyingi. Zitto kaishia kujitimua mwenyewe. Juliana Shonza tulifukuza kama mbwa.Nani alikuwa silenced. Tatizo lako Pasco ni unafiq. Unajua kabisa unachosema ni uongo. Lakini ili ufurahishe tumbo lako na mabosi/wafadhili wako wakenue meno unaamua kujitoa ufahamu makusudibna kupotosha. Ni tabia mbaya sana kwa mtu senior hapa mtandaoni kama wewe. Ina ruin reputation yako. Soon utadharauliwa kama lile toto jinga la waziri mkuu mstaafu. Sema ukweli. Chadema haina mambo ya kunyamazisha watu.
Hii pia ni kurudia upuuzi ule ule wa kudhani na kuamini alichokisema Ludo ni kweli hata kabla huja comfirm na watuhumiwa. Ni ukanjanja uliotukuka kwa wewe mwanasheria na pia unayejifanya mwandishi wa habari. Kulikuwa na tabu gani kumuuliza Tumaini Makene walau akupe ufafanuzi ndio uje hapa kujaza hizi propaganda zako? Wewe unajua wazi mahusiano ya Chadema na Ludo. Na unajua mahusiano ya Ludo na Zitto. Na unajua mahusiano ya Zitto na Msaki. Na inajua mahusiano ya Ludo na Msaki. Kipi cha ajabu alichokiandika Ludo hadi ukurupuke mbio mbio kumpongeza kwa kusema ukweli? Eti unamwita insider. Leo hii Membe akiamua kuzusha lolotebla Lowassa tumpongeze kwakuwa na yeye ni insider wa CCM?! Mi naamini Pasco umevuka hii level ya kina MSALANI na ifweero na Simiyu Yetu kwa mbali sana. Heshma yako iko far beyond these propaganda. Na nakushauri urudi kwenye mstari. Uwe pasco yule ambaye ukiona bandiko lake hata kama unaendesha kikao unasimama kwanza kutazama Pasco ameleta mapoint gani. With this trend, im sory Pasco hutakuwa na tofauti na kina Lizaboni. Hapa umepotosha sana. Tena kiuungwana ungeomba radhi. Chadema ni chama bora kwa mstaarabu kuishi. Wewe mwenyewe unaona kila propaganda imefeli. Wanachadema kwa makabila na dini zetu tuna amani na furaha tukiwa chadema. Mimi nimeshiriki mikutano na maandamano mengi sana ya chadema. Sijawahi kupewa hata 500 ya maji ya kunywa. Nimeratibu mikutano ya Chadema Chalinze na Tukuyu, sijawahi kugawa hata sh 50! Na ndivyo ilivyo kwa mikutano na maandamano inayoratibiwa na Makao Makuu ambayo na mimi nimeshiriki sana. Hakuna fungu lolote linalotolewa kwa waandamanaji. Na Pasco unajua...umempongeza ludo kinafiki.
Hakuna ukweli hata mmoja aliousema Ludo. Kama unao ushahidi ulete hapa. Pili Ludo tumempuuza. Hana akili. Mtu anayekuja hapa kutaja eti Pasco alinichangia 15,000/- kwenye harusi yangu unaweza kuievaluate akili yake na kujua uwezo wake wa kufikiri. Si ajabu akifiwa atakuja hapa na daftari la rambirambi kutuonyesha bosi wake Zitto amechanga milioni ngapi. Ni uchizi na frustration zinazomsumbua. Na ndio maana hakuna mtu yeyote kutoka Chadema HQ aliyehangaika kumjibu. Na hata waliomjibu umeona walivyomparura.
Mwigamba au Maskini Mkulima alikuja na mbinu hii. Sasa hivi ni km jalala. Hana thamani
Juliana Shonza aliyefukuzwa kama mbwa naye na kundi lake walikuja na mbinu kama hii. Hivi sasa hata huko CCM wamekuwa ni mizigo tu
Zitto nae alikuja hivi hivi, hivi sasa ni mzigo hata kwake mwenyewe.
Chadema ni chama kinachoendeshwa kisayansi. Usijaribu ku temper na Chadema cheaply kama huyu Ludo. Chadema ndio tegemeo pekee la watanzania kisiasa
Duuu aiseee
This guy "pasco" is becoming so cheap siku hadi Siku aisee
I real wonder kama ni mwanasheria kweli au mwandishi Wa habari
I
Kama ni mwandishi Wa habari sishangai madudu yanayoandikwa na magazeti ya uhuru
Last edited by a moderator: