Mkuu Ludo, kwanza asante kwa uzi huu na hongera kwa kuamua kuusema ukweli, ili ukweli ukuweke huru! "Speak the truth, and the truth will set you free!", ila nahofia sana usalama wako kwa hii staili unayoitumia!, kama ni kweli ulikuwa "an inside man, na sasa unaanza to spill the beans!, una hatari ya ku end up being "silenced" before you spill more beans!.
Politics is a dirty game, na kweli kila politics, kuna lots and lots of dirty games tok a vyama vyote CCM inclusive, sass ukiwa insider, unakuja kuleta mambo ya inside into an open, you are not only not a trustworthy person, but a risk with needs to be disposed the sooner the better!, so watch out, hata kama unawake kukumbukwa kama shujaa wa ukweli!, jiulize is it with it?.
Ila pia kwa vile you were one of them, natatizo na "the motive behind" hizi revelations zako!, najui wewe unajijua uko normal na uko ok, ila kiukweli amini usiamini, you are not normal and you are not ok!, you are insane!. Hauko saws kabisa na wall hauko timamu!.
Kuusema ukweli huu unaosema hapa ni kitendo cha ushujaa sana, ili pia ushujaa huu unawezwa kufanya na mtu tuu asiye timamu!, kutokuwa timamu, sio lazima ndio uwe kichaa, kuna wasio timamu kibao ambao sio vichaa, ila pia kuwa kichaa sio mpaka lazima uokote makopo, kuna vichaa kibao ambao hawaokoti makopo!.
Nakushauri kabla ya kuanzisha baadhi ya mada, jitafakari kwanza, haswa kuhusu "the motive behind mada husika, ndipo uipandishe!, ila kwa level ya "insanity ninayokusoma nayo humu!, I doubt kama you still have even a little brain to make of anything I say here!.
Ni ushauri tuu!. Hongera Shujaa Ludo!, tutakukumbuka!.
Thanks.
Pasco.