CHADEMA huwalipa wanaoandamana

CHADEMA huwalipa wanaoandamana

Mboe ni nani wewe kilaza mwan haramu mtoka pabaya!?Halafu unajiita kabila lisilo lako!! mafi kunuka!!

Kamanda, hasira zote hizi si ungezipeleka kwenye maandamano ukae frontline upate ahueni ya hasira zako, ingekuwa poa sana.
 
Mkuu Pasco.
Nimekusoma na naheshimu observation zako. umesema mengi na bila shaka unazo grounds za kusema hayo. naona kwa jicho pana kila kauli ulizosema. ingawa sidhani kuwa umeelezwa juu ya mpango wa mimi kuwa "disposed the erlier the better!" disposed???? naam, inawezekana,inawezekana. lakini ninaweza kufanya nini wakati nia hiyo ipo? Biblia husema Bwana asipolinda nyumba wailindao hukesha bure tu. haya mengine ya kuwa insane kama ulivyosema kila mmoja huwa na insanity kwa kiasi chake ila tunazidiana tu.
Pasco, ni kweli mtanikumbuka.

Kumbe bado upo, nimeamini usemayo ni kweli, Bwana asipoilinda nyumba, wailindao wafanya kazi bure.
Ila hii vita yako ya sasa na Kanisa Moja Kuu, Takatifu Katoliki la Mitume....
Ni kweli tunakukumbuka!
P
 
Huyu ndiye Ludovick, miaka 11 imepita, mshirika wake mkuu Madelu Mwigulu Nchemba sasa ni waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom