CHADEMA huwalipa wanaoandamana

CHADEMA huwalipa wanaoandamana

Joseph Ludovick komaaa huko huko CHADEMA, ili uwasaidie vijana wenzako kutimiza malengo yao ya kisiasa!
 
Last edited by a moderator:
- Kumbe ulipokuwa huko Chadema umejonea mengi ya ajabu na hawa wanafiki wakubwa, ndio maana miaka 30 hakuna dola wanaishia side lines na kuandamana na kugoma tu, wewe sema wasikutishe hawana lolote na matusi yao ya kizamani zamani wakati huku mjini kuna matusi mapya kabisa le mburulazzz, weka habari hapa tuone mchele na pumba kujibu hoja hawawezi kwa sababu hawa ni wapambe tu hawajui lolote kile chama kina wenyewe muulize yule kijana waliyekuwa wanamtumia kutukana Viongozi wa CCM mitandaoni walivyomtupa kwenye uchaguzi wao hahahahahaha!!

Le Big Show
Kumbe umekubali kuwa LUDO alikuwa CHADEMA ila kwa sasa hayupo japo anaendelea kutumia jina la CHADEMA kuiponda ili apate hifadhi CCM! Leo umekuwa kama sio kubwa jinga vile! Ref. hapo kwenye red.
 
- Kumbe ulipokuwa huko Chadema umejonea mengi ya ajabu na hawa wanafiki wakubwa, ndio maana miaka 30 hakuna dola wanaishia side lines na kuandamana na kugoma tu, wewe sema wasikutishe hawana lolote na matusi yao ya kizamani zamani wakati huku mjini kuna matusi mapya kabisa le mburulazzz, weka habari hapa tuone mchele na pumba kujibu hoja hawawezi kwa sababu hawa ni wapambe tu hawajui lolote kile chama kina wenyewe muulize yule kijana waliyekuwa wanamtumia kutukana Viongozi wa CCM mitandaoni walivyomtupa kwenye uchaguzi wao hahahahahaha!!

Le Big Show

Wee huna lolote na kiswahili chako cha kudandia.Katika watu wabovu ni wewe umekalia upambe wa kinafki hata kujenga hoja hujui unatumia hisia za kinafki.Nakushangaa sana sijui nani ni role model wako katika siasa. We ni mtoto wa kiongozi aliyepata kushika wadhifa wa juu kabisa hapa nchini hapaswi kuonesha ushabiki wa pumba zako hapa kiasi hichi.Unamshushia mzee wako hadhi!Napata mashaka kama wewe ni damu halizi ya huyu Mzee.Mimi mshabiki wa chama chochote cha siasa ila hapa umechemsha sana mdogo wangu.Unamtuma Ludo kuleta uchafu wake hapa na wakati hata mtoto mdogo anamjua kwa utaahira wake wa kubeba makopo ya watu flani mtaani.
 
Aliyeko jikoni anasema chakula kina chumvi nyingi we umekaa sebuleni unaangalia tv unakataa nini?

Fanya research ya kile alichoandika kisha ndo uje hapa kutoa povu... nyambafff
Acheni Jamaa aseme msimzibe mdomo
 
Kama lamombasa HV dah mijitu mingine mavi kweli

Yah maana linalia lia lia ohoo nipo cdm, naipenda chadema, wakati huo linasema chadema ni waovu na kulia lia...angesema sina chama na nliondoka chadema kwa sababu hi na hi na hi unamwalewa na unasema huyu kafanya maamuzi...lakini mkuu lenyewe lina lia lia tu
 
- Kumbe ulipokuwa huko Chadema umejonea mengi ya ajabu na hawa wanafiki wakubwa, ndio maana miaka 30 hakuna dola wanaishia side lines na kuandamana na kugoma tu, wewe sema wasikutishe hawana lolote na matusi yao ya kizamani zamani wakati huku mjini kuna matusi mapya kabisa le mburulazzz, weka habari hapa tuone mchele na pumba kujibu hoja hawawezi kwa sababu hawa ni wapambe tu hawajui lolote kile chama kina wenyewe muulize yule kijana waliyekuwa wanamtumia kutukana Viongozi wa CCM mitandaoni walivyomtupa kwenye uchaguzi wao hahahahahaha!!

Le Big Show

NGOJA TUWAACHE WAFU WAZIGE WAFU WENZAO.Mwal na Le Big CHADEMA tunaipenda kwani ndo mkombozi wetu wa kweli na katika ulizi wa raslimali za nchi.Msiwadanganye watu,Mwal lilikuwa gugu lililowota na mmimea muda ulipofika lilingolewa,gugu kama magugu mengine ni hatari kwa ukuaji wa mimea sahihi,Hivyo hamna jipya.CHADEMA tunavyoipenda tuko tayari kunywa sumu juu yake.
 
Tayari uaminifu wangu kwa huyu Ludovick niliukata rasimi alipomuuza Lwakatare kwa ccm,ongea yote lakini kwangu ni Zero tu.
 
Na wale wanaoletwa na mabasi kutoka vijijini kuja kujaza viwanja anapohutubia kinana mabasi yakipinduka nani atawahudumia?
 
Mkuu Ludo, kwanza asante kwa uzi huu na hongera kwa kuamua kuusema ukweli, ili ukweli ukuweke huru
Pasco ukweli upi unaompongeza nao huyu mnafiq? Kipi hapa kitu tangible chenye ushahidi alichokileta mtoa mada? Hivi mimi nikianzisha thread nikasema Lowassa ni mchawi, mlevi, ana maradhi mabaya, ameshafukia watu kwa makafara bila ushahidi utakuja kunipongeza kwa kusema ukweli? "

Speak the truth, and the truth will set you free!", ila nahofia sana usalama wako kwa hii staili unayoitumia!, kama ni kweli ulikuwa "an inside man, na sasa unaanza to spill the beans!, una hatari ya ku end up being "silenced" before you spill more beans!..
Na hapa pia umepiga propaganda. Unataka kuonyesha kuwa Chadema inawanyamazisha wanaosema ukweli. Sio kweli. Huna ushahidi hata mmoja wa mtu aliyekuwa silenced kwa kusema maovu ya chama. Huyo Ludo kama ni kuwa silenced angekuwa hivyo siku nyingi. Zitto kaishia kujitimua mwenyewe. Juliana Shonza tulifukuza kama mbwa.Nani alikuwa silenced. Tatizo lako Pasco ni unafiq. Unajua kabisa unachosema ni uongo. Lakini ili ufurahishe tumbo lako na mabosi/wafadhili wako wakenue meno unaamua kujitoa ufahamu makusudibna kupotosha. Ni tabia mbaya sana kwa mtu senior hapa mtandaoni kama wewe. Ina ruin reputation yako. Soon utadharauliwa kama lile toto jinga la waziri mkuu mstaafu. Sema ukweli. Chadema haina mambo ya kunyamazisha watu.

Politics is a dirty game, na kweli kila politics, kuna lots and lots of dirty games tok a vyama vyote CCM inclusive, sasa ukiwa insider, unakuja kuleta mambo ya inside into an open, you are not only not a trustworthy person, but a risk with needs to be disposed the sooner the better!, so watch out, hata kama unawake kukumbukwa kama shujaa wa ukweli!, jiulize is it with it?.
Hii pia ni kurudia upuuzi ule ule wa kudhani na kuamini alichokisema Ludo ni kweli hata kabla huja comfirm na watuhumiwa. Ni ukanjanja uliotukuka kwa wewe mwanasheria na pia unayejifanya mwandishi wa habari. Kulikuwa na tabu gani kumuuliza Tumaini Makene walau akupe ufafanuzi ndio uje hapa kujaza hizi propaganda zako? Wewe unajua wazi mahusiano ya Chadema na Ludo. Na unajua mahusiano ya Ludo na Zitto. Na unajua mahusiano ya Zitto na Msaki. Na inajua mahusiano ya Ludo na Msaki. Kipi cha ajabu alichokiandika Ludo hadi ukurupuke mbio mbio kumpongeza kwa kusema ukweli? Eti unamwita insider. Leo hii Membe akiamua kuzusha lolotebla Lowassa tumpongeze kwakuwa na yeye ni insider wa CCM?! Mi naamini Pasco umevuka hii level ya kina MSALANI na ifweero na Simiyu Yetu kwa mbali sana. Heshma yako iko far beyond these propaganda. Na nakushauri urudi kwenye mstari. Uwe pasco yule ambaye ukiona bandiko lake hata kama unaendesha kikao unasimama kwanza kutazama Pasco ameleta mapoint gani. With this trend, im sory Pasco hutakuwa na tofauti na kina Lizaboni. Hapa umepotosha sana. Tena kiuungwana ungeomba radhi. Chadema ni chama bora kwa mstaarabu kuishi. Wewe mwenyewe unaona kila propaganda imefeli. Wanachadema kwa makabila na dini zetu tuna amani na furaha tukiwa chadema. Mimi nimeshiriki mikutano na maandamano mengi sana ya chadema. Sijawahi kupewa hata 500 ya maji ya kunywa. Nimeratibu mikutano ya Chadema Chalinze na Tukuyu, sijawahi kugawa hata sh 50! Na ndivyo ilivyo kwa mikutano na maandamano inayoratibiwa na Makao Makuu ambayo na mimi nimeshiriki sana. Hakuna fungu lolote linalotolewa kwa waandamanaji. Na Pasco unajua...umempongeza ludo kinafiki.

Ila pia kwa vile you were one of them, natatizo na "the motive behind" hizi revelations zako!, najui wewe unajijua uko normal na uko ok, ila kiukweli amini usiamini, you are not normal and you are not ok!, you are insane!. Hauko saws kabisa na wall hauko timamu!.

Kuusema ukweli huu unaosema hapa ni kitendo cha ushujaa sana, ili pia ushujaa huu unawezwa kufanya na mtu tuu asiye timamu!, kutokuwa timamu, sio lazima ndio uwe kichaa, kuna wasio timamu kibao ambao sio vichaa, ila pia kuwa kichaa sio mpaka lazima uokote makopo, kuna vichaa kibao ambao hawaokoti makopo!.

Nakushauri kabla ya kuanzisha baadhi ya mada, jitafakari kwanza, haswa kuhusu "the motive behind mada husika, ndipo uipandishe!, ila kwa level ya "insanity ninayokusoma nayo humu!, I doubt kama you still have even a little brain to make of anything I say here!.

Ni ushauri tuu!. Hongera Shujaa Ludo!, tutakukumbuka!.

Thanks.

Pasco.
Hakuna ukweli hata mmoja aliousema Ludo. Kama unao ushahidi ulete hapa. Pili Ludo tumempuuza. Hana akili. Mtu anayekuja hapa kutaja eti Pasco alinichangia 15,000/- kwenye harusi yangu unaweza kuievaluate akili yake na kujua uwezo wake wa kufikiri. Si ajabu akifiwa atakuja hapa na daftari la rambirambi kutuonyesha bosi wake Zitto amechanga milioni ngapi. Ni uchizi na frustration zinazomsumbua. Na ndio maana hakuna mtu yeyote kutoka Chadema HQ aliyehangaika kumjibu. Na hata waliomjibu umeona walivyomparura.

Mwigamba au Maskini Mkulima alikuja na mbinu hii. Sasa hivi ni km jalala. Hana thamani

Juliana Shonza aliyefukuzwa kama mbwa naye na kundi lake walikuja na mbinu kama hii. Hivi sasa hata huko CCM wamekuwa ni mizigo tu

Zitto nae alikuja hivi hivi, hivi sasa ni mzigo hata kwake mwenyewe.

Chadema ni chama kinachoendeshwa kisayansi. Usijaribu ku temper na Chadema cheaply kama huyu Ludo. Chadema ndio tegemeo pekee la watanzania kisiasa
 
Last edited by a moderator:
Ludo Ana tatizo la Msongo wa mawazo ......so ni chizi baada ya mkewe kukimbia na kumuacha akiwa Anahangaika .......msifikiri yuko kawaida .......

Mbali na kukimbiwa na mkewe; dhambi aliyotenda kwa Bw. Kibanda itaendelea kumtafuna maisha yake yote. Ludo hana tofauti na wafuasi wa IS ama BOKOHARAM
 
Mkuu Ludo, kwanza asante kwa uzi huu na hongera kwa kuamua kuusema ukweli, ili ukweli ukuweke huru! "Speak the truth, and the truth will set you free!", ila nahofia sana usalama wako kwa hii staili unayoitumia!, kama ni kweli ulikuwa "an inside man, na sasa unaanza to spill the beans!, una hatari ya ku end up being "silenced" before you spill more beans!.

Politics is a dirty game, na kweli kila politics, kuna lots and lots of dirty games tok a vyama vyote CCM inclusive, sass ukiwa insider, unakuja kuleta mambo ya inside into an open, you are not only not a trustworthy person, but a risk with needs to be disposed the sooner the better!, so watch out, hata kama unawake kukumbukwa kama shujaa wa ukweli!, jiulize is it with it?.

Ila pia kwa vile you were one of them, natatizo na "the motive behind" hizi revelations zako!, najui wewe unajijua uko normal na uko ok, ila kiukweli amini usiamini, you are not normal and you are not ok!, you are insane!. Hauko saws kabisa na wall hauko timamu!.

Kuusema ukweli huu unaosema hapa ni kitendo cha ushujaa sana, ili pia ushujaa huu unawezwa kufanya na mtu tuu asiye timamu!, kutokuwa timamu, sio lazima ndio uwe kichaa, kuna wasio timamu kibao ambao sio vichaa, ila pia kuwa kichaa sio mpaka lazima uokote makopo, kuna vichaa kibao ambao hawaokoti makopo!.

Nakushauri kabla ya kuanzisha baadhi ya mada, jitafakari kwanza, haswa kuhusu "the motive behind mada husika, ndipo uipandishe!, ila kwa level ya "insanity ninayokusoma nayo humu!, I doubt kama you still have even a little brain to make of anything I say here!.

Ni ushauri tuu!. Hongera Shujaa Ludo!, tutakukumbuka!.

Thanks.

Pasco.

Wachumia tumbo mmekutana, mnajulikana and no body cares what you say anymore..
 
Back
Top Bottom