kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,442
Dawa ya homa kali ni sindano!Uongo unaokuaibisha utakusaidia nini ?

Nafikiri ana maanisha kwamba Harakati za kuchangisha hizo hela kumjali kwa kumtembelea hazikuanzishwa na chadema kama chama wao wamedandia mbele ya safari tuMbona CHADEMA ilisha kusanya million 22 na kukabidhi kwa familia ya Prof j. Na pia CHADEMA walituma salamu za shukrani kwa wananchi waliohusika. Tatizo mnafanya siasa Hadi kwenye ugonjwa wa mtu. Mnatafuta Mambo madogo ili muishushe CHADEMA.
CCM imekuwa kimbelembele kwenye ugonjwa wa prof j kwasababu inajua ilichomfanyia huyo mgonjwa mbona tundu lissu mlinyima pesa ya matibabu tena alikuwa bungeni acha huyu mstaafu CCM ina uhuni wa enzi za laizoni😃😃Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi Sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema Kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
:::Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
AcT wamehimiza michango
Ccm kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha Sana!
Mbona mwendazake hakuzungumzia sindano.Alisisitiza kujifukiza!Dawa ya homa kali ni sindano!
Inakuuma sana eeh? IchomoeIkumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi Sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema Kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
:::Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
AcT wamehimiza michango
Ccm kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha Sana!
Sidhani kama Profesa J au familia yake waliomba msaada kwa mtu au chama chochote. Ni watu tuu ndio wanaogongana kumchangia. Na wengine kama aliyeleta mada hii hapa wanajaribu kutumia ugonjwa kwa ajenda zao wenyewe.Tuchukulie uko sahihi sana na hii ramli chonganishi, Profesa J ameporwa ubunge wake uchaguzi uliopita na yule kiongozi.
Hivyo Prof J alivuta hela yake yote ya kumaliza ubunge 200m. Je amepeleka wapi hela yote hiyo ndani ya mwaka mpaka mumgeuze mtaji wa siasa za kishamba?
Mnadhani mnaichonganisha cdm na wananchi, kumbe mnamuanika profesa J kuwa ni mfujaji wa Pesa. Kama alikuwa anapata 12m@ kwa muda wa miaka mitano, na mkono wa kwaheri wa 200m, iweje ndani ya mwaka ashindwe kujihudumia matibabu yake mpaka ageuzwe muhanga wa siasa za majitaka?
Ni hivi, kama mmegeuza mtaji wa kisiasa profesa J, basi mnamuanika tu kuwa ni mfujaji wa pesa akitegemea kusaidiwa kisa alikuwa mbunge wa cdm.
Subiri prof j mwenyewe apone ataelezaJibu hoja kwa ushahidi kwamba hicho kinachodaiwa kutofanyika kwa Profesa J ni kweli au uongo kwa kuweka ushahidi sio kusema tu uongo hausaidii.
Wewe ni mmojawapo wa wazushi wazoefu wa kuleta mada za uzushi hapa JF.
Tuthibitishie it is not your own medicine.
siasa hadi kwenye uhai na afya zetu!!Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi Sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema Kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
:::Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
AcT wamehimiza michango
Ccm kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha Sana!
Mbowe anachangiwa pia. Mbowe alikua na chansi ya kuimaliza kesi akasema ataendelea kukaa mahabusu. Baadaye kidogo anawavuta wananchi kwenye kesi kwa kupitia michango. A billionaire na mnufaika wa 200M for yearsTuchukulie uko sahihi sana na hii ramli chonganishi, Profesa J ameporwa ubunge wake uchaguzi uliopita na yule kiongozi.
Hivyo Prof J alivuta hela yake yote ya kumaliza ubunge 200m. Je amepeleka wapi hela yote hiyo ndani ya mwaka mpaka mumgeuze mtaji wa siasa za kishamba?
Mnadhani mnaichonganisha cdm na wananchi, kumbe mnamuanika profesa J kuwa ni mfujaji wa Pesa. Kama alikuwa anapata 12m@ kwa muda wa miaka mitano, na mkono wa kwaheri wa 200m, iweje ndani ya mwaka ashindwe kujihudumia matibabu yake mpaka ageuzwe muhanga wa siasa za majitaka?
Ni hivi, kama mmegeuza mtaji wa kisiasa profesa J, basi mnamuanika tu kuwa ni mfujaji wa pesa akitegemea kusaidiwa kisa alikuwa mbunge wa cdm.
Hivi we BWANA MDOGO UNA SHIDA GANI NA CHADEMA???Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi Sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema Kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
:::Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
AcT wamehimiza michango
Ccm kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha Sana!
Hapa una feli mkuu,
Kuna vitu ni kama sadaka mkuu huwa watu hawatizami mambo ya uwezo,
Mfano ipo misiba ya watu mashuhuri na matajiri wakubwa ambayo imezungukwa na watu wenye uwezo tu lakini bado watu masikini wakubwa wanatoa rambirambi.
Iko michango hutolewa kuonesha upamoja ama ishara ya upendo na sio kama unavyofikiri wewe mkuu.
CDM haipaswi kutizama uwezo wa mgonjwa kwenye hili bali ilipaswa kufanya jambo kwa J ili tu kuonesha upendo kwake.
Mbowe anachangiwa pia. Mbowe alikua na chansi ya kuimaliza kesi akasema ataendelea kukaa mahabusu. Baadaye kidogo anawavuta wananchi kwenye kesi kwa kupitia michango. A billionaire na mnufaika wa 200M for years
Watu wachache sana wanaweza kuta hoja wakaijibu. Hao watu hawapo ccm wala chadema, kote mwendo ni spinning.
Kilichoandikwa kwenye uzi na majibu yanayotolewa (Plus hili lako) ni mbingu na ardhi.
Acha uchochezi na wivu weye, Tena porojo zako nazifananisha na zile za Mr. KirobotoIkumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi Sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema Kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
:::Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
AcT wamehimiza michango
Ccm kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha Sana!
Jpm na kundi lake la majambazi walichukua pesa zake zote plus kuharibu shamba lake,jpm kafa kwa kumeza ulimi kwa kupigwa na uviko...yule jambazi sugu wa ccm sabaya yuko kisongo anapakwa kilainishi tuMbowe anachangiwa pia. Mbowe alikua na chansi ya kuimaliza kesi akasema ataendelea kukaa mahabusu. Baadaye kidogo anawavuta wananchi kwenye kesi kwa kupitia michango. A billionaire na mnufaika wa 200M for years
Watu wachache sana wanaweza kuta hoja wakaijibu. Hao watu hawapo ccm wala chadema, kote mwendo ni spinning.
Kilichoandikwa kwenye uzi na majibu yanayotolewa (Plus hili lako) ni mbingu na ardhi.
[emoji871]Umeongea vizuri sana!Tuchukulie uko sahihi sana na hii ramli chonganishi, Profesa J ameporwa ubunge wake uchaguzi uliopita na yule kiongozi.