CHADEMA hujafa hujaumbika

CHADEMA hujafa hujaumbika

[emoji871]Umeongea vizuri sana!

[emoji871]Lakini yageuze hayo maswali yawe kwa Mbowe pia.

[emoji871]Mbowe mnayemchangia pesa za kesi iliyoko mahakamani kwa sasa.

[emoji871]Amekuwa mbunge kwa miaka mingapi?

[emoji871]Mbowe Amekuwa mwenyekiti kwa miaka mingapi?

[emoji871]Mbowe yeye amepeleka wapi mafao yake,endapo tunahoji mafao ya Prof J?

[emoji871]Mbowe amepeleka wapi 1b,alizojikusanyia kupitia makato kwenye posho na mishahara ya wabunge na madiwani.

[emoji871]Mbowe mnayemchangia si ndie huyo mwenye ukwasi wa mahoteli ya kitalii ya Protea?

[emoji871]Huyo si ndie mmiliki wa Aishi Machame?

[emoji871]Je yeye kwa nini astahili kuchangiwa,lakini profesa J ambaye sio mmachame mnasema ajihudumie?

[emoji871]Hamna hata haya wala Soni enyi watu wa
[emoji116]
Tindo View attachment 2119000

Sina tatizo na yoyote kuchangiwa, bali ni pale inapoonekana kuwa cdm wanawajibu wa kumtibu profesa J, hadi familia yake kujitokeza kuomba michango. Mbowe hajachangiwa chochote na serikali, wala familia yake haijajotekeza kutaka Mbowe achangiwe, na huo mchango ni wa hiyari.

Halafu huo ukhanithi wa ukabila ulioweka hapo chini, katafute makhanithi wenzio ndio uwaquote. Kisha uwatafute watu wa kabila la profesa J uwaambie wamchangie, maana wamachame wanachangiana wenyewe.
 
Chadema hawana cha kufanya , Hawapo organized, kila mmoja anafight kivyake
Hii ni kweli ukiwa nacho ndio wanakuona ukiwa huna msaada nao wanakutenga hv vyama vya upinzani kila mtu anapambana na hali yake
 
Mimi naweza nikaamini kwa sababu hatukusikia harambee zozote kuhusu kuumwa kwa Joseph H km vile anavyofanyiwa Mbowe na ile harambee ya #MboweSioGaidi mpaka T shirt walichapisha lkn suala la Joseph tumekuja kulisikia too late
 
Hapa una feli mkuu,
Kuna vitu ni kama sadaka mkuu huwa watu hawatizami mambo ya uwezo,

Mfano ipo misiba ya watu mashuhuri na matajiri wakubwa ambayo imezungukwa na watu wenye uwezo tu lakini bado watu masikini wakubwa wanatoa rambirambi.

Iko michango hutolewa kuonesha upamoja ama ishara ya upendo na sio kama unavyofikiri wewe mkuu.

CDM haipaswi kutizama uwezo wa mgonjwa kwenye hili bali ilipaswa kufanya jambo kwa J ili tu kuonesha upendo kwake.
CCM imefanya nini kwa Lowasa?
 
Mimi naweza nikaamini kwa sababu hatukusikia harambee zozote kuhusu kuumwa kwa Joseph H km vile anavyofanyiwa Mbowe na ile harambee ya #MboweSioGaidi mpaka T shirt walichapisha lkn suala la Joseph tumekuja kulisikia too late
Ulitaka wakutangazie kama nani wewe?
 
Jibu hoja kwa ushahidi kwamba hicho kinachodaiwa kutofanyika kwa Profesa J ni kweli au uongo kwa kuweka ushahidi sio kusema tu uongo hausaidii.

Wewe ni mmojawapo wa wazushi wazoefu wa kuleta mada za uzushi hapa JF.

Tuthibitishie it is not your own medicine.
Siasa za kutumia Afya za watu kama mtaji hazitawasaidia CCM kukubalika Kwa watu. Tulio pembeni tunaona jinsi mnavyojikaanga. Hakuna tukio liliwaacha uchi kama tukio la Lissu na Kila mnachofanya Sasa hivi mnaonekana waigizaji. Mlaumuni aliyecheza muvi ya Lisu maana aliwapoteza kwenye ramani ya utu.
Suala la Prof J limetolewa Taarifa rasmi ya Chama kwenye page rasmi kwamba lengo lilikuwa mil.20 Ila wamewashukuru wachangiaji kujitoa Hadi mol.22.
 
Acha kujidanganya ww yule bedui yupo finnar
Ndugu yangu upumbavu huu mlioanzisha kumuhukumu mtu aliyekufa eti yuko motoni ni kinyume na maadili ya dini zote. Mwenye mamlaka hayo ni mungu pekee.
Ndani ya Uislamu kuna funzo, mtu mmoja alifariki na kwa records zake dunian mtume alisita kujishirikisha na mwenendo wa mazishi....lakini Allaah alimuambia mtu yule amashasamehehewa na amepokelewa. Kinyume chake wako wengi waliodhaniwa kuwa wema lakini Allah alionyesha kuwa ni waovu wakubwa. Sasa wewe kwa sababu ya itikadi unamhukumu mtu kwa mamlaka gani??? Kama mamlaka hayo unayo tuambie wewe ni wa wapi ndugzo na marafiki waliotangulia ni wa motoni au wapi..???
 
Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)

Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi sana.

Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni

1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.

2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.

3. Chadema kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.

Gifted heart wamehimiza michango.

Wasanii wamekusanya michango.
ACT wamehimiza michango
CCM kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.

Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.

Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.

Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.

Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha sana!
Chadema ni chama cha ndugu Mtei na wachaga wenzao ni saccos yenye manufaa kwao wengine wote ni wapangaji tu ndani ya chadema. Ukiwa chadema wenye Sauti na mamlaka ni wachaga mahala popote pale
 
Mbowe anachangiwa pia. Mbowe alikua na chansi ya kuimaliza kesi akasema ataendelea kukaa mahabusu. Baadaye kidogo anawavuta wananchi kwenye kesi kwa kupitia michango. A billionaire na mnufaika wa 200M for years

Watu wachache sana wanaweza kuta hoja wakaijibu. Hao watu hawapo ccm wala chadema, kote mwendo ni spinning.

Kilichoandikwa kwenye uzi na majibu yanayotolewa (Plus hili lako) ni mbingu na ardhi.
Kwahiyo gaidi anaimaliza kesi mwenyewe bila ya kuhukumiwa?
 
Mwakibinga ni Loser tokea Udom hata sasa.. Zile harakat zako zimekukost sasa umegeuka kuwa mpiga ramli..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sina tatizo na yoyote kuchangiwa, bali ni pale inapoonekana kuwa cdm wanawajibu wa kumtibu profesa J, hadi familia yake kujitokeza kuomba michango. Mbowe hajachangiwa chochote na serikali, wala familia yake haijajotekeza kutaka Mbowe achangiwe, na huo mchango ni wa hiyari.

Halafu huo ukhanithi wa ukabila ulioweka hapo chini, katafute makhanithi wenzio ndio uwaquote. Kisha uwatafute watu wa kabila la profesa J uwaambie wamchangie, maana wamachame wanachangiana wenyewe.
[emoji871]Uhanithi huo niliouweka hapo imemaanisha mwanzo wa ubinafsi wa chadema na chimbuko lake.

[emoji871]Si ndio maana nyadhifa zote za kiwilaya mpaka taifa zimekaa kiukanda tupu.

[emoji871]Ina maana katika chadema watu wenye busara za uongozi ni wakaskazi pekee?

[emoji871]Usinilazimishe kumchinja kobe!
Mimi sio mfuasi wa matusi.

[emoji871]Mbowe hajaomba kuchangiwa kwa sababu yuko chini ya ulinzi.

[emoji871]Wanaoratibu michango ni wanachama wa chadema walioko huru,wakichangisha ili kumsaidia Mbowe.

[emoji871]Hata Profesa J,hakuomba kuchangiwa.
Bali jamii na serikali inautambua mchango wake katika nafasi yake akiwa msanii na pia mwanasiasa.

[emoji871]Hivyo ameivuta jamii kutaka kumsaidia.
Lakini chadema mnasutwa na nafsi zenu.
 
Chadema imekusanya wapi? Wakati hizo milioni 22 ni michango ya jumla ya wananchi wote ikiwepo elfu kumi yangu,na tulituma moja kwa moja kwenye namba ya simu ya mgonjwa,wewe wa wapi?
Ilikuwa organized na nani?
 
Enzi za JIWE muda huu Katibu Mkuu, Katibu wa Itikadi na uenezi, media zilizoachangisha na any one aliyeshiriki kuhusu uungwana wa kumsaidia Prof. Jay angekuwa kaonja joto la JIWE.

Leo hii CCM mnajifanya mna utu kwa wapinzani! Watu walifutwa walifyata enzi za CCM yenu chini ya JIWE kwenda kumjulia hali mpinzani.

Ya CHADEMA waachiwe CHADEMA.
 
CDM ni wahuni na ni hatari kwa taifa hili, ni wakati muafaka sasa kuwafutilia mbali kwa maslahi mapana ya Taifa! Wamezusha, wametunga, wamefitini, wamechonganisha watu. Kama haitoshi wametupia watu mabomu, wamepanga mbinu ovu juu ya nchi! Wamechafua watu kwa tuhuma za uongo, Mfano Lowassa ambaye baadaye wakamchukua awe mgombea wao wa urais, Msigwa alimchafua Kinana kwa tuhuma za uongo ikampasa amuombe msamaha hadharani! CDM is a disgrace to our beloved TZ
 
Back
Top Bottom