Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,394
- 14,726
Halafu wamo humu wanachojibu hata hakieleweki.Point, wanakusanyika kwenye uchaguzi.

Chadema ni kikundi cha wahuni
Akili ni nywele.Sasa,kipara utakumbukaje?😂😂😂Mimi sijui kuhusu hilo wala sikusikia!
Kwa Lisu wizara ilifanya nini?Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
ACT wamehimiza michango
CCM kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha sana!
Kwa ushauri tu:Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
ACT wamehimiza michango
CCM kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha sana!
Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
ACT wamehimiza michango
CCM kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha sana!
[emoji871]Uhanithi huo niliouweka hapo imemaanisha mwanzo wa ubinafsi wa chadema na chimbuko lake.
[emoji871]Si ndio maana nyadhifa zote za kiwilaya mpaka taifa zimekaa kiukanda tupu.
[emoji871]Ina maana katika chadema watu wenye busara za uongozi ni wakaskazi pekee?
[emoji871]Usinilazimishe kumchinja kobe!
Mimi sio mfuasi wa matusi.
[emoji871]Mbowe hajaomba kuchangiwa kwa sababu yuko chini ya ulinzi.
[emoji871]Wanaoratibu michango ni wanachama wa chadema walioko huru,wakichangisha ili kumsaidia Mbowe.
[emoji871]Hata Profesa J,hakuomba kuchangiwa.
Bali jamii na serikali inautambua mchango wake katika nafasi yake akiwa msanii na pia mwanasiasa.
[emoji871]Hivyo ameivuta jamii kutaka kumsaidia.
Lakini chadema mnasutwa na nafsi zenu.
Wako busy na kudai katiba mpya ndiyo kipaumbele chao. Wanafurahisha kweliIkumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
ACT wamehimiza michango
CCM kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha sana!
Lissu msaliti tu hana ishu.. wewe na majuha wenzako wa Chama lofa ndio unamuona mtu waa maana ilaSiasa za kutumia Afya za watu kama mtaji hazitawasaidia CCM kukubalika Kwa watu. Tulio pembeni tunaona jinsi mnavyojikaanga. Hakuna tukio liliwaacha uchi kama tukio la Lissu na Kila mnachofanya Sasa hivi mnaonekana waigizaji. Mlaumuni aliyecheza muvi ya Lisu maana aliwapoteza kwenye ramani ya utu.
Suala la Prof J limetolewa Taarifa rasmi ya Chama kwenye page rasmi kwamba lengo lilikuwa mil.20 Ila wamewashukuru wachangiaji kujitoa Hadi mol.22.
Maza ako mwenye anatamani kuzaa na Lissu mpate mbengu nzuri kwenye ukoo wenu badala hasara aliyoipata toka kwa dingi akoLissu msaliti tu hana ishu.. wewe na majuha wenzako wa Chama lofa ndio unamuona mtu waa maana ila
Watu makini wa nchi hii tunamwita dalali wa mabeberu kama unampenda kweli umfuate uko mkapakatwe wote na Amsterdam.
Choko la ufipaMaza ako mwenye anatamani kuzaa na Lissu mpate mbengu nzuri kwenye ukoo wenu badala hasara aliyoipata toka kwa dingi ako
TeteteChoko la ufipa