kweli nilishaliwa michango ya tetemeko KAGERA na ile ya AJALI ya WANAFUNZI ARUSHA,sina hamu nao hao watu wa CCM.Heheehehe kama wewe sio mnufaika funguka mwana umeliwa tutusa na kengeza.

We unadhan watanzania wanyonge wamelazimishwa kutoa hizo kwann warudishiwe wakat wanajua wao ni maskini na bado wakatoa, usiwapangie wanyonge au unadhani zile nikama kodi ambazo unapangiwa kiasi chakulipa....shida alieharibu ni mrisho gambo kutaka kula rambirambia na mh zile za tetemeko wanahisi na chadema hela za lissu watapangia matumizi mengine kama waoUnajuwa mm chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha nakunitukana sana. Hawajamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi nibora tujuwe.
Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa zakumuuguza mgonjwa wako?
Huu ni umasikin wakujitakia kwa maskin wachache ndan ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi.
Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu.
Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovukuwatoka nakujifanya wanashawishi akina lisu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia zakula pesa.
Chama chakijan wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa yabunge ikatumwa direct hosp.
Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wakwenye makanisa na misikiti na misibani ila this tm hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.
Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.
Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo.
Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia.
Hali ya Lissu ikiwa siri nzito.. Akili ya CHADEMA changanya na yakwako.
Mungu atusaidie
Wa kupiga Watu risasi utegemee nini?Lazima ipumulie mashine tena kwa mwendo huu wa kata funua
No fair political ground at allWa kupiga Watu risasi utegemee nini?
Hilo swala la 2020 wenyewe wanajua ni jambo ambalo haiwezekani, Chadema zaidi ya hapa jf haipo.
Unajuwa mimi chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha na kunitukana sana. Hawa jamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi ninbora tujuwe.
Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa za kumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikini wakujitakia kwa maskini wachache ndani ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...
Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...
Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovu kuwatoka nakujifanya wanashawishi akina Lissu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia za kula pesa..
Chama cha kijani wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa ya bunge ikatumwa direct hosp.
Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wankwenye makanisa na misikiti na misibani ila this time hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.
Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...
Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
Na Chacha Wangwe mlimlengea mitandaoni?Huku mtandaoni ndia salama maana smg hazifiki.

Na Chacha Wangwe mlimlengea mitandaoni?