CHADEMA huenda ikapumulia mashine 2020

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Unajuwa mimi chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha na kunitukana sana. Hawa jamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi ninbora tujuwe.

Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa za kumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikini wakujitakia kwa maskini wachache ndani ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...

Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...

Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovu kuwatoka nakujifanya wanashawishi akina Lissu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia za kula pesa..

Chama cha kijani wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa ya bunge ikatumwa direct hosp.

Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wankwenye makanisa na misikiti na misibani ila this time hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji

Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.

Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...

Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
 
..kama lengo lenu ni kuwaua viongozi wote wa chadema kabla ya 2020 lazima ipumulie machine hapo 2020....at least mnaanza kufunguka kuonyesha hila mbaya dhidi ya chadema... Tumeshaanza kuyaona kwa Lissu aliyepumulia machine tayari kabla hata ya 2020....
 
Watanzania tumaini lao kwa sasa ni chadema hakuna tena tumaini zaidi ya chadema wewe endelea kujiongopea 2020 ndio mtaona hali halisi ya wananchi kuwa wamewachoka ccm
 
Hiyo ya kupiga pesa inaonyesha kabisa..
Mbona wengine hamjitokezi mkasifiwa kama Wema na Mange ambao lazima watapewa % ya mchango wa mtandao ule.. nyie wa humu vipi..hamjulikani ati!?
 
Unajuwa mm chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha nakunitukana sana. Hawajamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi nibora tujuwe.
Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa zakumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikin wakujitakia kwa maskin wachache ndan ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...
Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...

Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovukuwatoka nakujifanya wanashawishi akina lisu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia zakula pesa..
Chama chakijan wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa yabunge ikatumwa direct hosp.

Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wakwenye makanisa na misikiti na misibani ila this tm hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.
Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...
Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
Mwandiko wako unatanabaisha kiwango chako cha Shule ni kidato cha nne ambaye ulihitimu enzi za division 5 na ulipata hiyo division 5.
 
Eti maCcm kamahaya ndio wanajitapa eti chadema itapumulia mashine!
Maskini hata mwandiko tu wa kibashite chekunde wewe.
 
1 Hauna kazi nyingine

2 Kwanza jitahd kuedit umandazi wako kabla ujapost amma we level yako ya shule ni vidudu

3Acha kuwashwawashwa mzee

4 Pray for Lissu

5 Pambana na hali yako
Mnavyo mchafu Magu hamna kazi nyingine au nimekupa za macho inauma.. Hheehheehe
 
Sikosoi wala kutetea ulichokiandika ila mpangilio wa sentensi zako haueleweki ni kama vile mtu anayeongea aliyetoka kukimbia, hadi nimechukia.
Jitahidi siku zingine uwe smart mana unaweza ukawa na hoja na mada nzuri ila mpangilio ukavuruga kila kitu..!!!
 
Kwa akil hiz hatutaweza fikia hata nusu ya uchumi wa kenya.mpo madarakan badala ya kufanya vitu vya maana mnaitakia chadema kifo.
 
Hivi bado kuna chama kinaitwa chadema nchi hii, me naona wazee wa matukio tuu wee unasubir 2020 mbali iv asa iv enyewe wanapumulia mashine
 
Back
Top Bottom