Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Na Chacha Wangwe mlimlengea mitandaoni?
Kama Chacha Wangwe aliuawa mitandaoni na una ushahidi peleka polisi
Na Chacha Wangwe mlimlengea mitandaoni?
M4 mmetapeliwa wenzenu wanakula nchi.. Nyie mnaweka mia mia kweli wajinga ndio waliwao
Yaani mabaya yote ya JK, mazuri ya Dikteta.Hebu naomba uniambie wapi sukari ilikuwa inauzwa elfu5 kwa kilo kabla ya mwaka 2015?
nimemsikia mwenyekiti wako Jana anajigamba mchana kweupe!!
Jamaa anapenda sifa kinoma
Unajuwa mimi chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha na kunitukana sana. Hawa jamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi ninbora tujuwe.
Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa za kumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikini wakujitakia kwa maskini wachache ndani ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...
Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...
Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovu kuwatoka nakujifanya wanashawishi akina Lissu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia za kula pesa..
Chama cha kijani wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa ya bunge ikatumwa direct hosp.
Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wankwenye makanisa na misikiti na misibani ila this time hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.
Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...
Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
Uenyekiti unataka kumtoa Lissu roho hivi hivi, amuulize Zitto alivyokoswakoswa.Huyo mnayemtumuhumu mpaka leo yupo, chukueni hatua. Mmebaki mnapiga propaganda za kizee wakati vyombo vyote vya uchunguzi mnavyo. Tena hapo ndio ilikuwa mahali pa kuonyesha cdm kilivyo cha kihalifu.
Uenyekiti unataka kumtoa Lissu roho hivi hivi, amuulize Zitto alivyokoswakoswa.
Kwa staili hii ya kuwapiga risasi CDM itafutika,ongezeni bidii.Unajuwa mimi chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha na kunitukana sana. Hawa jamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi ninbora tujuwe.
Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa za kumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikini wakujitakia kwa maskini wachache ndani ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...
Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...
Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovu kuwatoka nakujifanya wanashawishi akina Lissu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia za kula pesa..
Chama cha kijani wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa ya bunge ikatumwa direct hosp.
Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wankwenye makanisa na misikiti na misibani ila this time hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.
Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...
Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
Akili zako kama mwenyekiti wako? Muulize alpoingia madarakani sukar iliuzwa sh ngapi? Na ni nchi gani duniani walishawahi jenga uzio kuzunguka migodi wakafnikiwa na zile ml 50 za kila kijiji vipi? Makonda analeta lini vyeti vyake?Hiyo ya kupiga pesa inaonyesha kabisa..
Mbona wengine hamjitokezi mkasifiwa kama Wema na Mange ambao lazima watapewa % ya mchango wa mtandao ule.. nyie wa humu vipi..hamjulikani ati!?
Eti kuna watu wamekupa likes! Sijui wamekuelewa au wameona herufi herufi kwenye page wakadhani umeandika waka like?!Unajuwa mimi chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha na kunitukana sana. Hawa jamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi ninbora tujuwe.
Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa za kumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikini wakujitakia kwa maskini wachache ndani ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...
Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...
Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovu kuwatoka nakujifanya wanashawishi akina Lissu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia za kula pesa..
Chama cha kijani wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa ya bunge ikatumwa direct hosp.
Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wankwenye makanisa na misikiti na misibani ila this time hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.
Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...
Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
Hivi ninyi watu wa propaganda wa chama cha kijani huwa mnalipwaje? na vigezo vya kuchaguliwa huwa hadi mfyatuliwe uwezo binafsi wa kufikiri?Ni ukweli ulio wazi kwamba chadema inajiishia na 2020 watapoteza zaidi ya nusu ya viti walivyonavyo sasa hivi kama siyo zaidi, lkn jambo moja nawasifu ingawaje wanajua wanaangamia lkn wanaangamia kiume, kwa hilo hongera Mbowe, ...
kuhusu kulipwa usijali tunalipwa vizuri kwa kweli si haba watoto wanaenda chooni, ila juwa 2020 kifo cha mende kinawahusu.Hivi ninyi watu wa propaganda wa chama cha kijani huwa mnalipwaje? na vigezo vya kuchaguliwa huwa hadi mfyatuliwe uwezo binafsi wa kufikiri?