CHADEMA huenda ikapumulia mashine 2020

Unajuwa mm chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha nakunitukana sana. Hawajamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi nibora tujuwe.

Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa zakumuuguza mgonjwa wako?

Huu ni umasikin wakujitakia kwa maskin wachache ndan ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi.

Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu.

Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovukuwatoka nakujifanya wanashawishi akina lisu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia zakula pesa.

Chama chakijan wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa yabunge ikatumwa direct hosp.

Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wakwenye makanisa na misikiti na misibani ila this tm hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.

Elewa msomaji
Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.

Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.

Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo.

Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia.

Hali ya Lissu ikiwa siri nzito.. Akili ya CHADEMA changanya na yakwako.

Mungu atusaidie
We unadhan watanzania wanyonge wamelazimishwa kutoa hizo kwann warudishiwe wakat wanajua wao ni maskini na bado wakatoa, usiwapangie wanyonge au unadhani zile nikama kodi ambazo unapangiwa kiasi chakulipa....shida alieharibu ni mrisho gambo kutaka kula rambirambia na mh zile za tetemeko wanahisi na chadema hela za lissu watapangia matumizi mengine kama wao
 
Kitakacho waua CHADEMA ni kuwatete mafisadi. Nashauri kuanza kuwaacha solemba wakina wale waliotoka CCM. Wale ndio mafisadi wakuu. Kuacha kuwatetea wawekezaji wa migodi.
 
Ukozoea kupumuliwa lazima uwaze Chadema kupumulia mashine maajabu ya matako kugeuka miguu.
 
Mkitumia Watoto Wetu kuwatisha na kuiba Kura ni sawa kwa kula za haki ccm kwa sasa bila Polisi ni dhaifu kabisa
 
Na respond kwa title yako tu.

Ni kweli kuwa by twenty twenty CHADEMA watafanya vibaya kwasababu za hujuma za CCM.

Ndiyo cdm ni wabovu kama walivyo CCM, uwepo wa CCM madarakani unatokana na nguvu za dola tu na si kupendwa au uwezo wa kushawishi, tena kwenye kushawishi hapo wenzenu wamewazidi, wanakosa tu nguvu za dola. Amini nakwambieni yakiwekwa mazingira sawia ya kufanya siasa ccm mtatupwa nje!!!!. Watanzania ni wale wale yeyote aweza kuwalaghai/kushawishi ilimradi kawekewa mazingira ya kufanya hivyo..........

Off topic kidogo, 2010 kati kati ya uchaguzi tume ilibadili kanuni na taratibu za kutangaza matokeo

2015 tume ilichelewesha matokeo ya kura kule Mbagala/ kinondoni kwa siku tatu na zaidi, na sababu ikiwa "miundo mbinu ya bara bara ni mibovu"

Viashiria vipo kwamba katika hali na mazingira sawia kwa washiriki wa wote wa siasa, wananchi wanaweza kuondoa chama cha hovyo madarakani na kukiingiza madarakani kingine cha hovyo!.... Kitu hicho kwangu naona ni tija!!!.....niulize kwanini??....
 
Wananchi ndio watapumulia mashine na kujuta. Ikifa Chadema anayeumia ninani?
 
kwa risasi hizi inawezekana kabisa CDM kikapumulia mashine,lakini kwa kuwa Mungu sio "watu wasiojulikana" CDM kitapona kama ilivyo kwa mh Lissu.
 
Watu mnacoment kwa povu wakati yeye mwenyewe anapiga ramli kaandika HUENDA hana uhakika kageuka mtabir
 
Wewe unapumulia njia ya haja kubwa
Unajuwa mimi chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha na kunitukana sana. Hawa jamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi ninbora tujuwe.

Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa za kumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikini wakujitakia kwa maskini wachache ndani ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...

Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...

Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovu kuwatoka nakujifanya wanashawishi akina Lissu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia za kula pesa..

Chama cha kijani wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa ya bunge ikatumwa direct hosp.

Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wankwenye makanisa na misikiti na misibani ila this time hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji

Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.

Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...

Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...

Kwa kawaida binadamu miaka yake ya kuishi imehesabiwa kama pishi za Michele,ukizidi sana Mungu anakuja miaka 75,katika miaka hiyo unayokazi ya kuaccount for matendo yako.

Maana yake ni kwamba maisha na afya ya Lissu haiko chini ya binadamu,Watanzania wasipochanga hata mawe yatachanga.Poleni sana.

Kama kwa kuwaua,kuwanunua au kuwakamata wapinzani nadhani mtaua upinzani mnapoteza muda.

Mngekuwa na akili hata ndogo kama ya NZI Upumbavu mnaoufanya msingeufanya.Tanzania si ya Magufuli wala ya CCM. Poleni sana,siku mmoja kushtuka mmelitumbukiza Taifa kwenye shimo lenye Maji ya moto.

Endeleeni kuua maana nyie mtaishia milele.Tena endeleeni kujisifu maana ndicho mkijuacho
 
Na Chacha Wangwe mlimlengea mitandaoni?

Huyo mnayemtumuhumu mpaka leo yupo, chukueni hatua. Mmebaki mnapiga propaganda za kizee wakati vyombo vyote vya uchunguzi mnavyo. Tena hapo ndio ilikuwa mahali pa kuonyesha cdm kilivyo cha kihalifu.
 
Back
Top Bottom