Ulikuwa hujui kuwa hata vyama vya Upinzani ni matatizo kwenye nchi hii kwa ufisadi ? Rais Magufuli ni jembe na mkombozi wa taifa letuKwa bahati mbaya hujui kwamba tuna akili ya kuweza kufahamu ubora na udhaifu wa Magufuli. Watu tunapinga na kukosoa udhaifu wake, kumsifia tumewaachia nyie. Isitoshe hata kama rais anatekeleza majukumu yake baadhi, haitoi uhalali wa kuzuia siasa za ushindani. Umejikita kwenye propaganda kisa habari zinazosikika ni za kusifia tu, na zile za kukosoa zimegeuzwa uhaini.
thubutuuuuuuu! Membe hafai kuwa presida
Awamu hii ni ya Kikonk wataandika sana barua nje ya nchi ...Nakumbuka enzi za JK walitishia sana Mahakama ya ICC.[/QUOTE
Waafrika raha yetu majina yetu yanasadifu tulivyo. Asante
Wewe ni mtanzania au mrundi au mkenya? Ni suali tu maana sijaelewa umeorodhesha mambo mengi bila kuweka uchambuziSiasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).
Mfano halisi;
Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.
*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.
Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.
Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.
Kabla na baada ya uchaguzi.
Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.
Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....
Mshangao na ajabu kwa watanzania.
Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)
Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.
*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .
*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.
*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.
*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.
*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.
Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.
Provocative politics.
Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .
wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.
Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Naomba kuwakilsha.
Lazima wanyookeAwamu hii ni ya Kikonk wataandika sana barua nje ya nchi ...Nakumbuka enzi za JK walitishia sana Mahakama ya ICC.
Hawa hawawazi hayo wao wanatamani Rais ashindwe ndio furaha yaoWanachojisahaulisha ni kwamba hao mabeberu wanaowatumikia wakipata nafasi na kuvuruga amani yetu, na kujipenyeza katika nchi yetu hawatawakumbuka tena. Tujikumbushe LIBYA, MISRI na nchi nyinhene zinavyopata shida hivi sasa.
Hongera kwa kuatamia ujinga. Endelea uukwae uteuzi kwa maana serikali hii haijiamini inateua kutuaminisha kunaleta tija. Utakapoteuliwa endeleza kuunga mkono juhudi za kijingaSiasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).
Mfano halisi;
Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.
*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.
Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.
Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.
Kabla na baada ya uchaguzi.
Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.
Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....
Mshangao na ajabu kwa watanzania.
Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)
Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.
*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .
*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.
*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.
*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.
*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.
Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.
Provocative politics.
Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .
wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.
Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Naomba kuwakilsha.
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishiaHongera kwa kuatamia ujinga. Endelea uukwae uteuzi kwa maana serikali hii haijiamini inateua kutuaminisha kunaleta tija. Utakapoteuliwa endeleza kuunga mkono juhudi za kijinga
Kwenu nyinyi kila asiyekubaliana na mfumo wenu wa uendeshaji wa siasa basi anatafuta uteuzi.Hongera kwa kuatamia ujinga. Endelea uukwae uteuzi kwa maana serikali hii haijiamini inateua kutuaminisha kunaleta tija. Utakapoteuliwa endeleza kuunga mkono juhudi za kijinga
Jibu au hoja yako ni hoja za kichadema zaidi yaani chonganishi na wewe ni mmoja wa niliowataja kwenye topic yangu.
Nyinyi ndio aina ya wapiga deal makazini niliowataja pia.
Nakupongeza kwa kuunga mkono juhudi za kijinga za kuangamiza taifaKwenu nyinyi kila asiyekubaliana na mfumo wenu wa uendeshaji wa siasa basi anatafuta uteuzi.
Mbona na nyinyi mmewakubatia walionyimwa uteuzi huku CCM?[emoji16]
Akiwa ccm fisadi, akija kwenu shujaa tena kamanda!
Hivi huu ukamanda wa chadema mnachukulia wapi mafunzo?
Bila sio monduli! Au mererani?
Unajua hawa jamaa wanatuona watanzania wote kama hatuwaoni na siasa zao chafu zilizojaa ghilba na hila.Umenena vyema kabisa achana na hawa nyumbu wanao jiona kila kitu wanafahamu hao,
Wajinga wajinga kama nyie ndo huitwa "SYCOPHANT ACADEMICS"Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).
Mfano halisi;
Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.
*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.
Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.
Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.
Kabla na baada ya uchaguzi.
Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.
Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....
Mshangao na ajabu kwa watanzania.
Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)
Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.
*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .
*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.
*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.
*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.
*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.
Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.
Provocative politics.
Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .
wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.
Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Naomba kuwakilsha.
Kwenu nyinyi kila asiyekubaliana na mfumo wenu wa uendeshaji wa siasa basi anatafuta uteuzi.