Chadema!,hii ni provocative politics ,tunawaona!

Sera mpya ya Chadema na makamanda ni kuunga mkono USHOGA.
Tena wanautetea kwa nguvu zote.hadi wachungaji kina msigwa wanautetea, wamejisahau nafasi zao za kidini hapo awali.
Fatma karume naye ameusahau uislam wake. Sasa yuko kifua mbele kuutetea ushoga.
 
Hiii ndio inaongoza kwa wizi budget ya kwanza tu kala Trillion 1.5 ,hiiiii ufisadi wake sio wa kitoto.
 
Tatizo unaishi kwenye historia...kuongoza nchi inahitaji kila kitu kiwe kwenye balance..... Ukiulizwa haya utajibu nini?
1.ustawi wa demokrasia
2. Haki na maslahi Kwa wafanyakaz
3.Mazingira Bora ya biashara na kukuza uchumi
4.Uhuru na haki(wa kujieleza)
5.Elimu na afya bora(usilete hadithi za esopo)
6.Mahusiano yetu na nchi nyingine (wahisani na majirani)
7.Katiba mpya na tume ya uchaguzi
8.uwazi na uwajibikaji...kwa wanasiasa na watumish wa umma
9.Ajira Kwa vijana
10.Philosophy za huyo unaemuita mfanikiwa wako ni zipi
11. Fao la kujitoa kwa wachangiaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii..... (Workers can't just afford cheap popularity at their own exp)
Huu hata ukimuandikia hawezi kukuelewa
 
Baada ya koro show tunataka katiba mpya maana tayari tunaelekea kuwa Zimbabwe
Huwezi kuwa wewe ndye unachagua tume ya uchaguzi na wakati huohuo na wewe unagombea Hilo haliwezekani hata siku moja

Bila tume huru ya uchaguzi hamana uchaguzi 2020 na akilazimisha ajua ICC inamsubiri kwa kasi ya mwanga
 
Hiii ndio inaongoza kwa wizi budget ya kwanza tu kala Trillion 1.5 ,hiiiii ufisadi wake sio wa kitoto.
Mbowe akiulizwa maelezo ya mil 360 za ruzuku kila mwezi anakuwa mbogo.

Nyinyi mnang'ang'ania trilion 1.5 bila hata chembe ya uhalisia.
CAG alikwisha kataa hili lakini mkishakosa hoja basi kazi inabaki upotoshaji tu.
 
Baada ya koro show tunataka katiba mpya maana tayari tunaelekea kuwa Zimbabwe
Huwezi kuwa wewe ndye unachagua tume ya uchaguzi na wakati huohuo na wewe unagombea Hilo haliwezekani hata siku moja

Bila tume huru ya uchaguzi hamana uchaguzi 2020 na akilazimisha ajua ICC inamsubiri kwa kasi ya mwanga
Untangulize baba na familia yako.
Sio kujaza watu ujinga, wewe ni mtanzania na kama hutaki uchaguzi kaa home sisi pia ni watanzania na tutapiga kura kumchagua kipenzi chetu JPM.
 
.[/QUOTE]
hapa si.mahali pake aende tbc akaungane na shaban kisu[/QUOTE]
Kisu kawa mganga njaa siku hizi? Maskini!!!
 
Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
Hakika nakwambia huu uzi ni mwiba saaana kwa upande uleee...povu litawatoka la mwaka..Umefafanua vizur hoja zako tatizo ni upande ule wataweza kumeza hahaha
 
Si unajua wenzetu wanapenda short clips za matusi tu.
Inapotakiwa hoja kwa hoja ni wepesi mno!
 
Shame on you!

Hivi unazijua nchi maskini kupindukia wewe?

Hivi katika maisha yako umewahi kutoka nje ya Tanzania?

Eti maskini wa kupindukia!

Mbona mnampinga huyu anaepambana na visababishi vya umaskini?
Mbona mnawatetea wanaotuletea huo umaskini?
Tatizo la wengi humu mnaongelea nadharia bila ufahamu wa uhalisia.
Ndio maana wewe unaamini nchi hii ni maskini wa kupindukia.
Ebu google tafuta nchi ambazo raia wanaishi below the poverty line halafu urudi na jibu humu.

UTAKUWA WEW NI PUNGUANI,ACHA UJINGA.TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI MASIKINI SANA,KUPINDUKIA.KAMA UNASIKILIZA DATA ZA AKINA POLEPOLE NI SAWA UPINGE.ANAPAMBANAJE NA VISABABISHI VYA UMASIKINI?KWA KUNUNUA WABUNGE NA KURUDIA CHAGUZI KILA SIKU?AU HEBU TUELEZE MKUU
 
Kwa bahati mbaya hujui kwamba tuna akili ya kuweza kufahamu ubora na udhaifu wa Magufuli. Watu tunapinga na kukosoa udhaifu wake, kumsifia tumewaachia nyie. Isitoshe hata kama rais anatekeleza majukumu yake baadhi, haitoi uhalali wa kuzuia siasa za ushindani. Umejikita kwenye propaganda kisa habari zinazosikika ni za kusifia tu, na zile za kukosoa zimegeuzwa uhaini.
Upinzani Wa kishetani hatuutaki.
 
Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
Ni mtu mwenye akili ndogo sana anayeweza kuamini kuwa awamu hii inapiga vita rushwa!
 
Back
Top Bottom