Chadema!,hii ni provocative politics ,tunawaona!

[QUOT4E="tindo, post: 29355415, member: 55693"]Kwa bahati mbaya hujui kwamba tuna akili ya kuweza kufahamu ubora na udhaifu wa Magufuli. Watu tunapinga na kukosoa udhaifu wake, kumsifia tumewaachia nyie. Isitoshe haya kama rais anatekeleza majukumu yake haitoi uhalali wa kuzuia siasa za ushindani. Umejikita kwenye propaganda kisa habari zinazosikika ni za kusifia tu, na zile za kukosoa zimegeuzwa uhaini.
hapa si.mahali pake aende tbc akaungane na shaban kisu[/QUOTE]Bahati mbaya aina ya ukosoaji wenu umekuwa wa kutaka kumkomoa mtanzania yeyote asiyekuwa sehemu ya harakati zenu ovu.
Je kuombea tanzania ikose au iwekewe vikwazo ndio ukosoaji huo.

Kubeza lolote zuri lenye manufaa kwa nchi hii kisa hamkuingia ikulu ndio ukosoaji huo.?
Fikiri nje ya box!
 
Mods JF,
Nawaomba mnitendee demokrasia kwa kuiacha mada na thread yangu bila kuipandisha wala kuichaanganya kusiko hata kama haitawapendeza.

Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
Your zeroed brain
 
kwa hyo mnataka tuunge mkono juhudi hata za kuwaangamiza wananchi?
kwanini mnapenda msemwe kwa mazuri tu mabaya hamyataki?
awamu hii watu wametekwa,wameuawa,wamepelekwa jela,wamepigwa risasi,ubabe,ujuaji,uonevu,kutosikia ushauri na mengi mabaya
Ila kuambiwa ukweli hamtaki.
Mbona sikuwahi kusikia chadema mkilaani mauwaji ya askari,raia na viongozi mbalimbali waliokuwa wakiuwawa kwa risasi hapo dsm na kibiti.
Na hata katika hoja zenu bungeni huwa mnaishia ben saa nane, azori, mawazo na mwangosi tu?
Au kwenu nyinyi yoyote anayeuawa asiyekuwa mwanachadema huyo haki za binadamu hazimhusu!
 
Hahaha! Hii Nchi Ina Vituko Sana. Yaani Ni Usanii Usanii Tu!

Mtu Anakwambia Anapambana Na Ufisadi Wakati Kuna Mafisadi Yanadunda Tu Mpaka Leo Tena Mengine Yapo Ndani Ya Chama Chake. Kwenye Masakata Mbalimbali Ya Ufisadi Wapo Waliopiga Hela Na Bado Wapo Uraiani. Vipi Kuhusu Zile Tuhuma Za Nyumba Za Serikali?

Swala La Vyeti Feki Ni Double Standard. Mfano Tu, Kuna Mmoja Wao Alikingiwa Kifua Akaambiwa 'Chapa Kazi' Pamoja Na Kuwa Alikuwa Na Tuhuma Za Vyeti Feki.

Tukija Swala La Rushwa Ni Kiini Macho. Mfano, Kuna Mmoja Alinaswa Hadi Na Kamera Akishawishi Mtu Kupokea Rushwa, Watu Wakategemea Atachukuliwa Hatua Za Kisheria Au Kuchunguzwa Lakini Kilichotokea Alipandishwa Na Cheo.

Na Mengine Mengi Ni Kizungumkuti Mfano Hilo La Makinikia Pia Shirika La ATCL Bado Halijaweza Kujiendesha Kwa Faida Bali Kilichofanyika Ni Manunuzi Ya Ndege.

Siku Hizi Hata Mafisadi Nao Wamekuja Na Gia Ya Kujifanya Kupambana Na Ufisadi Kumbe Wao Nao Wamo Humo.

Watanzania Kitakacholiponya Taifa Ni Elimu. Elimu Ndio Msingi Katika Kila Jambo, Ujinga Hautalisaidia Taifa Bali Utaliangamiza.

ELIMU!!!
Kwa chadema, kwa waliotumbuliwa,kwa mliozowea kutokwenda majimboni mktegemea kupiga kelele live bungeni,mtabaki kelele hizi ,
Lakini ukweli ni kwamba kadri mnavyomsakama JPM ndio mnazidi kumpaisha. Sisi tunawasubiri kwenye debe!
 
Kwa kweli jamaa anapambana sana, WASTAAFU kutoka kulipwa 100% hadi 25% kwa kweli hapo amesaidia saaana kwa sababu hawa jamaa walikuwa wanasumbua saaana huku mitaaani.Angalau sasa tunaongea nao LUGHA moja.
Hizi ni aina ya lugha ninazozisema kila siku humu!
Chama cha matukio na mikakati, hili la mafao wabunge kama huyo mliyemkabidhi mikoba ya kulisema mbona hakuja na hoja binafsi kulipinga bungeni?
Badala yake mmelitumia kwenye hizo press release zenu ambazo sasa hivi zinazidi kuingia mpaka majina yameisha!
 
Kwa hili la 25% ya mafao, kunyimwa fao la kujitoa na heri niwe upande wa mabeberu.
 
Kabla ya krismasi ndege nyingine mbili zinatua pale kipawa. Nayasubiri maandiko ya Malisa GJ, ZZK na TL, wakisema ni ndege mitumba.

Nawasubiri wale masikini wa mawazo wanaosema tunanunua ndege wakati maji vijijini hakuna, wanasahau kuwa hao watakaoletwa na hizo ndege pengine watakuja na utaalam wa kisasa wa upatikanaji wa maji.
 
Endeleeni kusifia upumbavu tu.. Wengine tumegoma kua mazwazwa
 
Mods JF,
Nawaomba mnitendee demokrasia kwa kuiacha mada na thread yangu bila kuipandisha wala kuichaanganya kusiko hata kama haitawapendeza.

Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
Mkuu usiwe na wasiwasi wowote tumeshawathibiti kila angle wakiwemo hao mabeberu na nzuri zaidi wananchi wa kawaida wanaikubali sana serikali ya awamu ya 5. Mkuu wewe piga kazi tu ujiletee maendeleo hao mavuvuzera waache waendelee lakini hawatashinda kwa awamu hii
 
Tatizo unaishi kwenye historia...kuongoza nchi inahitaji kila kitu kiwe kwenye balance..... Ukiulizwa haya utajibu nini?
1.ustawi wa demokrasia
2. Haki na maslahi Kwa wafanyakaz
3.Mazingira Bora ya biashara na kukuza uchumi
4.Uhuru na haki(wa kujieleza)
5.Elimu na afya bora(usilete hadithi za esopo)
6.Mahusiano yetu na nchi nyingine (wahisani na majirani)
7.Katiba mpya na tume ya uchaguzi
8.uwazi na uwajibikaji...kwa wanasiasa na watumish wa umma
9.Ajira Kwa vijana
10.Philosophy za huyo unaemuita mfanikiwa wako ni zipi
11. Fao la kujitoa kwa wachangiaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii..... (Workers can't just afford cheap popularity at their own exp)
Hakuna hata moja hapo ambalo lilikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2015 ya chadema.
Na katika yote hayo kwa ujumla ni mahitaji ya wanasiasa zaidi ili kujipatia nafasi za kufanya siasa katika wigo mpana na mazingira mnayoyapenda. Lakini si kero au matatizo kwa mkulima na common mwananchi kwa ujumla.

Kero za common mwananchi ni hizi.

1-Hudumabora za elimu kote nchini.

2-Huduma bora za afya kote nchini.

3-Huduma bora za maji mijini na vijijini, kote nchini.

4-Huduma bora za miundombinu ya barabara nchini kote.

5-Bei nzuri za pembejeo za kilimo kwa wakulima kote nchini ikiwa pamoja na kuwapatia elimu na huduma za ughani.
Na mwisho serikali kuhakikisha inawatafutia soko la mazao wakulima wa mazao yote nchini.

Na hii ndio kazi JPM anafanya, wakati nyinyi mmekomaa kutujaza sumu, tusijione itawadhuru wenyewe!

Haya mengine ni mambo yenu ya uchungu wa kuikosa ikulu hata baada ya kutumia mpaka senti karibu na ya mwisho!
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kwani vyama vya upinzani vimekosa waungwaji mkono Au ndio wameongezeka ufisadi umeisha? Nunua nunua ya wapinzani si rushwa Fikirí Kabla ya kupost
Kuna upinzani wa maana tena hapa TZ kweli?? Wamebaki watetea mafisadi
 
Kwa chadema, kwa waliotumbuliwa,kwa mliozowea kutokwenda majimboni mktegemea kupiga kelele live bungeni,mtabaki kelele hizi ,
Lakini ukweli ni kwamba kadri mnavyomsakama JPM ndio mnazidi kumpaisha. Sisi tunawasubiri kwenye debe!
Kilichojaza Fikra Za WanaCCM Wa Hii CCM Mpya Ni Kwamba Wao Kwao Anayeukosoa Utawala Huu Ni CHADEMA, Kama Si CHADEMA Basi Ni Mpiga Dili, Uliyetumbuliwa, Msaliti n.k. Hayo Yote Ni Matokeo Ya Kuwekeza UJINGA!

Mwl. Nyerere Aliacha Maadui Watatu; Umasikini, Ujinga Na Maradhi. Katika Hao Maadui Watatu, Silaha Moja Yenye Nguvu Ya Kupambana Navyo Kwa Ufanisi Mkubwa Ni ELIMU Pekee! Ndio Maana Nasema Tena ELIMU Ndio Kitu Pekee Kitakacholikomboa Hili Taifa.
 
Wewe ni zaidi ya zwazwa!! Utanyooka tu by the way utamsifiaje anayekunyoosha baada ya kuzuia madili yako?
Madili yapi? Mnafikiri kila mtu anaishi kwa buku saba kama nyie misukule ya chato? Na mtakufa masikini kutokana na uzwazwa, sheenzy
 
Wazee Wa Kusifia Sifia Wanapojiona Wao Ndio Wazalendo Kuliko Wengine.

Ngoja Niwaambie Kitu;
Uzalendo Wa Kweli Ni Pamoja Na Kuikosoa Serikali Inapofanya Makosa. Ni Kusimama Na Nchi Na Sio Serikali Au Rais Na Chama Chake!

"Loyalty To The Country ALWAYS, Loyalty To The Government When It Deserves It" - Mark Twain
Kiongozi kudanganya anaumwa anapelekwa south afrika matibabu, kisha anapanda ndege na kuibukia belgium kupeleka uongo ili tunyimwe misaada ndio uzalendo?
Akili za chadema mnazijua wenyewe hakika kiti moto ni tatizo saa ingine
 
Madili yapi? Mnafikiri kila mtu anaishi kwa buku saba kama nyie misukule ya chato? Na mtakufa masikini kutokana na uzwazwa, sheenzy
Mkuu kwa sasa mazingira ni mazuri mno tunapata pesa kihalali mafisadi walikuwa wanatudhurumu sana sasa kwisha habari yao mpaka wanatunyenyekea kwenye biashara. Mh. Magufuli adumu milele yote!!
 
Kwani vyama vya upinzani vimekosa waungwaji mkono Au ndio wameongezeka ufisadi umeisha? Nunua nunua ya wapinzani si rushwa Fikirí Kabla ya kupost
Wewe ndio usome na kuielewa hoja yangu, suala hapa sio uungwaji mkono la hasha, issue ni aina ya siasa mnazozifanya!
Kukosa uzalendo, uhuni, unafiki, matusi nk!

Mfano lema anapiga kelele saana kisa elerai construction, yule mjomba wake wa hela chafu akiyeonja joto ya jiwe arusha.
 
Mods JF,
Nawaomba mnitendee demokrasia kwa kuiacha mada na thread yangu bila kuipandisha wala kuichaanganya kusiko hata kama haitawapendeza.

Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
Nimesoma mwanzo, mwisho... you've made my night good! Well said!
 
Back
Top Bottom