Chadema!,hii ni provocative politics ,tunawaona!

Mkuu kwa sasa mazingira ni mazuri mno tunapata pesa kihalali mafisadi walikuwa wanatudhurumu sana sasa kwisha habari yao mpaka wanatunyenyekea kwenye biashara. Mh. Magufuli adumu milele yote!!
Sawa
 
hapa si.mahali pake aende tbc akaungane na shaban kisu
Bahati mbaya aina ya ukosoaji wenu umekuwa wa kutaka kumkomoa mtanzania yeyote asiyekuwa sehemu ya harakati zenu ovu.
Je kuombea tanzania ikose au iwekewe vikwazo ndio ukosoaji huo.

Kubeza lolote zuri lenye manufaa kwa nchi hii kisa hamkuingia ikulu ndio ukosoaji huo.?
Fikiri nje ya box![/QUOTE]Zuri la kusifia ni pamoja na 25% ya mafao ya mstaafu.
 
Mbona sikuwahi kusikia chadema mkilaani mauwaji ya askari,raia na viongozi mbalimbali waliokuwa wakiuwawa kwa risasi hapo dsm na kibiti.
Na hata katika hoja zenu bungeni huwa mnaishia ben saa nane, azori, mawazo na mwangosi tu?
Au kwenu nyinyi yoyote anayeuawa asiyekuwa mwanachadema huyo haki za binadamu hazimhusu!
Wewe hao uliowataja umewahi kuwasemea, wewe ni bonge la. Mzalendo vipi kuhusu hao au hawakuhisu Mzalendo wewe?
 
Wewe ni zaidi ya zwazwa!! Utanyooka tu by the way utamsifiaje anayekunyoosha baada ya kuzuia madili yako?
Juzi lema kapiga kelele kuhusu bureau de changes, kuumbe bwana jiwe limerushwa gizani likampata mjomba [emoji1787]
 
Hizi ni aina ya lugha ninazozisema kila siku humu!
Chama cha matukio na mikakati, hili la mafao wabunge kama huyo mliyemkabidhi mikoba ya kulisema mbona hakuja na hoja binafsi kulipinga bungeni?
Badala yake mmelitumia kwenye hizo press release zenu ambazo sasa hivi zinazidi kuingia mpaka majina yameisha!
Nilikuwa sijasoma post hii, kumbe una kiwango kidooogo cha uelewa?
 
Kabla ya krismasi ndege nyingine mbili zinatua pale kipawa. Nayasubiri maandiko ya Malisa GJ, ZZK na TL, wakisema ni ndege mitumba.

Nawasubiri wale masikini wa mawazo wanaosema tunanunua ndege wakati maji vijijini hakuna, wanasahau kuwa hao watakaoletwa na hizo ndege pengine watakuja na utaalam wa kisasa wa upatikanaji wa maji.
Akili za bafuni!
 
Kilichojaza Fikra Za WanaCCM Wa Hii CCM Mpya Ni Kwamba Wao Kwao Anayeukosoa Utawala Huu Ni CHADEMA, Kama Si CHADEMA Basi Ni Mpiga Dili, Uliyetumbuliwa, Msaliti n.k. Hayo Yote Ni Matokeo Ya Kuwekeza UJINGA!

Mwl. Nyerere Aliacha Maadui Watatu; Umasikini, Ujinga Na Maradhi. Katika Hao Maadui Watatu, Silaha Moja Yenye Nguvu Ya Kupambana Navyo Kwa Ufanisi Mkubwa Ni ELIMU Pekee! Ndio Maana Nasema Tena ELIMU Ndio Kitu Pekee Kitakacholikomboa Hili Taifa.
Kwa aina ya wasomi waliojaa chadema, siuoni mchango wa elimu katika siasa za upinzani nchini.
Elimu mnayo lakini tamaa zinawashinda, wote mnayaka fedha na madaraka tu, no matter mnamuumiza au mnaangamiza nini, halafu wa kwanza kumtaja mwalimu ebu mumuache JK apate amani ya milele.
Shame on you all.
 
Mods JF,
Nawaomba mnitendee demokrasia kwa kuiacha mada na thread yangu bila kuipandisha wala kuichaanganya kusiko hata kama haitawapendeza.

Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.

USITUAMINISHE UJINGA.SISI SIO WAJINGA KAMA ULICHOKIANDIKA.THE FACT NI KWAMBA JIWE HAKUSHINDA.NA KINGINE HUWEZI KUFICHA UKWELI KWAMBA CCM WAMECHOKA HAWANA JIPYA LOLOTE KWA TAIFA HILI.SO TUNAKUONA WEW NA CCM YAKO NA JIWE LAKO KAMA KITUKO.MNATUMIA FEDHA KWA MAMBO YA KIPUMBAVU WAKATI TAIFA LINAMATATIZO LUKUKI.UNANUNUAJE WABUNGE NA KURUDIA UCHAGUZI KILA SIKU WAKATI SHULE ZENU ZA KATA HAZINA VITABU?
 
Jambo la Msingi tunalopaswa kujiuliza Watanzania ni kwamba, baada ya mazuri hayo yote kufanyika,, je hali za maisha ya Watanzania zimekuwa bora zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali? Kama jibu ni ndiyo basi kwa kauli moja tuunge mkono hatua anazozichukua Mh. JPM kuinyoosha nchi yetu. Kama jibu ni la! Basi tuwaunge mkono wakosoaji na pia viongozi wapokee ushauri juu ya njia mbadala zinazoshauriwa na wakosoaji!
 
Kiongozi kudanganya anaumwa anapelekwa south afrika matibabu, kisha anapanda ndege na kuibukia belgium kupeleka uongo ili tunyimwe misaada ndio uzalendo?
Akili za chadema mnazijua wenyewe hakika kiti moto ni tatizo saa ingine
Acha Kutafuta Visingizio! Misaada Imeanza Kuzuiliwa Kwa Sababu Nyingi Tu Ikiwemo Matamko Ya Viongozi Likiwemo Lile La Wanafunzi Waliopata Ujauzito Kuzuiliwa Kurudi Shuleni, Nadhani Unamjua Aliyetoa Katazo Hilo!.... Zingine Ni Kuhusu Operation Za Kutokomeza Ushoga Kwamba Kuna Baadhi Ya Haki Za Binadamu Zinakiukwa, Sheria Mbalimbali Mfano, Ile Ya Takwimu n.k.

Vyote Hivyo Vimewafikiwa Jumuiya Za Kimataifa Bila Hata Kupelekewa Taarifa Na Mbowe Wala Magufuli. Na Ndio Maana Wakachukua Maamuzi Ya Kuzuia Misaada. Kama Bado Nchi Inahitaji Misaada Ni Lazima Wazingatie Masharti Na Kanuni Za Mikataba Mbalimbali Ya Kimataifa. Ukikiuka Wanaziba Mirija!
 
Mods JF,
Nawaomba mnitendee demokrasia kwa kuiacha mada na thread yangu bila kuipandisha wala kuichaanganya kusiko hata kama haitawapendeza.

Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
Riwaya ndefu but no content.

Watanzania tujifunze kuandika hoja zinazokuwa na uthibitisho siyo riwaya za kijinga kama hizi.

Mtu anasema kuna mawakili wa mabeberu. Anaweza kutaja huyo wakili ni nani? Anamwakilisha nani? Na uthibitisho usio na shaka ni upi?

Upumbav.u umewakumba wengi, pale wanapokosolewa, wanakimbilia kusema kuwa anayekosoa siyo mzalendo, ni wakili wa mabeberu, n.k. Huu ni wendawazimu mkubwa. Mtu badala ya kujibu hoja anatafuta maneno ya kuwapumbaza wajinga.

Anachofanya rais wetu ni kama una mgonjwa. Mgonjwa anaumwa kichwa, halafu yeye anawaita wagonjwa wote wa vichwa na kuwakata shingo. Halafu watu wanalalamika kwa nini umeua wagonjwa. Yeye anasema, si mliniambia hawa wana vichwa vyenye shida? Nimeondoa vichwa vyote vyenye shida. Watu walitaka tiba ya vichwa, yeye amewakata shingo wagonjwa kuondoa vichwa vilivyohitaji tiba, na anatamba kuwa amemaliza tatizo!
 
Mods JF,
Nawaomba mnitendee demokrasia kwa kuiacha mada na thread yangu bila kuipandisha wala kuichaanganya kusiko hata kama haitawapendeza.

Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
Wew umetumwa maana si kwa upbavu huu uliouandika
 
Kwa aina ya wasomi waliojaa chadema, siuoni mchango wa elimu katika siasa za upinzani nchini.
Elimu mnayo lakini tamaa zinawashinda, wote mnayaka fedha na madaraka tu, no matter mnamuumiza au mnaangamiza nini, halafu wa kwanza kumtaja mwalimu ebu mumuache JK apate amani ya milele.
Shame on you all.
Huwezi Kuuona Mchango Wa Elimu Kama Bado Umeukumbatia Ujinga.
 
Rubbi

Rubbish
 
Nikijua Makonda yuko wapi. Wale wa madawa ya kulevya wako wapi na makinikia yako wapi nitaunga mkono juhudi tajwa
 
Huna LA maana, watumishi wanaporwa pensheni zao unaona mawaida eti

Back
Top Bottom