Chadema!,hii ni provocative politics ,tunawaona!

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
 
Kwa bahati mbaya hujui kwamba tuna akili ya kuweza kufahamu ubora na udhaifu wa Magufuli. Watu tunapinga na kukosoa udhaifu wake, kumsifia tumewaachia nyie. Isitoshe hata kama rais anatekeleza majukumu yake baadhi, haitoi uhalali wa kuzuia siasa za ushindani. Umejikita kwenye propaganda kisa habari zinazosikika ni za kusifia tu, na zile za kukosoa zimegeuzwa uhaini.
 
[QUOT4E="tindo, post: 29355415, member: 55693"]Kwa bahati mbaya hujui kwamba tuna akili ya kuweza kufahamu ubora na udhaifu wa Magufuli. Watu tunapinga na kukosoa udhaifu wake, kumsifia tumewaachia nyie. Isitoshe haya kama rais anatekeleza majukumu yake haitoi uhalali wa kuzuia siasa za ushindani. Umejikita kwenye propaganda kisa habari zinazosikika ni za kusifia tu, na zile za kukosoa zimegeuzwa uhaini.[/QUOTE]
hapa si.mahali pake aende tbc akaungane na shaban kisu
 
kwa hyo mnataka tuunge mkono juhudi hata za kuwaangamiza wananchi?
kwanini mnapenda msemwe kwa mazuri tu mabaya hamyataki?
awamu hii watu wametekwa,wameuawa,wamepelekwa jela,wamepigwa risasi,ubabe,ujuaji,uonevu,kutosikia ushauri na mengi mabaya
Ila kuambiwa ukweli hamtaki.
 
Hahaha! Hii Nchi Ina Vituko Sana. Yaani Ni Usanii Usanii Tu!

Mtu Anakwambia Anapambana Na Ufisadi Wakati Kuna Mafisadi Yanadunda Tu Mpaka Leo Tena Mengine Yapo Ndani Ya Chama Chake. Kwenye Masakata Mbalimbali Ya Ufisadi Wapo Waliopiga Hela Na Bado Wapo Uraiani. Vipi Kuhusu Zile Tuhuma Za Nyumba Za Serikali?

Swala La Vyeti Feki Ni Double Standard. Mfano Tu, Kuna Mmoja Wao Alikingiwa Kifua Akaambiwa 'Chapa Kazi' Pamoja Na Kuwa Alikuwa Na Tuhuma Za Vyeti Feki.

Tukija Swala La Rushwa Ni Kiini Macho. Mfano, Kuna Mmoja Alinaswa Hadi Na Kamera Akishawishi Mtu Kupokea Rushwa, Watu Wakategemea Atachukuliwa Hatua Za Kisheria Au Kuchunguzwa Lakini Kilichotokea Alipandishwa Na Cheo.

Na Mengine Mengi Ni Kizungumkuti Mfano Hilo La Makinikia Pia Shirika La ATCL Bado Halijaweza Kujiendesha Kwa Faida Bali Kilichofanyika Ni Manunuzi Ya Ndege.

Siku Hizi Hata Mafisadi Nao Wamekuja Na Gia Ya Kujifanya Kupambana Na Ufisadi Kumbe Wao Nao Wamo Humo.

Watanzania Kitakacholiponya Taifa Ni Elimu. Elimu Ndio Msingi Katika Kila Jambo, Ujinga Hautalisaidia Taifa Bali Utaliangamiza.

ELIMU!!!
 
Kwa kweli jamaa anapambana sana, WASTAAFU kutoka kulipwa 100% hadi 25% kwa kweli hapo amesaidia saaana kwa sababu hawa jamaa walikuwa wanasumbua saaana huku mitaaani.Angalau sasa tunaongea nao LUGHA moja.
 
Tatizo unaishi kwenye historia...kuongoza nchi inahitaji kila kitu kiwe kwenye balance..... Ukiulizwa haya utajibu nini?
1.ustawi wa demokrasia
2. Haki na maslahi Kwa wafanyakaz
3.Mazingira Bora ya biashara na kukuza uchumi
4.Uhuru na haki(wa kujieleza)
5.Elimu na afya bora(usilete hadithi za esopo)
6.Mahusiano yetu na nchi nyingine (wahisani na majirani)
7.Katiba mpya na tume ya uchaguzi
8.uwazi na uwajibikaji...kwa wanasiasa na watumish wa umma
9.Ajira Kwa vijana
10.Philosophy za huyo unaemuita mfanikiwa wako ni zipi
11. Fao la kujitoa kwa wachangiaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii..... (Workers can't just afford cheap popularity at their own exp)
 
Wazee Wa Kusifia Sifia Wanapojiona Wao Ndio Wazalendo Kuliko Wengine.

Ngoja Niwaambie Kitu;
Uzalendo Wa Kweli Ni Pamoja Na Kuikosoa Serikali Inapofanya Makosa. Ni Kusimama Na Nchi Na Sio Serikali Au Rais Na Chama Chake!

"Loyalty To The Country ALWAYS, Loyalty To The Government When It Deserves It" - Mark Twain
 
Mods JF,
Nawaomba mnitendee demokrasia kwa kuiacha mada na thread yangu bila kuipandisha wala kuichaanganya kusiko hata kama haitawapendeza.

Siasa za Tanzania zimetawaliwa na hila,vituko na tamaa binafsi zaidi ya siasa halisi. (Hususan kipindi hiki cha awamu ya tano).

Mfano halisi;

Ikumbukwe kuwa kabla ya awamu ya tano ya uongozi wa JPM, kelele na gumzo kubwa nchi hii ilikuwa ni mambo yafuatayo.

*Ufisadi na ubadhirifuwa raslimali na fedha za nchi hii.
*Elimu duni na miundombinu yake.
*Ukosefu wa uwajibikaji na rushwa katika sekta ya umma.
*Ubinafsishaji holela na usiozingatia vigezo, wa viwanda na taasisi mbalimbali za nchi hii.

Hoja yangu:
Haya mambo yaliwakera wananchi kwa kiwango cha juu na hii kuwapa fursa wanasiasa wa upinzani wakionozwa na chadema na cuf kujizolea wingi wa wafuasi nchini kwa hoja na kashfa mbalimbali walizokuwa wakiziibuwa ndani na nje ya bunge.

Walituaminisha watanzania kwamba wao wana nia safi ya kulikwamua taifa katika shimo lililokuwa mbele yetu kama nilivyoainisha hapo awali.kwanba wao walikuwa na nia madhubuti kukomesha Ufisadi, rushwa na mengineyo maovu yote ikiwemo escrow na iptl ,saga ambazo ziliibeba chadema hadi ilipo sasa.

Kabla na baada ya uchaguzi.

Mambo yalianza siku kadhaa kabla ya uchaguzi,
Wale walioyumbisha nchi hii, kwa kuunda mitandao ya kusaka uongozi(baada ya kukosa nafasi kule ccm).kwa mbinu zilezile zilizowanyima nafasi huko, wakitumia ukwasi wao walipora nafasi za uongozi asubuhi sana huku chadema na kuwatupilia mbali waasisi wa harakati halisi za kupinga ufisadi na huku wakimuaminisha mwenyekiti mbowe kuwa na mafuriko ya wapiga kura,almaarufu gia ya angani.

Baada ya CCM kushinda na JPM kuchaguliwa Rais wa awamu ya tano. Akaanza kazi siku ya pili, hadi leo sitaki kurefusha stori maana yote yako wazi.
*MAKINIKIA.×
*MISHAHARA HEWA.×
*IPTL.×
*MADAWATI.
*MAABARA.
*UFISADI.×
*BANDARI.
*VYETI BANDIA.×
*SAFARI ZISIZO TIJA NJE. ×
*MIKUTANO YA BODI ZA MASHIRIKA NJE YA NCHI.×
*ATCL MPYA.
*RELI MPYA.
*NDEGE MPYA.
*UWAJIBIKAJI SEKTA YA UMMA.
nk,nk,nk.....

Mshangao na ajabu kwa watanzania.

Sasa tunaona siasa za ajabu sana katika huu unaoitwa upinzani.
Sasa sera sio ufisadi tena wala ubadhirifu wa mali za umma,la khasha! ni dhahiri kwamba ujio wa wale mapapa ndani ya CDM umelazimisha chama kubadilika toka upigaji vita hadi utetezi wa wabadhilifu,mafisadi na mabeberu wa nchi za nje kwa mgongo wa uwekezaji wa kinyonyaji kama acacia nk.
Huku sasa sera ikiwa ni uminywaji wa demokrasia nchini.(na hii gaikuwahi kuwa kero ya wapiga kura wa nchi hii.)

Sasa magufuli hakika anapambana na sura halisi iliyokuwa imejificha ya mtandao wa kifisadi toka makundi mbalimbali yaliyokuwa yakiishi kinafiki huku wakitunyonya watanzania.

*Mh Magufuli anapambana wafanyabiashara mangimeza .

*Mh Magufuli anapambana na wanasiasa mamluki waliokuwa kwenye siasa kwa maslahi binafsi.

*Mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la wadanyakazi waliokuwa wamezowea kuishi kwa kukumbatia rushwa na ubadhirifu katika nchi hii.

*Mh Magufuli anapambana na mafisadi halisi waliolazimika aidha kukimbia nje ya nchi kutokana na mianya takriban yote kuzibwa,lakini wakitafuta namna ya kurudi na ikiwezekana kuendelea kutunyonya kama awali.

*Lakini pia mh Magufuli anapambana na kundi kubwa la watumbuliwa majipu toka nyanja mbalimbali nchini wenye nia ovu ya ulipizaji kisasi.

Matokeo yake!
Sasa tunaona watu woote toka makundi haya wakiungana na kusahau tofauti na aina ya dhambi zao na kuweka nia moja tu ya kumkwamisha Mh rais wetu JPM, lakini kila kundi likiwa na malengo yake ila nia moja.

Provocative politics.

Baada ya kuona muelekeo sahihi wa Mh magufuli kwenda 2020, huku wananchi wakimuunga mkono,sasa wamejiunga na kuweka mikakati ya uchokozi na propaganda chafu wakisaidiwa na mabeberu huko nje na majarida yao, pamoja na taasisi zao za kinyonyaji wakijaribu kututishia misaada yao nk.
Hapa nchini wanasiasa hawa wamejitwisha uwakili wa ufisadi huku ntakutumia mbinu kadhaa za kutoa matamko, matusi,kejeli, vijembe na hata kutotii amri halali za kisheria na kimahakama ili kutafuta kutiwa nguvuni au lugha nyepesi kukamatwa na vyombo vya dola ili kupata pa kuanzia ili kumvuruga Mh rais atoke kwenye mstari wa kutekeleza ilani yake ya ahadi ya kuwaletea wananchi na taifa kwa ujumla maendeleo .

wana mikakati mingi,Na huenda pia wako hata ndani ya chama na serikali,maana maisha waliyozowea kuishi wao na familia na vimada wao hayapo tena.

Ni vema serikali iwe makini nao mapema na si wakati wa mzaha.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Naomba kuwakilsha.
Kwani vyama vya upinzani vimekosa waungwaji mkono Au ndio wameongezeka ufisadi umeisha? Nunua nunua ya wapinzani si rushwa Fikirí Kabla ya kupost
 
Magufuli anapambana wafanyabiashara

Magufuli anapambana na wanasiasa

Magufuli anapambana na kundi kubwa la wafanyakazi

Kwa kupambana na makundi hayo hapo juu, ana uhakika wa kuitumbukiza nchi kwenye umaskini mkubwa.
Jibu au hoja yako ni hoja za kichadema zaidi yaani chonganishi na wewe ni mmoja wa niliowataja kwenye topic yangu.
Nyinyi ndio aina ya wapiga deal makazini niliowataja pia.
 
Back
Top Bottom