Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Kuna baadhi ya maeneo ya Tanzania kuna watu wanafanya kampeni very creative.
Kuna mzee huwa anapanda daladala toka Kyela anakuja nayo mpaka boda/Kasumulu na kushuka.
Akiingia huwa anawaongoza watu wote sara ya kuombea uchaguzi wa amani then baada ya sara anawaambia watu ujumbe wake ambao ni kuwa CCM imechoka kazi sasa ni zamu ya CHADEMA vinginevyo maisha yataendelea kuwa magumu daily.