Nimekusoma hapo unaponielekeza nikusome, lakini unasahau pia niliyoandika kumjibu mkuu 'zitto jr' kuhusu ukombozi wetu. Hiyo ni kazi yetu, siyo kazi yao, pamoja na kwamba wao wataifanyaiwe nzito zaidi kwetu kwa kushirikiana na watesi wetu.Mkuu, umesema vizuri sana hapo. Kama nilivyosema kwenye post yangu hapo juu, Tanzania sasa hivi ni strategically hot spot kwa waamerika na wachina. Sasa hivi wote wako tayari kum-'throw under the bus' mtu yeyote ili interests zao zifanikiwe.
Waamerika wakisikia 'wachina' wanataka kujenga bandari bagamoyo, wanachofikiria ni military base, hilo hawawezi kulikubali hata kidogo!
Hoja zangu zipo wazi JF ni uwanja wangu wa kujidai miaka na miaka. Moja ya utaratibu wangu namjibu mtu jinsi anavyokuja ukija kihuni hapa umefika ukija kiungwana umefika pia.Jibu hoja... Matusi hayo peleka FB sio hku kwa great thinkers.